Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sauti za wananchi wa Dar kuhusu tatizo la foleni

Kwa wakazi wa Dar es Salaam, moja ya kero kubwa ni kukithiri kwa foleni za magari barabarani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

FOLENI JIJINI DAR, TATIZO SUGU!

Magari yakiwa kwenye foleni katika Barabara ya Morogoro eneo la kituo cha daladala cha Rombo-Ubungo, jijini Dar. Malori yakiwa katika foleni eneo hilo. FOLENI katika Jiji la Dar es Salaam bado ni tatizo sugu kufuatia barabara nyingi za jiji hilo mda mwingi kuonekana zikiwa na foleni kubwa. Leo kamera yetu imenasa magari yakiwa katika foleni kubwa eneo la Kituo cha Daladala cha Rombo-Ubungo, jijini Dar ambapo magari yalikuwa...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Treni ya kisasa Dar kutatua tatizo la foleni’

Wakati Mbunge wa Kuteuliwa, James Mbatia akiitaka Serikali kutangaza msongamano wa magari katika Jiji la Dar es Salaam kuwa ni janga la kitaifa, Serikali hiyo imeshauriwa kununua treni ya kisasa itakayogharimu Dola za Marekani 6 milioni (Sh9.9 bilioni) ili kuboresha usafiri na kupunguza gharama za uendeshaji treni ya sasa.

 

11 years ago

Michuzi

Barabara za juu kuondoa tatizo foleni jijini Dar



Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Ujenzi Bw. Mrtin Ntemo akiwaeleza waandishi wa habari kuhusu maendeleo yaliyofikwa katika ujenzi wa barabara hapa nchini tangu Serikali ya  awamu ya nne ilipoingia madarakani . Kulia ni Afisa Habari wa Idara ya Habari Maelezo Frank Mvungi.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Foleni ya wagonjwa ni tatizo


Na Happiness Mtweve, Dodoma
KITENGO cha Mionzi katika Hospitali ya Rufaa ya mkoani hapa, kimeelemewa na wagonjwa huku ikiwa na mashine moja.
Daktari Bingwa wa Mionzi, Philimon Saigodi, aliwaeleza wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii, kuwa hiyo imekuwa kero kubwa kwa wagonjwa.
Alisema wanahudumia wagonjwa 60 mpaka 70 kutoka katika mikoa ya Singida, Dodoma na wilaya za Kiteto na Manyoni.
Alisema kitengo hicho ni kikubwa na kina wagonjwa wengi, ambao wanaongezeka siku hadi siku, hivyo...

 

10 years ago

Michuzi

KAMPENI YA UELEWA KUHUSU TATIZO LA USONJI YAZINDULIWA JIJINI DAR

Kampenii dhidi ya ugonjwa wa usonji yazinduliwa • 
Familia nyingi Tanzania hazina ufahamu wa hali hii
Kliniki ya Lotus kwa kushirikiana na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, zimeanzisha kampeni mpya inayolenga kuelimisha uma kuhusu ugonjwa wa usonji (autism), ambao watanzania wengi hawaufahamu.Ugomjwa huu sasa unatishia familia nyingi kwani dalili zake huanza utotoni na zinaweza kuendelea hadi ukubwani.Akizugumza wakati wa uzinduzi huo Jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Chama cha Kuhudumia...

 

10 years ago

Vijimambo

SAUTI YA HOTUBA YA MO AKIAGA WANANCHI WA SINGIDA MJINI


IMG_7558Pia nimeiweka hapa unaweza kusikiza jinsi wananchi wakisema hawataki aachie ngazi

 

11 years ago

Habarileo

Foleni yazidi kuwa kero Dar

TATIZO la foleni katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam, limezidi kuwa kero kwa wananchi huku Serikali ikikiri kuumizwa kichwa na hali hiyo na hivyo kuitisha vikao vya mara kwa mara vya wadau wa usafiri kwa lengo la kujadili suala hilo.

 

11 years ago

KwanzaJamii

DK. MAGUFULI: FOLENI DAR KUWA NDOTO

Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, amesema katika kipindi cha miaka mitatu ijayo tatizo la msongamano wa magari katika barabara za jiji la Dar es Salaam litakuwa ndoto. Alisema hayo jana wakati wa ziara ya kukagua miradi ya barabara inayojengwa katika jiji hilo. Alisema serikali imetenga zaidi ya Sh. Trilioni moja kwa ajili ya ujenzi wa barabara za jiji la Dar es Salaam, ikiwamo ujenzi wa ‘Fly Over’ katika makutano ya barabara za Ubungo, Tazara na Kamata. Waziri Magufuli alisema...

 

11 years ago

GPL

FOLENI KUENDELEA KUTESA JIJINI DAR

Kuna kila dalili kuwa jinamizi la foleni litaendelea kuwatesa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam kwa muda mrefu zaidi kutokana na kasi ndogo ya utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa barabara za pembezoni (ring roads) na usanifu wa barabara za juu (flyig overs) ambayo kwa ujumla inahitaji walau Sh. bilioni 170.
Kero hiyo itapungua kwa kiasi kikubwa ikiwa fedha hizo zitapatikana ili kutekeleza miradi mbalimbali iliyopewa kipaumbele...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani