Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makamu wa Raisi azungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti ya CCM Wilaya ya Temeke

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wanachama wa CCM na Wananchi,  alipowasili katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya Temeke Jijini Dar es  Salaam  leo Juni 23,2020 kwa ajili ya kuzungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti ya CCM Wilaya ya Temeke.
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MAJALIWA AZUNGUMZA NA WAJUMBE KAMATI MAALUM YA KUIMARISHA ZAO LA MKONGE

PMO Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wajumbe wa Kamati Maalum aliyoiunda kwa ajili ya kuimarisha zao la Mkonge. Mazungumzo hayo yalifanyika ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Aprili 8, 2020. Kulia kwa Waziri Mkuu ni Naibu Waziri wa Kilimo, Omary Mgumba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

5 years ago

CCM Blog

MAJALIWA AZUNGUMZA NA WAJUMBE WA KAMATI MAALUM YA KUIMARISHA ZAO LA MKONGE.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wajumbe wa Kamati Maalum aliyoiunda kwa ajili ya kuimarisha zao la Mkonge. Mazungumzo hayo yalifanyika ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Aprili 8, 2020. Kulia kwa Waziri Mkuu ni Naibu Waziri wa Kilimo, Omary Mgumba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

10 years ago

Michuzi

MHE. NYALANDU AZUNGUMZA NA WAJUMBE WA KAMATI YA MALIASILI, ARDHI NA MAZINGIRA KUTOKA NCHINI NORWAY

Waziri wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Mhe. Lazaro Nyalandu ( katika kati) akimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Maliasili, Ardhi na Mazingira ya Norway, Mhe. Ola Elvestuen (kushoto) wakiwa na Balozi wa Norway Nchini Tanzania, Bi. Hanne-Marie Kaarstad, (kulia) Kabla ya Mkutano wa Kamati ya Bunge ya Maliasili, Ardhi na Mazingira ya Norway uliofanyika Mpingo House jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Maliasili, Ardhi na Mazingira ya Norway, Mhe. Ola Elvestuen ...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA MABALOZI NA WENYEVITI WA WILAYA MFENESINI CCM

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani katika ukumbi wa Tawi la Chuo cha Mwalimu Nyerere Bububu Kihinani Mkoa wa Magharibi Kichama akiwa katika ziara zake za kuimarisha Chama cha Mapinduzi CCM katika Wilaya ya Mfenesini.Balozi wa Shina namba 36 Jimbola Mtoni Abdul-Aziz Salum akisoma risala ya Mabalozi wa Wilaya ya Mfenesini Kichama mbele ya Rais wa Zanzibar na...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYA YA TEMEKE LEO

 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akizungumza na Wajasiliamali-VICOBA mbalimbali katika mkutano uliofanyika mapema leo asubuhi  ndani ya ukumbi wa Kata ya 15,katika Wilaya ya Temeke.Kinana aliwapongeza VICOBA hao kwa kuchapa kazi nzuri na kuwa waaminifu katika mazingira yao ya kufanya kazi.Aidha amewataka akina mama na vijana mbalimbali kutobweteka na badala yake wajitume kufanya kazi,katika suala zima la kujipatia maendeleo yao sambamba na kujikwamua na Umaskini.Ndugu Kinana...

 

10 years ago

Vijimambo

MJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM NA MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. BILAL AONGOZA MAADHIMISHO YA MIAKA 38 YA CCM DAR ES SALAAM

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea CD yenye mashairi  maalum ya kukipongeza chama cha Mapinduzi CCM kwa kutimiza miaka 38 tangu kuanzishwa kwake kutoka kwa msanii Ahmad Amour Nyangany, kwenye maadhimisho ya miaka 38 ya CCM yajiyofanyika jana kwenye uwanja wa Tawi la CCM Mwinjuma Kinondoni Dar es salaam. Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani