Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sera za kila Mtanzania kuwa tajiri ni ndoto za mchana

"Siku zote tajiri ndiye atakayeamua huyu alipwe mshahara kiasi gani, huyu apate kiasi gani. Na itaendelea kuwa hivyo mpaka wafanyakazi wamgomee, waje juu waseme; “Wewe siyo tajiri mzuri!” Sijui kama kuna tajiri mzuri na tajiri mbaya, na hivyo nawaambieni kwamba hakuna tajiri mzuri, matajiri wote ni wezi!”

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

KILA MTANZANIA AJITOLEE KUWA BALOZI WA FISTULA – HALIMA KIEMBA‏

Mkuu wa Wilaya ya Pwani Bi. Halima Kiemba, akizunungumza na Mabalozi wa wa Fistula kutoka Mikoa mbalimbali ya Tanzania Bara na Visiwani kabla ya uzinduzi Rasmi wa Mafunzo hayo, ikiwa ni sehemu ya kuelekea katika maadhimisho ya siku ya fistula duniani ambayo huadhimishwa tarehe 23 Mei, Pamoja nae katika picha ni Mkuu wa Vodacom Foundation Yessaya Mwakifulefule (Wa kwanza kushoto) Mratibu wa mradi wa kutokomeza Fistula,Clement...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kijana tajiri Afrika ni Mtanzania

Mfanyabiashara na Mbunge wa Singida Mjini (CCM), Mohammed Dewji ameingia kwenye orodha ya mabilionea 29, akiwa tajiri kijana kuliko wote barani Afrika.

 

10 years ago

Vijimambo

Chadema: Nape anaota ndoto za mchana.

Katibu wa itikadi na uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Nape Nnauye.
Kauli ya Katibu wa itikadi na uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Nape Nnauye, kudai chama chake kitaendela kuongoza nchi hata kama ni kwa kura za wizi, chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeibuka na kumjibu kuwa hizo ni ndoto za mchana.

Akizungumza na NIPASHE kwenye ofisi za Chadema Wilaya ya Chato, Katibu wa Baraza la Vijana Chadema Taifa (Bavicha), Julius Mwita, alisema chama chake kipo kwenye...

 

11 years ago

Mwananchi

Haki kwa wakati ni ndoto ya mchana?

>Usemi wa wanasheria kwamba ‘haki iliyocheleweshwa ni sawa na haki iliyokosekana’ hapa nchini hauzeeki. Malalamiko ya kunyimwa haki au kuchelewesha haki hizo yamekuwa yakijitokeza kila kukicha na sasa yanakuwa kama ni ya kawaida.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ndoto yageuka biashara kwa mtanzania

Kutana na mwanamke aliyekuwa na ndoto halafu ikatimia.

 

10 years ago

Raia Tanzania

‘Kila Mtanzania ana haki ya kupata elimu’

ELIMU ndiyo ufunguo wa maisha, binadamu aliyekamilika hapa duniani ili awe kamili lazima awe na elimu ya mazingira yanayomzunguka, ndiyo maana vitabu vya Mungu vyote vinahimiza umuhimu wa elimu.

Unapoitaja elimu kwa muktadha wa wa mwanga katika jamii, unaongeza umuhimu wake kwa kila mwenye fursa ya kuipata bila kujali umri, hali ya kiuchumi na jinzia. Kumekuwepo na tatizo la watu waliopita umri wa kuanza shule ya msingi ambao ni miaka saba, serikali ikabaini hilo tatizo na kuanzisha...

 

11 years ago

Habarileo

Kila Mtanzania kuweza kupata simu ya kisasa

KILA Mtanzania nchini atakuwa na uwezo wa kupata simu ya kisasa na yenye uwezo mkubwa (smart phone) kwa bei ya chini kabisa katika miaka mitano ijayo kuanzia mwaka 2020 kwa mujibu wa mipango ya kampuni mpya ya simu inayojiandaa kuingia katika soko la simu la Tanzania.

 

11 years ago

Mwananchi

Kila Mtanzania sasa anadaiwa Sh600,000

Wakati Serikali ikibanwa na wabunge kwa kushindwa kutekeleza Bajeti ya mwaka 2013/14 kutokana na kutegemea fedha za wahisani, Kamati ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara imesema deni la taifa limeongezeka kwa Sh8.2 trilioni kwa kipindi cha miezi saba tu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani