Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAPENDA SOKA ZAIDI YA ELFU MOJA WASHINDWA KUANGALIA MECHI YA AZAM NA EL MELEKH YA SUDAN KWENYE UWANJA WA CHAMAZI LEO

Hali ya kustaajabisha imejitokeza jioni ya leo katika uwanja wa Azam Complex Chamanzi,kwa washabiki na wadau wa soka zaidi ya elfu moja (1000) kushindwa kuingia uwanjani wakati wa mtanange uliozikutanisha timu za Azam Fc ya Tanzania na El Merreikh ya Sudan ikiwa ni mchezo wa awali wa michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika.
Hali hiyo imekuja baada ya watu hao waliokuwa na tiketi zao mkononi kuambiwa uwanja umejaa,hivyo hakuna sehemu ya kuwaweka.
Taarifa za chini ya kapeti zinaeleza...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Hivi ndivyo Azam FC walivyoendeleza ubabe katika uwanja wao wa Chamazi dhidi ya Kagera, Cheki pichaz …

Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea tena kwa michezo miwili kupigwa, Mwanza ulichezwa mchezo wa Toto Africans dhidi ya African Sports ya Tanga, wakati Dar Es Salaam katika dimba la Azam Complex Chamazi, kulikuwa kuna mchezo wa kuvutia kati ya Azam FC dhidi ya Kagera Sugar. Azam FC ambao walikuwa katika uwanja wao wa nyumbai […]

The post Hivi ndivyo Azam FC walivyoendeleza ubabe katika uwanja wao wa Chamazi dhidi ya Kagera, Cheki pichaz … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

5 years ago

Michuzi

Zaidi ya wanajeshi elfu moja (1000) wa Israel wawekwa chini ya karantini kwa corona

 Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limetangaza kuwa, wanajeshi 1040 wa utawala huo ghasibu wamewekwa chini ya karantini kutokana na virusi vya corona.

Televisheni ya al Alam imenukuu taarifa iliyotolewa na Aviv Kochavi, mkuu wa majeshi ya Israel akisema kuwa, utawala huo umechukua hatua hiyo ili kupunguza idadi ya wanajeshi wake waliokumbwa na virusi hatari vya corona.

Siku ya Ijumaa pia utawala wa Kizayuni ulitangaza kuwa, mwanajeshi yeyote wa utwaala huo hana ruhusa ya kuondoka kwenye...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Uwanja Azam Complex waalika mechi za usiku

KLABU ya Azam FC imesema kuanzia sasa uwanja wao wa Azam Complex uliopo Chamazi, nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam unaweza kutumika hata kwa mechi za usiku baada...

 

9 years ago

Michuzi

MECHI YA YANGA NA AZAM UWANJA WA TAIFA HIVI SASA

Mshambuliaji wa Timu ya Yanga, Amis Tambwe akiondoka na mpira mara baada ya kumpiga chenga ya mwili Beki wa Timu ya Azam, Pascal Wawa (aliekaa chini) wakati wa mtangange wa kuwania Ngao ya Jamii ya Ufungunguzi wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, unaopigwa hivi sasa kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, hakuna timu iliyoona lango la mwenzie mpaka dakika hii.Kiungo machachari wa Azam, Farid Mussa akiangalia namna ya kumtoka, Geofrey Mwashiuya wa Yanga, wakati wa mtangange wa kuwania Ngao ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani