Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanesco: Kuna tatizo la upatikanaji umeme wa Luku

Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), limesema kuna tatizo la upatikanaji wa Luku katika baadhi ya maeneo, lakini jitihada zinaendelea ili kurekebisha hali hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

TANESCO Kuimarisha Hali ya Upatikanaji wa Umeme Mkoani Kagera

Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuharakisha utekelezaji na usimamizi wa Miradi ya Umeme inayotarajiwa kuimarisha upatikanaji wa Nishati ya Umeme wa uhakika na unaotabirika Mkoani Kagera.
Dkt KALEMANI ametoa kauli hiyo Mkoani Kagera Wakati wa Ziara yake, ambapo amesema Umeme huo Utaunganisha Mkoa huo moja kwa moja na Umeme wa Gridi ya Taifa.“Katika kuunganisha Mkoa wa Kagera na Gridi ya Taifa, tayari tunajenga laini kubwa ya kusafirisha...

 

11 years ago

Michuzi

TOTAL YAZINDUA AWANGO KUMALIZA TATIZO LA UPATIKANAJI WA UMEME KWA WATU WA KIPATO CHA CHINI TANZANIA

Mgeni rasmi, Waziri wa Nishati na Madini, Mh. Prof. Sospeter Muhongo akihutubia wageni waalikwa (hawapo pichani) waliohudhuria katika hafla ya uzinduzi wa bidhaa za AWANGO uliofanyika ndani ya hoteli ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam, usiku wa jana. Waziri Muhongo aliwapongeza TOTAL kwa juhudi wanazozifanya kusaidia jamii ya Watanzania kupata chanzo cha nishati kitakachowaletea maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Pembeni ni baadhi ya bidhaa hizo zinazotumia nishati ya jua. Waziri wa...

 

10 years ago

Habarileo

Tanesco yaja na Luku mpya

Meneja Uhusiano wa Tanesco, Adrian SeverinShirika la Umeme nchini (TANESCO) linatarajia kubadilisha mfumo wa huduma ya Lipia Umeme Kadri Utumiavyo (Luku) na kuuweka wa kisasa ili kuwaondolea usumbufu wateja wake.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

TANESCO sasa mambo shwari Luku




NA EMMANUEL MOHAMEDSHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO), limesema tatizo la mfumo wa kununua umeme kwa njia ya mtandao limeshatafutiwa ufumbuzi na kwamba wateja wataendelea kupata huduma hiyo. Imeelezwa kuwa  licha ya kupatikana kwa ufumbuzi huo, bado mfumo huo utakuwa na kasi ndogo ya kuwahudumia wateja, ukilinganisha  na awali. Ofisa Uhusiano wa TANESCO, Adrian Mvungi, alisema tatizo hilo linatokana na kutokea kwa hitilafu ya mfumo huo na kusababisha  usumbufu mkubwa kwa wateja o...

 

10 years ago

TheCitizen

We’ll fix Luku by day’s end: Tanesco

>The management of Tanzania Electric Supply Company (Tanesco) has assured its clients that the pre-paid (Luku) service will get back to normal by the close of business today.

 

10 years ago

Habarileo

Tanesco kufunga Luku taasisi za serikali

Waziri wa Nishati na Madini, George SimbachaweneWAZIRI wa Nishati na Madini, George Simbachawene amesema kuwa Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) lina mpango wa kufunga mita za LUKU katika ofisi za taasisi zote za serikali kama moja ya mikakati yake katika ukusanyaji wa mapato.

 

10 years ago

Mwananchi

Tatizo la Luku latesa wananchi

Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), limesema linaendelea na kazi ya kurekebisha hitilafu kwenye mfumo wa Luku kwa njia ya mitandao ya simu ili kuwalipa ‘units’ wateja wake waliokatwa pesa zao kabla ya kupata huduma hiyo.

 

10 years ago

Habarileo

Tanesco yakiri madudu kwenye ununuzi wa Luku

Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco Decklan MhaikiSHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limekiri kuwa na tatizo la huduma ya ununuzi ya Luku na kuomba radhi kwa wateja wake.

 

10 years ago

TheCitizen

Drop Luku supplier, minister tells Tanesco

>Energy and Minerals minister George Simbachawene has directed Tanesco to revoke its contract with Selcom Wireless Limited for its alleged failure in supplying pre-paid power (Luku) service to its customers and breach of tax obligations.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani