Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Malabo wageuka Uwanja wa Vita

Uwanja wa Malabo wageuka uwanja wa vita ulipokutanisha Ghana na Guinea ya Ikweta

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Uhuru Newspaper

Mwanza yageuka uwanja wa vita


Na waandishi wetu, mwanza na dodoma
KATIKATI ya Jiji la Mwanza jana paligeuka uwanja wa mapambano kati ya wafanyabiashara ndogo ndogo (Machinga), Mgambo wa Jiji na askari polisi huku mabomu zaidi ya 120 yakirindima kwa takriban saa nne na kulifanya eneo hilo lisikalike.
Mabomu hayo yalirindima maeneo mbalimbali ya mji, ikiwemo eneo maarufu la Makoroboi kutokana na kuvunjwa kwa vibanda vya machinga jana asubuhi, hali iliyowafanya wacharuke na kuanza mapambano na askari polisi na mgambo wa jiji...

 

10 years ago

Mwananchi

Soka ni vita kwenye uwanja mstatili

Mchezo wa soka ni maarufu sana duniani. Mchezo huu una mashabiki wengi sehemu mbalimbali wanaoufuatilia. Soka ni mchezo wa akili zaidi kuliko unavyoonekana unachezwa uwanjani, pia huwa ni vita uwanjani kuwania kumiliki mpira.

 

10 years ago

Michuzi

Simba SC , Kagera Sugar vita mpya uwanja wa Taifa leo

Kagera Sugar FCSimba FCNa Sultani KipingoBaada ya mapumziko ya karibu miezi miwili, vumbi la Ligi Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuanza kutimka tena kuanzia leo kwa pambano moja litakalochezwa kwenye uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam kwa kuzikutanisha Simba SC na Kagera Sugar FC. Simba ambayo imelitumia vyema dirisha dogo la usajili kwa kufanya usajili wa baadhi ya nyota kuimarisha kikosi chao itaivaa Kagera ikitokea Zanzibar ilipokuwa imeweka kambi yao tangu Jumapili...

 

10 years ago

Mwananchi

Simba SC, Mbeya City vita mpya Uwanja wa Taifa leo

Simba inaikabili Mbeya City leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaofanyika Kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na inatakiwa kushinda mchezo huo ili kufufua matumaini ya kuwania ubingwa msimu huu.

 

11 years ago

BBCSwahili

'Wahubiri' wageuka washambuliaji Nigeria

Watu wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa Boko Haram, wameshambulia wanakijiji na kuwaua watu 45 baada ya kuwahadaa kuwa wao ni wahubiri

 

11 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi wa Malawi wageuka 'Sarakasi'

Uchaguzi wa Malawi umeendelea kubeba sura mpya ya sarakasi za mapingamizi ya kisheria, baada ya mahakama kuu kuamuru Tume ya uchaguzi nchini humo iendelee na mipango ya kazi zake

 

11 years ago

Mwananchi

Ujenzi Mabwepande wageuka kizungumkuti

Saa sita na dakika kadhaa mchana ninaingia katika eneo la Mabwepande, wilayani Kinondoni. Ingawa mvua inanyesha kila ninayemwona mbele yangu yupo ‘bize’ akijaribu kutengeneza sehemu ya kujihifadhi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mji wa Bor S.Kusini wageuka mahame

Mji wa Bor uliokombolewa hivi karibuni na wanajeshi wa Serikari umeharibika kabisa kufuatia mapambano na waasi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani