Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


REA: Upatikanaji wa umeme kuongezeka


Na Mwandishi Wetu
KIWANGO cha upatikanaji wa nishati ya umeme kinatarajiwa kupanda hadi asilimia 100 ifikapo mwaka 2030, umesema Wakala wa Nishati Vijijini (REA).
Meneja Utaalamu Elekezi wa REA, Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga, alisema hayo alipomwakilisha Mkurugenzi wa REA katika ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu kwa wataalamu na wajasiriamali wa usambazaji vifaa vya umeme (nishati) itokanayo na mionzi ya jua.
Katika mafunzo hayo yanayomalizika leo katika Hoteli ya Kebis jijini Dar es Salaam,...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Vijiji 8,641 vyafikiwa na umeme wa REA


Jumla ya vijiji 8,641 kati ya vijiji 12,268 vya Tanzania Bara vimeunganishwa  na umeme kupitia Mradi ya Usambazaji Umeme Vijijini (REA) sawa na asilimia 70.4.
Hayo yamesemwa leo jijini Dodoma na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango wakati akitoa Tathmini ya Utekelezaji wa Mpango wa mwaka 2019/20 na Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2020/21.
“Katika kipindi cha Julai 2015 hadi Januari 2020, jumla ya shilingi trilioni 1.53 zimetumika katika utekelezaji wa mradi huu...

 

10 years ago

Michuzi

Miradi ya umeme ya REA kutolipiwa fidia

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mwijage (wa sita kutoka kushoto, mstari wa mbele) akiwa katika picha ya pamoja Mameneja Tanesco wa mikoa na wilaya katika Nyanda za Juu Kusini Magharibi pamoja na wakandarasi wanaotekeleza miradi ya REA ya usambazaji umeme vijijini, Awamu ya pili katika kanda hiyo, mara baada ya kumaliza kikao kilicholenga kujadili utekelezaji wa miradi husika. Kulia kwa Naibu Waziri ni Meneja Mwandamizi wa Tanesco Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Magharibi, Salome...

 

10 years ago

Habarileo

Wasambaza umeme wa REA wapewa siku 7

Waziri wa Nishati na Madini, George SimbachaweneWAZIRI wa Nishati na Madini, George Simbachawene ametoa muda wa siku saba kwa makandarasi wote nchini wanaotekeleza Mradi wa kusambaza Umeme Vijijini kuhakikisha wanasimamisha nguzo walizorundika maeneo ya vijijini na bila kufanya hivyo watafutiwa vibali.

 

10 years ago

Michuzi

REA YAENDELEA KUSAMBAZA UMEME VIJIJI VILIVYOBAKI

Na Avila Kakingo, Globu ya Jamii.
WAKALA wa nishati vijijini (REA) inaendelea kusambaza umeme katika vijiji vilivyobaki kwa awamu, kupitia mradi kabambe wa umeme vijijini ambao umelenga kuweka umeme maeneo ambayo yalikuwa mbali na huduma hiyo.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Wakala wa Umeme Vijijini (REA), Edmund Mkwawa wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo.
Mkwawa amesema kuwa mradi huo umeweza kutoa mafunzo na kuwajenga wajasiliamali...

 

11 years ago

Dewji Blog

Tanesco kushirikiana na REA kupeleka umeme vijijini

DSC09653

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mhangwa Kitwanga, akizungumza na wananchi wa kijiji cha Kayui kata ya Mitundu jimbo la Manyoni magharibi.

Na Nathaniel Limu, Manyoni

SERIKALI imeliagiza shirika la TANESCO lishirikiane na REA,kufanya usanifu wa kina juu ya gharama halisi ya utoaji wa huduma ya umeme katika kila kijiji nchini ili kuijengea mazingira mazuri serikali iweze kufahamu  kiasi cha fedha kitakachokidhi mahitaji.

Agizo hilo limetolewa hivi karibuni na Naibu Waziri wa...

 

5 years ago

Michuzi

WANANCHI SINGIDA WATAKIWA KUCHANGAMKIA UMEME WA REA.


Mashimo ya nguzo yakichimbwa.
Upitiaji wa nyaraka za mradi huo ukifanyika.

Mjumbe wa Bodi ya Nishati Vijijini (REA) Henry Mwimbe (kushoto) akipitia nyaraka baada ya kukagua mradi wa usambazaji umeme REA II unaoendelea katika wilaya za Iramba, Mkalama, Ikungi na Singida DC. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa REA, Mhandisi Elineema Mkumbo.
Mhandisi Julius Saady kutoka Kampuni ya Kateth Desco Dynamic Engineering Project Cordinator inayotekeleza mradi huo, akizungumzia hatua...

 

9 years ago

Mwananchi

Waliopata umeme wa Rea kwa rushwa kuanza kuchunguzwa

Wananchi waliounganishiwa umeme kwa kutoa rushwa kwenye mradi wa Wakala wa Nishati Vijijini (Rea) mkoani Kagera, wataanza kufanyiwa uchunguzi mwezi huu, imeelezwa.

 

5 years ago

Michuzi

REA YATAKA WAKANDARASI NCHINI KUMALIZA KAZI YA KUSAMBAZA UMEME VIJIJINI KWA WAKATI




  Mjumbe wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Henry Mwimbe (kulia) akikagua vifaa vya ujenzi wa umeme vya mradi huo. Mjumbe wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Henry Mwimbe (kushoto) akikagua vifaa vya ujenzi wa Umeme vya mradi wa Kampuni ya kusambaza Umeme ya Ccce Co Ltd inayo sambaza umeme vijiji vya Wembere na Ntwike wilayani Iramba mkoani Singida. Kulia ni Wafanyakazi wa kampuni hiyo. Raia wa China Wafanyakazi wa kampuni hiyo wanao tekeleza mradi huo. Majadiliano kabla ya kwenda kukagua...

 

10 years ago

Mwananchi

Tanesco: Kuna tatizo la upatikanaji umeme wa Luku

Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), limesema kuna tatizo la upatikanaji wa Luku katika baadhi ya maeneo, lakini jitihada zinaendelea ili kurekebisha hali hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani