SIASA: Aliyetemwa ukuu wa wilaya ageukia ubunge
>Siku moja baada ya uteuzi wake kutenguliwa na Rais Jakaya Kikwete, aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Igunga, Elibariki Kingu amesema sasa anageukia ubunge katika Jimbo la Singida Magharibi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo20 Feb
Aliyetemwa ukuu wa wilaya ageukia ubunge

Dar es Salaam. Siku moja baada ya uteuzi wake kutenguliwa na Rais Jakaya Kikwete, aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Igunga, Elibariki Kingu amesema sasa anageukia ubunge katika Jimbo la Singida Magharibi.Kingu alisema siku nyingi alikuwa na shauku ya kugombea ubunge katika jimbo hilo, kwamba kuondolewa katika wadhifa huo kutampa nafasi ya kujipanga na kuhakikisha anashinda jimbo hilo linaloongozwa na Mohamed Hamisi Missanga (CCM).“Unajua kwa muda...
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Mwananchi25 Feb
Ukuu wa Wilaya unavyogaiwa kama peremende
Ilinibidi nikae chini na kufanya fikra jadidi, hivi ni sifa gani mtu anapaswa awe nazo ili angalau achaguliwe kuwa Mkuu wa Wilaya?
10 years ago
Vijimambo
CHADEMA kufuta nafasi za Ukuu wa Wilaya

Akiendelea kuongea na Star TV amekanusha kuwa kuna mgogoro ndani ya UKAWA juu ya mgombea wa Urais; na UKAWA haija vunja vyama, vyama vipo pale pale, bali kila chama kina wajibu wa kuendelea kujijenga na kuimarika kama chama ili kila mmoja aweze kuwa mshirika imara na mwenye nguvu kwenye...
10 years ago
Vijimambo
JESSICA MUSHALA, LOVENESS MAMUYA NA CHRIS LUKOSI WAKANUSHA HABARI KUHUSIANA KUTANGAZA VITA BAADA YA KUKOSA UKUU WA WILAYA



Habari iliyoandikwa leo kwenye mtandao wa Jamii Forums na mdau ambaye hakujitambulisha jina na baadae kusambaa kwenye mitandao mbalimbali ikiwemo SMS na Whatsup iliyobeba kichwa cha habari "Makada wa CCM Diaspora watangaza vita baada ya kukosa ukuu wa Wilaya"
Vijimambo ilibidi uwavutie waya kwa nyakati tofauti wahusika wakuu waliotajwa kwenye habari hoyo kutaka kujua kulikoni na kama habari yenyewe ina ukweli ndani...
5 years ago
MichuziMakamu wa Raisi azungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti ya CCM Wilaya ya Temeke
10 years ago
Vijimambo
KHALIFA KONDO MPONDA MGOMBEA UBUNGE WILAYA MOROGORO VIJIJINI, JIMBO KUSINI-MASHARIKI




11 years ago
Michuzi
MKUU WA WILAYA YA KIBONDO VENANCE MWAMOTO AMTAKIA KILA LAKHERI MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KALENGA,GODFREY MGIMWA

Uchaguzi wa jimbo hilo unatarajiwa kufanyika mnamo tarehe 16 machi 2014,ambapo wananchi wa jimbo hilo wameombwa kujitokeza kwa wingi kushiriki zoezi hilo la upigaji kura na...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania