Chadema: Nape anaota ndoto za mchana.
Katibu wa itikadi na uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Nape Nnauye.
Kauli ya Katibu wa itikadi na uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Nape Nnauye, kudai chama chake kitaendela kuongoza nchi hata kama ni kwa kura za wizi, chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeibuka na kumjibu kuwa hizo ni ndoto za mchana.
Akizungumza na NIPASHE kwenye ofisi za Chadema Wilaya ya Chato, Katibu wa Baraza la Vijana Chadema Taifa (Bavicha), Julius Mwita, alisema chama chake kipo kwenye...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi12 Feb
Haki kwa wakati ni ndoto ya mchana?
9 years ago
Mwananchi16 Sep
Sera za kila Mtanzania kuwa tajiri ni ndoto za mchana
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-cnaPR3ndVtI/Vcy9B_00MnI/AAAAAAAAJn4/-wQ-05rAPmc/s72-c/Lowassa4.jpg)
Kilichofanyika mpaka Lowassa akatua CHADEMA na kufuta ndoto ya Dk. Slaa
![](http://3.bp.blogspot.com/-cnaPR3ndVtI/Vcy9B_00MnI/AAAAAAAAJn4/-wQ-05rAPmc/s1600/Lowassa4.jpg)
Ni mazungumzo hayo ya Julai 10, ndiyo hatimaye yalimfikisha Waziri Mkuu huyo wa kwanza wa serikali ya Awamu ya Nne kwenye uamuzi wa kujiunga na Chadema mnamo Julai 28 mwaka huu,...
10 years ago
Vijimambo10 Mar
Chadema wamshukia Nape.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Nape-10March2015.jpg)
Akizungumza na vijana wa chama hicho mjini Tabora juzi, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe, alisema mafunzo yanayotolewa kwa vijana wa chama hicho ni ya kuwajengea ukakamavu na ujasiri ili wawe...
10 years ago
Vijimambo27 Sep
NAPE: MAANDAMANO CHADEMA NI BIASHARA
Adai huuzipeleka picha za vurugu nje ya nchi Adai Chadema wanafanya ili kukinusuru chama chao Awatuhumu kuwatoa kafara waandamanaji Asisitiza laaana ya damu za Watanzania hazitawaacha.
9 years ago
TheCitizen20 Aug
Loser to Nape gets Chadema nomination
11 years ago
Habarileo02 Mar
Chadema wamjia juu Nape
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimemtaka Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi na Uenezi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye kutaja hadharani majina ya mataifa, watu na vyama vya upinzani, anavyodai vimepewa fedha na mataifa ya kigeni ili vivuruge mchakato wa Katiba mpya.
10 years ago
Habarileo27 Sep
Nape-Maandamano ni biashara Chadema
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, amesema vyama vya upinzani nchini vimeshindwa kufanya kazi za siasa badala yake vimegeuka kuwa vya wanaharakati. Aidha ametaka maandamano yanayohamasishwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) yapuuzwe kwa kile alichosema ni biashara ya kuuza picha za vurugu nje ya nchi kwa ajili ya kupata misaada kutoka mataifa makubwa.
11 years ago
Tanzania Daima16 Jan
Hivi Lowassa na ulanguzi umeme bado anaota urais?
KWA wanaokumbuka ndoa ya Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa na Kampuni ya kitapeli ya Richmond iliyosababisha atimuliwe madarakani, hawana shaka kuwa ndoa hii haiwezi kuvunjika. Hata ikivunjika, bado mirindimo...