Mwanza yageuka uwanja wa vita
Na waandishi wetu, mwanza na dodoma
KATIKATI ya Jiji la Mwanza jana paligeuka uwanja wa mapambano kati ya wafanyabiashara ndogo ndogo (Machinga), Mgambo wa Jiji na askari polisi huku mabomu zaidi ya 120 yakirindima kwa takriban saa nne na kulifanya eneo hilo lisikalike.
Mabomu hayo yalirindima maeneo mbalimbali ya mji, ikiwemo eneo maarufu la Makoroboi kutokana na kuvunjwa kwa vibanda vya machinga jana asubuhi, hali iliyowafanya wacharuke na kuanza mapambano na askari polisi na mgambo wa jiji...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo08 Feb
Vunjo yageuka uwanja wa sinema ya Mbatia, Mrema
JIMBO la Vunjo mkoani Kilimanjaro, limegeuka ‘steji’ ya sinema ya kuwania ubunge kati ya Mbunge wa sasa, Mwenyekiti wa Chama cha TLP, Agustino Mrema na mpinzani wake katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, Mbunge wa kuteuliwa na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia.
10 years ago
BBCSwahili06 Feb
Malabo wageuka Uwanja wa Vita
11 years ago
Mwananchi20 Oct
Soka ni vita kwenye uwanja mstatili
10 years ago
Michuzi.jpg)
Simba SC , Kagera Sugar vita mpya uwanja wa Taifa leo
.jpg)
10 years ago
Mwananchi28 Jan
Simba SC, Mbeya City vita mpya Uwanja wa Taifa leo
11 years ago
GPL
UWANJA WA NDEGE MWANZA SIKIO LA KUFA
11 years ago
Mwananchi28 May
ATCL, Uwanja wa Ndege Mwanza vilivyotishia bajeti ya uchukuzi