WANANCHI DODOMA WAMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA KUPATA FIDIA KUPISHA UJENZI WA SGR
Wananchi jijini Dodoma wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kwa kupata fidia baada ya maeneo yao kuwekwa katika orodha ya maeneo yanayopitiwa na mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa – SGR kipande cha Morogoro – Dodoma – Singida katika Kata za Ihumwa, Mkonze na Kikuyu Kusini mkoani Dodoma, hivi karibuni Mei 2020.
Zoezi hilo linahusisha fidia za nyumba na viwanja, jumla ya wananchi 2,604 wanatarajiwa kulipwa fidia yenye thamani ya zaidi ya Shilingi...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziWANANCHI DODOMA WAMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA KUPATA FIDIA KUPISHA UJENZI WA SGR
Zoezi hilo linahusisha fidia za nyumba na viwanja, jumla ya wananchi 2,604 wanatarajiwa kulipwa fidia yenye thamani ya zaidi ya Shilingi...
5 years ago
MichuziSHILATU AKAGUA UJENZI NYUMBA YA MWALIMU,WANANCHI WAMSHUKURU RAIS MAGUFULI
Na Mwandishi wetu Mihambwe
Afisa Tarafa Mihambwe Emmanuel Shilatu amekagua ujenzi nyumba ya Mwalimu huku Wakazi wa Kijiji cha Mpunda kilichopo kata ya Michenjele wakimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwajengea nyumba ya kuishi Mwalimu katika shule ya msingi Mpunda.
"Tunamshuru Rais Magufuli kutuletea fedha za kujenga nyumba hii ya Mwalimu. Haijawahi kutokea tangu tupate Uhuru maendeleo haya ya kasi tunayoyaona. Pia tunamshukuru Afisa Tarafa Mihambwe kututembelea mara kwa...
10 years ago
Dewji Blog24 Sep
Walipwa fidia ya mil 263/- kupisha ujenzi wa chuo
Mkurugenzi wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania tawi la Singida, Hassanal Issaya akiwa ofisini kwake akitekeleza majukumu yake ya kila siku.
Na Nathaniel Limu, Singida
CHUO cha utumishi wa umma Tanzania tawi la mkoa wa Singida,limetumia shilingi 263 milioni kulipa fidia kwa wakazi wa kijiji cha Sasu kata ya Mungumaji manispaa ya Singida,ili waweze kupisha ujenzi wa chuo hicho mwaka wa fedha ujao.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa chuo hicho, Hassanal Issaya, wakati akizungumza na MOblog...
5 years ago
CCM Blog5 years ago
CCM BlogDODOMA KUMENOGA: RAIS MAGUFULI KUWEKA JIWE LA MSINGI, UJENZI WA OFISI ZA IKULU
9 years ago
Michuzi5 years ago
MichuziRAIS DKT. MAGUFULI PAMOJA NA MARAIS WASTAAFU WAWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA OFISI ZA IKULU YA CHAMWINO MKOANI DODOMA.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshika Chepe ili kuweka zege na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benja min Mkapa kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi Ujenzi Ofisi za Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 30 Mei 2020.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
5 years ago
CCM BlogRAIS DKT. MAGUFULI PAMOJA NA MARAIS WASTAAFU WAWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA OFISI ZA IKULU YA CHAMWINO MKOANI DODOMA.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshika Chepe ili kuweka zege na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benja min Mkapa kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi Ujenzi Ofisi za Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 30 Mei 2020.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Awamu...
5 years ago
MichuziUjenzi wa SGR Waendelea kwa Kasi, Trilioni 2.957 Zatumika hadi Sasa
Na Frank Mvungi- MAELEZO
Serikali imetumia kiasi cha Shilingi Trilioni 2.957 kutekeleza mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa kwa kiwango cha Kimataifa (SGR) huku kasi ya utekelezaji ikiongezeka.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dodoma , Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo na Dkt. Hassan Abbasi amesema kuwa utekelezaji wa mradi huo unaendelea kama ulivyopangwa.
“Mradi wa SGR kwa kipande cha Dar es Salaam na Morogoro umefikia...