Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Soka ni vita kwenye uwanja mstatili

Mchezo wa soka ni maarufu sana duniani. Mchezo huu una mashabiki wengi sehemu mbalimbali wanaoufuatilia. Soka ni mchezo wa akili zaidi kuliko unavyoonekana unachezwa uwanjani, pia huwa ni vita uwanjani kuwania kumiliki mpira.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAPENDA SOKA ZAIDI YA ELFU MOJA WASHINDWA KUANGALIA MECHI YA AZAM NA EL MELEKH YA SUDAN KWENYE UWANJA WA CHAMAZI LEO

Hali ya kustaajabisha imejitokeza jioni ya leo katika uwanja wa Azam Complex Chamanzi,kwa washabiki na wadau wa soka zaidi ya elfu moja (1000) kushindwa kuingia uwanjani wakati wa mtanange uliozikutanisha timu za Azam Fc ya Tanzania na El Merreikh ya Sudan ikiwa ni mchezo wa awali wa michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika.
Hali hiyo imekuja baada ya watu hao waliokuwa na tiketi zao mkononi kuambiwa uwanja umejaa,hivyo hakuna sehemu ya kuwaweka.
Taarifa za chini ya kapeti zinaeleza...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Mwanza yageuka uwanja wa vita


Na waandishi wetu, mwanza na dodoma
KATIKATI ya Jiji la Mwanza jana paligeuka uwanja wa mapambano kati ya wafanyabiashara ndogo ndogo (Machinga), Mgambo wa Jiji na askari polisi huku mabomu zaidi ya 120 yakirindima kwa takriban saa nne na kulifanya eneo hilo lisikalike.
Mabomu hayo yalirindima maeneo mbalimbali ya mji, ikiwemo eneo maarufu la Makoroboi kutokana na kuvunjwa kwa vibanda vya machinga jana asubuhi, hali iliyowafanya wacharuke na kuanza mapambano na askari polisi na mgambo wa jiji...

 

10 years ago

BBCSwahili

Malabo wageuka Uwanja wa Vita

Uwanja wa Malabo wageuka uwanja wa vita ulipokutanisha Ghana na Guinea ya Ikweta

 

10 years ago

Mwananchi

Soka ni vita akili ,nguvu,nidhamu uwanjani

Soka ni mchezo ambao huchezwa kwa kutumia mbinu nyingi kwenye uwanja ambao upo mstatili.

 

9 years ago

StarTV

Mashabiki wa soka wapungua Uwanja wa CCM Kirumba.

Kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa Rais wabunge na madiwani  nchini  Oktoba 25 pamoja na mchezo kati ya Yanga na timu ya Mwadui  ya mkoani  Shinyanga ni  miongoni mwa sababu ambazo zimetajwa  kuchangia mashabiki  kutoingia katika uwanja wa CCM Kirumba kushuhudia mchezo wa ligi kuu baina ya Toto African ya Mwanza na  JKT Mgambo

Huku Ligi kuu ikiwa  imeingia katika raundi ya tisa ushindani mkali unazidi kuongezeka,

Mwenyekiti wa klabu ya soka ya Toto African ya jijini Mwanza Godwin Aiko...

 

10 years ago

Mwananchi

Simba SC, Mbeya City vita mpya Uwanja wa Taifa leo

Simba inaikabili Mbeya City leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaofanyika Kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na inatakiwa kushinda mchezo huo ili kufufua matumaini ya kuwania ubingwa msimu huu.

 

10 years ago

Michuzi

Simba SC , Kagera Sugar vita mpya uwanja wa Taifa leo

Kagera Sugar FCSimba FCNa Sultani KipingoBaada ya mapumziko ya karibu miezi miwili, vumbi la Ligi Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuanza kutimka tena kuanzia leo kwa pambano moja litakalochezwa kwenye uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam kwa kuzikutanisha Simba SC na Kagera Sugar FC. Simba ambayo imelitumia vyema dirisha dogo la usajili kwa kufanya usajili wa baadhi ya nyota kuimarisha kikosi chao itaivaa Kagera ikitokea Zanzibar ilipokuwa imeweka kambi yao tangu Jumapili...

 

11 years ago

CloudsFM

WASANII WAMWALIKA RAIS KWENYE UZINDUZI WA KAMPENI YA ‘NAIAMINIA TANZANIA’,JUMAMOSI HII KWENYE UWANJA WA JAMHURI, DODOMA

Naiminia Tanzania ndiyo habari ya mjini, weekend hii siku ya Jumamosi ndani ya uwanja wa Jamhuri,Mkoani Dodoma wasanii wa fani mbalimbali hapa nchini wameandaa ufunguzi wa kampeni kubwa inayoitwa ‘Naiaminia Tanzania’.Ambayo ni muendelezo wa ile ngoma yao ya miaka 50 ya tanzania, ambayo waliirekodi wasanii 50, wakashuti na video.Msanii wa Bongo Fleva,Mwana FA pamoja na Nikki Wa Pili watatoa speech mbele ya mgeni rasmi, Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, rais wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani