Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kilichofanyika mpaka Lowassa akatua CHADEMA na kufuta ndoto ya Dk. Slaa

USIKU wa Julai 10, 2015, Edward Lowassa, alipokea simu aliyoifahamu vema. Upande wa pili wa simu alizungumza mtu mwenye sauti nzito; Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). “ Mzee, nakukaribisha Chadema ili uongeze nguvu Ukawa”. Ndiyo ujumbe mfupi ambao Mbowe alimpa Lowassa siku hiyo.
Ni mazungumzo hayo ya Julai 10, ndiyo hatimaye yalimfikisha Waziri Mkuu huyo wa kwanza wa serikali ya Awamu ya Nne kwenye uamuzi wa kujiunga na Chadema mnamo Julai 28 mwaka huu,...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Daily News

Slaa slams Chadema on Lowassa


IPPmedia
Slaa slams Chadema on Lowassa
Daily News
CHADEMA has lost credibility and public trust for accepting former Prime Minister Edward Lowassa who has incessantly been implicated in various corrupt practices, the opposition party's former Secretary General, Dr Willibrod Slaa, charged in Dar es ...
Lowassa promises to control national debtIPPmedia

all 4

 

9 years ago

Dewji Blog

Dk. Slaa aichojoa ndoa ya CHADEMA na Lowassa

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Wilbroad Slaa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu azma yake ya kuachana na siasa na kuwa mwananchi wa kawaida katika mkutano uliofanyika Dar es Salaam jana. (Picha na Fadhili Akida).

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Wilbroad Slaa akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu azma yake ya kuachana na siasa na kuwa mwananchi wa kawaida katika mkutano uliofanyika jijini Dar es Salaam leo kwenye hoteli ya Serena.

Na Mwandishi wetu

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa ameeleza Watanzania kwamba amestaafu siasa baada ya chama hicho kumpokea aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa.

Aidha amesema kwamba pamoja na yeye kushiriki katika mazungumzo...

 

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

Habarileo

Mgombea Chadema kufuta tozo hospitalini

MGOMBEA Ubunge Jimbo la Kibaha Vijijini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Editha Babeiya ameahidi atakapochaguliwa ataondoa gharama za kujifungua hospitalini.

 

10 years ago

Vijimambo

CHADEMA kufuta nafasi za Ukuu wa Wilaya


Naibu katibu Mkuu CHADEMA (Zanzibar) Mh. Salum Mwalimu akihojiwa na Star TV amesema CHADEMA itafuta nafasi za Ukuu wa Wilaya kwani hazina majukumu ya kiutendaji na nigharama kwa wananchi zisizo na lazima. 

Akiendelea kuongea na Star TV amekanusha kuwa kuna mgogoro ndani ya UKAWA juu ya mgombea wa Urais; na UKAWA haija vunja vyama, vyama vipo pale pale,  bali kila chama kina wajibu wa kuendelea kujijenga na kuimarika kama chama ili kila mmoja aweze kuwa mshirika imara na mwenye nguvu kwenye...

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa anaendeleza ndoto yake

Kama kuna mwanasiasa ambaye amedhamiria kuona mwisho wa ndoto yake, basi ni Edward Ngoyai Lowassa, Waziri Mkuu wa kwanza wa Serikali ya Awamu ya Nne na mbunge wa Monduli.

 

10 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI: Lowassa, mwanzo au mwisho wa ndoto zake?

>Jioni ya Januari 25, 1965 wakati Waingereza walipomzika Waziri Mkuu wao maarufu wa zamani, Winston Churchill katika makaburi ya St Martin’s Church, Bladon eneo la Oxford ilimaanisha kuwa Waingereza walikuwa wanamzika mmoja wa wanasiasa wazuri waliowahi kutoa tafsiri nzuri ya neno siasa.

 

10 years ago

Vijimambo

USHABIKI WA LOWASSA MPAKA UGHAIBUNI

 Frank Mutafungwa kiongozi wa team lowassa Houston  Texas 

 

10 years ago

Vijimambo

Chadema: Nape anaota ndoto za mchana.

Katibu wa itikadi na uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Nape Nnauye.
Kauli ya Katibu wa itikadi na uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Nape Nnauye, kudai chama chake kitaendela kuongoza nchi hata kama ni kwa kura za wizi, chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeibuka na kumjibu kuwa hizo ni ndoto za mchana.

Akizungumza na NIPASHE kwenye ofisi za Chadema Wilaya ya Chato, Katibu wa Baraza la Vijana Chadema Taifa (Bavicha), Julius Mwita, alisema chama chake kipo kwenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani