Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


50 Cent anajenga Kasri Afrika

Licha ya kuwasilisha ombi mahakamani akidai amefilisika mwimbaji wa kizazi kipya 50 Cent amechapisha video ya jumba la Kifahari Afrika

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Malkia kuhama kasri la Buckingham

Aliyekuwa katibu wa zamani wa habari za kifalme Dickie Arbiter amesema kuwa malkia Elizabeth wa Uingereza atahama kasri lake la Buckingham ili kutoa fursa kwa kazi ya kukarabati jengo hilo ambalo limeanza kuharibika.

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa anajenga au anabomoa demokrasia?

Siyo siri ujio wa mwanasiasa mwenye staratejia kali za chinichini Edward Lowassa katika kambi ya upinzani, unaibua hisia tata. Je, ataijenga au kuibomoa demokrasia changa nchini?

 

11 years ago

BBCSwahili

Kasri yageuka kambi ya waasi CAR

Wapiganaji makurutu wamekuwa wakijificha katika iliyokuwa kasri ya mfalme Bokassa kutokana na vita CAR

 

11 years ago

Mwananchi

‘Lukuvi anajenga hofu kwa wananchi’

Siku chache baada ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu wa Bunge), William Lukuvi kudai kuwa iwapo mfumo wa serikali tatu utapita, jeshi litachukua nchi, wanazuoni wametafsiri kauli hiyo kuwa ni ya kuwajengea hofu wananchi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Risasi zasikika nje ya kasri la rais Burundi

Polisi wamefyatua risasi na mabomu ya kutoa machozi kwa waandamanaji waliokaribia makao ya rais katika mji mkuu wa Bujumbura.

 

9 years ago

Bongo Movies

Shilole Atoboa Sababu ya Kuuza Nyumba Yake Aliyokua Anajenga Kimara

Msanii Shilole aliwai kuingia kwenye headlines baada ya ku-post kwenye instagram picha ya nyumba yake ambayo alikua bado anaijenga. Caption ya picha hiyo ilikua inasomeka hivi, “Mungu nisaidie nimalize hii kitu ili watoto wangu wasije kupata tabu”.

Eneo ambalo alilokua anajenga nyumba hiyo ni Kimara jijini Dar es Salaam lakini Shilole amesema kwamba ameuza nyumba hiyo ambayo ilikua bado haijaisha vizuri.

Akiongea na millardayo.com Shilole ametoa sababu za kuuza nyumba hiyo kama hivi,...

 

10 years ago

TheCitizen

Inflation drops to 4.8 per cent

>Inflation in Tanzania decreased for the fourth consecutive month to 4.8 per cent in December 2014 from 5.8 per cent recorded in November as food prices slowed in the month.

 

9 years ago

Bongo5

Music: 50 Cent – ‘I’m the Man

50-cent-kanan-tape2

50 Cent’s mixtape The Kanan Tape was supposed to drop on Thanksgiving Day, but it will now arrive as an early Christmas gift. After debuting “Body Bags” and “Too Rich” last month, Curtis liberates another one of the seven cuts, “I’m the Man.” On the Sonny Digital production, 50 gets cocky and declares his dominance: “Bitch, I’m the man / Ho, I’m the man.”

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose...

 

9 years ago

Bongo5

Video: 50 Cent — 9 Shots

50 Cent, baada ya headlines nyingi za yeye na issue za mali na Mahakama ameachia video mpya ya wimbo “9Shots” kaamua awapoze kidogo mashabiki wake. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani