Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WALITAKA KUNIHONGA FEDHA NYINGI NA UKUU WA WILAYA-MGOMBEA UBUNGE VUNJO INOCENT SHIRIMA

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

INNOCENT MELLECK SHIRIMA ACHUKUA FOMU ZA UBUNGE JIMBO LA VUNJO.

Mgombea wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Vunjo, Innocent Shirima akitia saini katika kitabu cha wageni mara baada ya kufika ofisi za msimamizi wa Uchaguzi katika jimbo hilo ambaye ni mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi.Mgombea Ubunge jimbo la Vunjo ,Innocent Shirima akikabidhiwa fomu za kuwania ubunge katika jimbo la hilo na msiamizi wa Uchaguzi ,Furgence Mponji ambaye pia ni mkurugenzi wa Halmashauri hiyo.
Mgombea Ubunge wa jimbo la Vunjo kupitia chama cha Mapinduzi, Innocent...

 

9 years ago

Vijimambo

INNOCENT SHIRIMA AFANYA UZINDUZI WA KAMPENI ZA KUWANIA UBUNGE KATIKA JIMBO LA VUNJO

Mgombea Ubunge katika jimbo la Vunjo kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi, CCM ,Innocent Shirima akisalimiana na wananchi mara baada ya kuwasili katika viwanja hivyo.
Baadhi ya wanachama wa CCM wakishangilia katika uzinduzi wa kampeni za Chama hicho zilizofanyika katika uwanja wa Polisi Himo.Kada wa Chama cha Mapinduzi ,Job Lusinde akisalimiana na kada mwenzake ,Novatus Makunga ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Moshi.Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Kilimanjaro,Juma Idd akizungumza...

 

10 years ago

Vijimambo

Aliyetemwa ukuu wa wilaya ageukia ubunge

Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Igunga, Elibariki Kingu.
Dar es Salaam. Siku moja baada ya uteuzi wake kutenguliwa na Rais Jakaya Kikwete, aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Igunga, Elibariki Kingu amesema sasa anageukia ubunge katika Jimbo la Singida Magharibi.Kingu alisema siku nyingi alikuwa na shauku ya kugombea ubunge katika jimbo hilo, kwamba kuondolewa katika wadhifa huo kutampa nafasi ya kujipanga na kuhakikisha anashinda jimbo hilo linaloongozwa na Mohamed Hamisi Missanga (CCM).“Unajua kwa muda...

 

10 years ago

Mwananchi

SIASA: Aliyetemwa ukuu wa wilaya ageukia ubunge

>Siku moja baada ya uteuzi wake kutenguliwa na Rais Jakaya Kikwete, aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Igunga, Elibariki Kingu amesema sasa anageukia ubunge katika Jimbo la Singida Magharibi.

 

10 years ago

Vijimambo

KHALIFA KONDO MPONDA MGOMBEA UBUNGE WILAYA MOROGORO VIJIJINI, JIMBO KUSINI-MASHARIKI

Mtangaza nia ya kugombea Ubunge Wilaya ya Morogoro vijijini, jimbo kusini- mashariki Ndugu Khalifa Kondo Mponda.Ndugu Khalifa Kondo Mponda akiwa ametoka kupata baraka za chifu mpya wa Waluguru Kingalu 15Ndugu Khalifa Kondo Mponda akijinadi kwa wananchi wake akiwemo chifu mpya wa Waluguru Kingalu 15Ndugu Khalifa Kondo Mponda akipata baraka toka kwa Chifu mpya wa Waluguru Kingalu 15

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA KIBONDO VENANCE MWAMOTO AMTAKIA KILA LAKHERI MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KALENGA,GODFREY MGIMWA

 Pichani Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Kibondo,Mkoani Kigoma Mh.Venance Mwamoto akisalimiana na kumtakia kila la kheri mgombea Ubunge kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi (CCM),Ndugu Godfrey William Mgimwa,katika mchaka mchaka wake wa kampeni za uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kalenga,Iringa Vijijini na hatimae kuibuka mshindi.
Uchaguzi wa jimbo hilo unatarajiwa kufanyika mnamo tarehe 16 machi 2014,ambapo wananchi wa jimbo hilo wameombwa kujitokeza kwa wingi kushiriki zoezi hilo la upigaji kura na...

 

9 years ago

Michuzi

Mgombea Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya CCM Dk Shein, awatambulisha Wagombea Ubunge na Uwakilishi wa Wilaya ya Amani Unguja Kichama

Wasanii wa Kikundi cha Big Star wakitowa burudani kwa wimbo maalum wa Kapeni wakati wa mkutano wa kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Shein.zilizofanyika katika viwanja vya mpira vya Urafiki mikunguni Unguja.Wanachi wakishangilia wakati Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akiwahutubia na kutangaza Ilani ya Uchaguzi ya CCM kwa kipindi cha miaka mitano jinsi itakavyotekeleza mambo mbalimbali katika sekta ya Jamii na kuimarisha maslahi ya Wananchi wa Zanzibar.Mgombea Urais wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Ukuu wa Wilaya unavyogaiwa kama peremende

Ilinibidi nikae chini na kufanya fikra jadidi, hivi ni sifa gani mtu anapaswa awe nazo ili angalau achaguliwe kuwa Mkuu wa Wilaya?

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani