DK. MAGUFULI: FOLENI DAR KUWA NDOTO
Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, amesema katika kipindi cha miaka mitatu ijayo tatizo la msongamano wa magari katika barabara za jiji la Dar es Salaam litakuwa ndoto. Alisema hayo jana wakati wa ziara ya kukagua miradi ya barabara inayojengwa katika jiji hilo. Alisema serikali imetenga zaidi ya Sh. Trilioni moja kwa ajili ya ujenzi wa barabara za jiji la Dar es Salaam, ikiwamo ujenzi wa ‘Fly Over’ katika makutano ya barabara za Ubungo, Tazara na Kamata. Waziri Magufuli alisema...
KwanzaJamii
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo18 Feb
Foleni yazidi kuwa kero Dar
TATIZO la foleni katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam, limezidi kuwa kero kwa wananchi huku Serikali ikikiri kuumizwa kichwa na hali hiyo na hivyo kuitisha vikao vya mara kwa mara vya wadau wa usafiri kwa lengo la kujadili suala hilo.
10 years ago
Mwananchi30 Nov
Ndoto zangu ni kuwa msanii wa kimataifa
9 years ago
Dewji Blog03 Nov
Mazoezi ya kuapishwa kuwa Rais Dk Magufuli yapamba moto Dar
Kibanda cha kitakachotumika wakati wa kuapishwa kwa Rais Mteule, Dk John Magufuli kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kesho kutwa kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.(PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG).
Askari wa Jeshi la Wananchi akiigiza kama Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Davis Mwamunyange na mwingine akiigiza kama Rais anayemaliza muda wake, Jakaya Kikwete wakati wa mazoezi ya sherehe za kuapishwa Rais wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/--5yCKWG5y2c/VbUz8NiJhtI/AAAAAAABSvM/VD5gZd0IfP0/s72-c/WEMA%2BSEPETU.jpg)
NDOTO YA WEMA SEPETU KUWA MBUNGE YAYEYUKA
![](http://3.bp.blogspot.com/--5yCKWG5y2c/VbUz8NiJhtI/AAAAAAABSvM/VD5gZd0IfP0/s640/WEMA%2BSEPETU.jpg)
Hiyo ni baada ya kushindwa kuwashawishi wanachama wa CCM mkoani mkoani Singida kumpa dhamana ya kuwawakilisha kwenye viti maalum vya ubunge.Wema ameshindwa kupita kwenye kura za maoni za ubunge huo kwa kupata kura 90 tu. Aliyeongoza kwenye kinyang’anyiro hicho ni Aysharose Mattembe (311), Martha Mlata (235) na Diana Chilolo (182).Wema amekubali kushindwa na kudai kuwa ushiriki wake umempa ujasiri zaidi.“Nilivyoamua...
10 years ago
Mwananchi22 Jan
Ndoto ya Kigoma kuwa Dubai ndogo inavyoyeyuka
9 years ago
Mwananchi16 Sep
Sera za kila Mtanzania kuwa tajiri ni ndoto za mchana
10 years ago
Mwananchi14 Sep
Fundi bomba mwenye ndoto ya kuwa mwanamuziki mashuhuri
10 years ago
Mwananchi24 Jan
ZUHURA YUNUS: Haikuwa ndoto yangu kuwa mtangazaji