Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHADEMA kufuta nafasi za Ukuu wa Wilaya


Naibu katibu Mkuu CHADEMA (Zanzibar) Mh. Salum Mwalimu akihojiwa na Star TV amesema CHADEMA itafuta nafasi za Ukuu wa Wilaya kwani hazina majukumu ya kiutendaji na nigharama kwa wananchi zisizo na lazima. 

Akiendelea kuongea na Star TV amekanusha kuwa kuna mgogoro ndani ya UKAWA juu ya mgombea wa Urais; na UKAWA haija vunja vyama, vyama vipo pale pale,  bali kila chama kina wajibu wa kuendelea kujijenga na kuimarika kama chama ili kila mmoja aweze kuwa mshirika imara na mwenye nguvu kwenye...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Aliyetemwa ukuu wa wilaya ageukia ubunge

Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Igunga, Elibariki Kingu.
Dar es Salaam. Siku moja baada ya uteuzi wake kutenguliwa na Rais Jakaya Kikwete, aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Igunga, Elibariki Kingu amesema sasa anageukia ubunge katika Jimbo la Singida Magharibi.Kingu alisema siku nyingi alikuwa na shauku ya kugombea ubunge katika jimbo hilo, kwamba kuondolewa katika wadhifa huo kutampa nafasi ya kujipanga na kuhakikisha anashinda jimbo hilo linaloongozwa na Mohamed Hamisi Missanga (CCM).“Unajua kwa muda...

 

10 years ago

Mwananchi

Ukuu wa Wilaya unavyogaiwa kama peremende

Ilinibidi nikae chini na kufanya fikra jadidi, hivi ni sifa gani mtu anapaswa awe nazo ili angalau achaguliwe kuwa Mkuu wa Wilaya?

 

10 years ago

Mwananchi

SIASA: Aliyetemwa ukuu wa wilaya ageukia ubunge

>Siku moja baada ya uteuzi wake kutenguliwa na Rais Jakaya Kikwete, aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Igunga, Elibariki Kingu amesema sasa anageukia ubunge katika Jimbo la Singida Magharibi.

 

9 years ago

Mwananchi

Chaumma kufuta nafasi za Ma-DC, RC

Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Hashimu Rungwe ameahidi kuwaondoa wakuu wa mikoa na wilaya ili aanzishe Serikali ya majimbo.

 

10 years ago

Vijimambo

JESSICA MUSHALA, LOVENESS MAMUYA NA CHRIS LUKOSI WAKANUSHA HABARI KUHUSIANA KUTANGAZA VITA BAADA YA KUKOSA UKUU WA WILAYA

Bi. Jessica Mushala          Bi. Loveness Mamuya              Bwn. Chris Lukosi
Habari iliyoandikwa leo kwenye mtandao wa Jamii Forums na mdau ambaye hakujitambulisha jina na baadae kusambaa kwenye mitandao mbalimbali ikiwemo SMS na Whatsup iliyobeba kichwa cha habari "Makada wa CCM Diaspora watangaza vita baada ya kukosa ukuu wa Wilaya"
Vijimambo ilibidi uwavutie waya kwa nyakati tofauti wahusika wakuu waliotajwa kwenye habari hoyo kutaka kujua kulikoni na kama habari yenyewe ina ukweli ndani...

 

9 years ago

Habarileo

Mgombea Chadema kufuta tozo hospitalini

MGOMBEA Ubunge Jimbo la Kibaha Vijijini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Editha Babeiya ameahidi atakapochaguliwa ataondoa gharama za kujifungua hospitalini.

 

10 years ago

Michuzi

MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA CHADEMA TAIFA 2014:FREEMAN MBOWE ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI CHADEMA TAIFA, PROFESA ABDALLAH SAFARI MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA BARA

 Sehemu ya Wajumbe wa Mkutano  mkuu wa chadema Wakicheza kwa furaha muda mfupi baada ya matokeo ya Uchaguzi kwenye Mkutano Mkuu Kutangazwa Usiku huu Freeman Mbowe akiwashukuru wajumbe wa mkutano mkuu wa CHADEMA  kwa kumchagua tena kushika nafasi ya mwenyekiti Mshindi wa nafasi ya mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akipongezwa na Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa Makamu  Mwenyekiti wa Chadema Bara Profesa Abdallah Safari(Kulia)na Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe wakipungia kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani