Mradi wa TEDAP kutatua changamoto za upatikanaji wa umeme Jijini Dar
![](http://4.bp.blogspot.com/-okFeQL6KYvw/VCCB7-TLexI/AAAAAAAGlIw/tTP4yqvJMtc/s72-c/4.jpg)
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mhandisi Felchesmi Mramba akiwaeleza waandishi wa Mikakati inayowekwa na shirika hilo ikiwemo kutekeleza miradi mbalimbali ya kuzalisha, kusafirisha na kusambaza Umeme ili kuhakikisha wanakabiliana na Tatizo la Umeme Nchini,wakati wa Ziara kwenye Mradi wa “Tanzania Energy Development and Access Program (TEDAP)” unaotekelezwa katika maeneo ya Mbagala, Gongo la Mboto na Kinyerezi, Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog23 Sep
Mradi wa TEDAP kutatua changamoto za upatikanaji wa umeme Jijini Dar es Salaam
Meneja wa Miradi, Usambazaji na Usafirishaji kutoka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Emmanuel Manderabona akiwaonesha waandishi wa habari mfumo wa usambazaji umeme kwenye Moja kituo cha Mradi “Tanzania Energy Development and Access Program (TEDAP)” unaofadhiliwa na Benki ya Dunia, kilichopo Mbagalakitakachozalishamegawatt 100 za umeme,kituo hiki kinatarajiwa kuanza kutoa huduma za umeme wa uhakika kwa wakazi wa maeneo ya Kurasini, Kigamboni, Mbagala na Maeneo ya Mkuranga kuanzia Mwezi...
10 years ago
Dewji Blog14 Aug
Halmashauri ya wilaya ya Songea yawaalika wawekezaji kutatua changamoto ya ukosefu wa umeme
Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha Katani LTD cha Hale, Tanga, Salum Shamte.
Na Nathan Mtega wa demashonews, Songea.
Katika kukabiliana na changamoto uya kosefu wa umeme wa uhakika mkoani Ruvuma na Njombe halamashari ya wilaya ya Songea imeanza kukabiliana na changaotyo hiyo kwa kuwaalika wawekezezaji mbali mbali wakiwemo wa sekta hiyo ya nishati ili kutumia fursa zilizopo kutatua changamoto hiyo.
Akizungumza kwa niaba ya wawekezaji wengine katika kikao hicho cha ushauri wa maendeleo cha...
10 years ago
Habarileo17 Oct
Mradi mkubwa wa umeme Dar kukamilika mwakani
MRADI mkubwa wa megawati 80 kwa ajili ya kuboresha umeme katikati ya Jiji la Dar es Salaam unatarajia kukamilika Agosti mwakani.
9 years ago
StarTV21 Dec
Upatikanaji wa walimu wa ufundi stadi bado changamoto
Ukosefu wa ajira ya moja kwa moja kutoka Serikalini kwa walimu wenye taaluma ya ufundi stadi, imeelezwa bado ni changamoto kubwa inayowakabili walimu hao, hatua inayosababisha baadhi ya vyuo vya Ufundi stadi nchini, kuajiri walimu wasio na sifa zinazojitosheleza katika kada hiyo.
Mpaka sasa Tanzania ina chuo kimoja pekee, kinachofundisha ualimu wa ufundi stadi, huku changamoto ya soko la ajira kwa wahitimu wanaomaliza katika chuo hicho bado halijatafutiwa utatuzi.
Tanzania iko katika...
10 years ago
Uhuru Newspaper22 Apr
REA: Upatikanaji wa umeme kuongezeka
Na Mwandishi Wetu
KIWANGO cha upatikanaji wa nishati ya umeme kinatarajiwa kupanda hadi asilimia 100 ifikapo mwaka 2030, umesema Wakala wa Nishati Vijijini (REA).
Meneja Utaalamu Elekezi wa REA, Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga, alisema hayo alipomwakilisha Mkurugenzi wa REA katika ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu kwa wataalamu na wajasiriamali wa usambazaji vifaa vya umeme (nishati) itokanayo na mionzi ya jua.
Katika mafunzo hayo yanayomalizika leo katika Hoteli ya Kebis jijini Dar es Salaam,...
9 years ago
StarTV09 Nov
Wazee Tanzania wakabiliwa na changamoto za upatikanaji wa mahitaji muhimu.
Nchi ya Tanzania inatajwa kuwa ni nchi ya 91 kati ya nchi 96 Duniani kwa Wazee kuwa kuishi katika hali hatarishi kwa kukosa mahitaji muhimu ikiwemo afya, elimu, chakula na malazi.
Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la PADI Is-haka Msigwa ameyasema hayo wakati akiongea na Waandishi wa Habari wa Mkoa wa Ruvuma katika kutafuta njia ya kuwakwamua wazee ili waondokane na changamoto hiyo.
Mkurugenzi wa shirika la PADI linalohudumia wazee Nchini Tanzania Is-haka Msigwa amesema Tanzania ina wazee...
10 years ago
Mwananchi13 Jan
Tanesco: Kuna tatizo la upatikanaji umeme wa Luku
10 years ago
Habarileo15 Sep
Upatikanaji umeme vijijini wapaa kwa asilimia 18
UPATIKANAJI wa huduma za nishati ya umeme vijijini umeongezeka kutoka asilimia 2.5 mwaka 2007 hadi kufika asilimia 21, hivi sasa ikiwa ni juhudi za baada ya kuundwa kwa Wakala wa Nishati Vijijini (REA).
10 years ago
Tanzania Daima09 Oct
Washinda shilingi mil. 166 upatikanaji umeme vijijini
WATANZANIA wanne wamejishindia sh milioni 166 kila mmoja katika shindano la ‘Power Africa Off –Grid Energy’ lililolenga washiriki kuonesha ubunifu wa kutoa nishati endelevu kwa wakazi wa pembezoni mwa miji...