Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tatizo la Luku latesa wananchi

Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), limesema linaendelea na kazi ya kurekebisha hitilafu kwenye mfumo wa Luku kwa njia ya mitandao ya simu ili kuwalipa ‘units’ wateja wake waliokatwa pesa zao kabla ya kupata huduma hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Tanesco: Kuna tatizo la upatikanaji umeme wa Luku

Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), limesema kuna tatizo la upatikanaji wa Luku katika baadhi ya maeneo, lakini jitihada zinaendelea ili kurekebisha hali hiyo.

 

10 years ago

Mtanzania

Tukio la ‘ugaidi’ latesa wafanyabiashara

Na Ramadhan Libenanga, Morogoro

WAFANYABIASHARA wa mchele na nyanya waliopo wilaya za Kilombero na Kilosa mkoani Morogoro wamelalamikia kupotea kwa wateja wao kutokana na tukio la watu tisa kukamatwa na Jeshi la Polisi wakiwa na milipuko, silaha za jadi na sare za jeshi katika Msikiti wa Salah Al-Fajih, uliopo Kijiji cha Chikago, Kata ya Kidatu.

MTANZANIA Jumamosi lilitembelea katika vijiji vya Rauha, Kidodi, Ruhembe, Mkamba, Kidatu na Chikago kwa upande wa wilaya zote mbili na lilibaini...

 

11 years ago

Mwananchi

Sauti za wananchi wa Dar kuhusu tatizo la foleni

Kwa wakazi wa Dar es Salaam, moja ya kero kubwa ni kukithiri kwa foleni za magari barabarani.

 

9 years ago

Michuzi

TATIZO LA KIUFUNDI HALINA LENGO LA KUWAKOMOA WANANCHI-MRAMBA

Na Mwene Said wa Blogu ya Jamii, Dar es Salaam.SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema kukatikatika kwa umeme linapata hasara ya Sh. Milioni 500 kwa siku na kwamba watanzania waelewe ni matatizo ya kiufundi halina lengo la kuwakomoa wananchi. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana, Mkurugenzi Mtendaji wa  Tanesco, Felichesmi Mramba alisema hali ya kukatika umeme inayoendelea nchini ni kutokana na marekebisho ya baadhi ya mitambo ya kuzalisha umeme na mifumo ya gesi...

 

11 years ago

GPL

SINA TATIZO NA MAWAZIRI MZIGO NINA TATIZO NA CCM

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana. MFUMO wa uongozi serikalini unanitatiza. Kama Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye na Katibu Mkuu Abdulrahman Kinana wanaweza kuwaona mawaziri kadhaa kuwa ni mizigo kabla kiongozi mkuu wa nchi Rais Jakaya Kikwete ambaye ni mwenyekiti wa chama wanachokitumikia Nape na Kinana hajachukua hatua, nahisi kuna tatizo kubwa! Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Tatizo la kutonufaika na madini, tatizo ni viongozi si wawekezaji’

Serikali imetakiwa kusimamia rasilimali za taifa katika hali ambayo itawanufaisha wananchi wote kwani mali hizo ni za wote.

 

10 years ago

Michuzi

TATIZO LA RUSHWA YA NGONO BADO NI TATIZO TANZANIA.

Jaji mstaafu wa mahakama ya rufaa nchini tanzania mama EUSEBIA MUNUO  ambaye alikuwa ndiye mkufunzi katika mafunzo hayo yaliyoendeshwa leo jijini Dar es salaam  Rushwa ya ngono pamoja na matumizi mabaya ya madaraka yametajwa kuwa ni moja kati ya matatizo makubwa ambayo yamezidi kuweka mizizi nchini tanzania na kuwaadhiri wasichana wengi huku sheria ikishindwa kuweka wazi adhabu mahususi ili kuwabana wanaohusika katika swala hilo. Hayo yamesemwa leo jijini dare s salaam na Jaji...

 

10 years ago

Habarileo

Tanesco yaja na Luku mpya

Meneja Uhusiano wa Tanesco, Adrian SeverinShirika la Umeme nchini (TANESCO) linatarajia kubadilisha mfumo wa huduma ya Lipia Umeme Kadri Utumiavyo (Luku) na kuuweka wa kisasa ili kuwaondolea usumbufu wateja wake.

 

10 years ago

Mwananchi

Luku yazua tafrani Mbeya

>Wakazi wa jijini hapa jana walizua tafrani baada ya kufunga ofisi za Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kwa muda wakidai kupewa majibu kuhusu tatizo la upatikanaji wa umeme lililodumu kwa zaidi ya siku tano

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani