Vijiji 244 kupata umeme Mbeya
![](http://4.bp.blogspot.com/-ZKSShlgK-bA/VPXjGKgCZsI/AAAAAAAAB2o/-Bzuwwi7ipA/s72-c/pinda.jpg)
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda NA MWANDISHI WETU, MBEYA.WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema serikali itatumia sh. bilioni 55 kuvipatia umeme vijiji 244 vya mkoa wa Mbeya, kupitia Miradi ya Umeme Vijijini (REA). Alitoa kauli hiyo jana, wakati akizungumza na viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Mbeya, waliofika kusikiliza majumuisho ya ziara yake ya siku saba kwenye mkoa huo. Mkutano huo ulifanyika kwenye ukumbi wa Mkapa, jijini Mbeya.
“Nimeambiwa kuwa katika mwaka 2014/15, jumla ya vijiji 244 vitapatiwa...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo25 Dec
Vijiji 45 kupata umeme Mara
WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amesema vijiji 45 mkoani Mara vinatarajiwa kuunganishiwa na huduma ya umeme kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA).
10 years ago
Tanzania Daima25 Aug
Vijiji 20 Mbozi kupata umeme
ZAIDI ya vijiji 20 Wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya, vitapata umeme kupitia mradi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), utakaoanza kutekelezwa Septemba mwaka huu. Mradi huo unaotarajiwa kukamilika Juni mwakani,...
11 years ago
Tanzania Daima24 May
Vijiji Mbeya kupatiwa umeme karibuni
SERIKALI imesema imekamilisha kazi ya kupeleka umeme katika Kata ya Iseye na Itendi zilizoko Jimbo la Mbeya Mjini. Taarifa hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri wa Nishati na Madini,...
11 years ago
Tanzania Daima21 Dec
Vijiji nane kupatiwa umeme
VIJIJI nane vya wilaya ya Nzega vinatarajia kunufaika na mradi wa umeme kupitia Mpango Kabambe wa Umeme Vijijini Awamu ya Pili chini ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA). Naibu Waziri...
10 years ago
Dewji Blog16 Oct
Vijiji 1,800 kupata mawasiliano ya simu mwakani
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia January Makamba (Kulia) akizungumza katika mkutano wa wadau wa teknolojia ya Tehama (Capacity Africa 2014) ambapo amesema serikali itaondoa tatizo la mawasiliano nchini na huku ikitarajia kusambaza huduma hiyo kwa vijiji 1,800 ifikapo mwakani na vijiji 4,000 ikikapo mwaka 2017. Kushoto kwa Naibu Waziri Makamba ni mkurugenzi wa kampuni ya Seacom Byron Clatterbuck na Mwakilishi wa kampuni ya internet solution Prenesh Padayachee.
Na...
10 years ago
Habarileo09 Apr
Vijiji 93 Njombe na Iringa kufaidi umeme
WATEJA wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) katika mikoa ya Iringa na Njombe wanatarajia kuongezeka kutoka 63,300 wa sasa hadi zaidi ya 93,000 ifikapo mwaka 2017.
10 years ago
Habarileo07 Jan
Vijiji 1,500 nchini kupatiwa umeme
AWAMU ya Pili ya mradi wa usambazaji wa umeme vijijini, unaotekelezwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kushirikiana na Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) unatarajiwa kukamilika kwa mafanikio Juni mwaka huu, ikiwa ni pamoja na kuvipatia umeme vijiji 1,500.
11 years ago
Habarileo31 Mar
Vijiji 6 Kilombero kupelekewa umeme wa Kihansi
VIJIJI sita vya Wilaya ya Kilombero, mkoani hapa vinavyopitiwa na njia kuu ya umeme kutoka Kihansi, vinatarajia kunufaika na nishati hiyo mara baada ya kukamilika kwa ujenzi wa msongo wa kilovoti 33.
10 years ago
Habarileo13 Mar
Wizara yavipatia umeme jua vijiji 10
JUMLA ya vijiji 10 katika wilaya za Kongwa, Mlele na Uyui vimeunganishiwa umeme kupitia mradi wa makontena ya kuzalisha umeme kutokana na jua.