Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ndoto yageuka biashara kwa mtanzania

Kutana na mwanamke aliyekuwa na ndoto halafu ikatimia.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Sera za kila Mtanzania kuwa tajiri ni ndoto za mchana

"Siku zote tajiri ndiye atakayeamua huyu alipwe mshahara kiasi gani, huyu apate kiasi gani. Na itaendelea kuwa hivyo mpaka wafanyakazi wamgomee, waje juu waseme; “Wewe siyo tajiri mzuri!” Sijui kama kuna tajiri mzuri na tajiri mbaya, na hivyo nawaambieni kwamba hakuna tajiri mzuri, matajiri wote ni wezi!”

 

11 years ago

BBCSwahili

Uhuru wa biashara ni ndoto au?

Je, biashara kati ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ni huru kama inavyodaiwa au bado ni ndoto?

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mavuno yageuka adha kwa wanawake Mbozi

YAWEZEKANA kipindi cha mavuno ya mazao kikawa cha furaha na faraja kwa familia hasa ikizingatiwa ni kipindi cha matunda ya kazi ngumu ya kilimo. Lakini kwa wanawake wa Mbozi, imekuwa...

 

10 years ago

GPL

MVUA YAGEUKA KERO KUBWA KWA WAKAZI WA DAR

Soko la Mchikichini, Ilala-Boma linavyoonekana kufuatia mvua za sasa Maji yalivyotapakaa soka la Sinza Afrika-Sana. Wakazi wa Mwanayamala-Mkwajuni wakitoa maji katika nyumba zao.…

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali ya Umoja Kitaifa yageuka shubiri kwa CCM

Wakati homa ya uchaguzi mkuu ikipamba moto, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimekerwa na viongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar kuvunja makubaliano kwa kutoa kauli zinazotofautiana na Serikali kwenye majukwaa.

 

5 years ago

Michuzi

Waziri wa Viwanda na Biashara ampongeza mjasiriamali mtanzania aliyebuni kifaa maalumu cha kunawia mikono ili kujikinga na virusi vya Corona

Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa (Mb) leo tarehe 30 Machi, 2020 amepokea kifaa maalumu cha kunawia mikono kilichotengenezwa na mjasiriamali wa kitanzania ndugu. Jonas Urio (Ambaye anatokea katika mkoa wa Manyara).
 Akizungumza leo Waziri Bashungwa amempongeza Jonas Urio kwa ubunifu wake huo wa kutengeza kifaa kizuri na bora cha kunawia mikono ambacho kinaweza kutumiwa na taasisi mbalimbali za serikali na binafsi kuhudumia watu mbalimbali kusafisha mikono yao ili kuendeleza...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Mwanza yageuka uwanja wa vita


Na waandishi wetu, mwanza na dodoma
KATIKATI ya Jiji la Mwanza jana paligeuka uwanja wa mapambano kati ya wafanyabiashara ndogo ndogo (Machinga), Mgambo wa Jiji na askari polisi huku mabomu zaidi ya 120 yakirindima kwa takriban saa nne na kulifanya eneo hilo lisikalike.
Mabomu hayo yalirindima maeneo mbalimbali ya mji, ikiwemo eneo maarufu la Makoroboi kutokana na kuvunjwa kwa vibanda vya machinga jana asubuhi, hali iliyowafanya wacharuke na kuanza mapambano na askari polisi na mgambo wa jiji...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kasri yageuka kambi ya waasi CAR

Wapiganaji makurutu wamekuwa wakijificha katika iliyokuwa kasri ya mfalme Bokassa kutokana na vita CAR

 

10 years ago

Habarileo

Vunjo yageuka uwanja wa sinema ya Mbatia, Mrema

James MbatiaJIMBO la Vunjo mkoani Kilimanjaro, limegeuka ‘steji’ ya sinema ya kuwania ubunge kati ya Mbunge wa sasa, Mwenyekiti wa Chama cha TLP, Agustino Mrema na mpinzani wake katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, Mbunge wa kuteuliwa na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani