Kasri yageuka kambi ya waasi CAR
Wapiganaji makurutu wamekuwa wakijificha katika iliyokuwa kasri ya mfalme Bokassa kutokana na vita CAR
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili26 Dec
Waasi wachelewa kuondoka kambi Syria
Maelfu ya waasi waliotarajiwa kusaidiwa kuondoka kutoka kambi ya wakimbizi ya Yarmouk na maeneo ya karibu wameshindwa kuondoka kama ilivyotarajiwa.
11 years ago
BBCSwahili09 Dec
Waasi wapokonywa silaha CAR
Wanajeshi wa Ufaransa, wanatarajiwa kuanza kuwapokonya silaha wapiganaji katika Jamhuri ya Afrika ya Kati kwa kutumia nguvu
11 years ago
BBCSwahili13 Jan
Waasi wasitisha vita Bangui, CAR
Wapiganaji kutoka makundi hasimu, walikumbatiana katika mji mkuu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Bangui baada ya majeshi ya Ufaransa kuwapatanisha
11 years ago
BBCSwahili26 Jul
CAR:Waasi wataka nchi kugawanywa
Waasi katika Jamhuri ya Afrika ya Kati CAR wamekataa makubaliano ya kusitsisha vita na kutaka taifa hilo ligawanywe.
11 years ago
BBCSwahili15 Dec
CAR tayari kwa mazungumzo na waasi
Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Michel Djotodia amekubali kuzungumza na viongozi wa wapiganaji wanaohangaisha wananchi kwa misingi ya kidini.
11 years ago
BBCSwahili13 Jan
Wanajeshi waasi warejea kazini CAR
Wengi walioasi walikuwa Wakristo waliohofia kushambuliwa na wenzao waisilamu baada ya mapinduzi yaliyoongozwa na waasi wa Seleka.
9 years ago
BBCSwahili29 Aug
Watoto 163 waachiliwa na waasi CAR
Umoja wa Mataifa umesema kuwa watoto 163 wameachiliwa na makundi ya waasi nchini Jamuhuri ya Afrika ya Kati
10 years ago
BBCSwahili24 Jun
Malkia kuhama kasri la Buckingham
Aliyekuwa katibu wa zamani wa habari za kifalme Dickie Arbiter amesema kuwa malkia Elizabeth wa Uingereza atahama kasri lake la Buckingham ili kutoa fursa kwa kazi ya kukarabati jengo hilo ambalo limeanza kuharibika.
9 years ago
BBCSwahili07 Sep
50 Cent anajenga Kasri Afrika
Licha ya kuwasilisha ombi mahakamani akidai amefilisika mwimbaji wa kizazi kipya 50 Cent amechapisha video ya jumba la Kifahari Afrika
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania