MHE. NYALANDU AZUNGUMZA NA WAJUMBE WA KAMATI YA MALIASILI, ARDHI NA MAZINGIRA KUTOKA NCHINI NORWAY
.jpg)
Waziri wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Mhe. Lazaro Nyalandu ( katika kati) akimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Maliasili, Ardhi na Mazingira ya Norway, Mhe. Ola Elvestuen (kushoto) wakiwa na Balozi wa Norway Nchini Tanzania, Bi. Hanne-Marie Kaarstad, (kulia) Kabla ya Mkutano wa Kamati ya Bunge ya Maliasili, Ardhi na Mazingira ya Norway uliofanyika Mpingo House jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Maliasili, Ardhi na Mazingira ya Norway, Mhe. Ola Elvestuen ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi12 Feb
Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, NHC mafunzoni nchini Afrika Kusini
11 years ago
MichuziKamati ya ardhi,maliasili na mazingira yatembelea hifadhi ya taifa ya Arusha
11 years ago
Michuzi.jpg)
Kamati ya Bunge ya Kudumu Ardhi, Maliasili na Mazingira wakagua viwanda
.jpg)
.jpg)
11 years ago
Michuzi
Kamati ya Ardhi,Maliasili na Mazingira watembelea hifadhi ya taifa ya Mkomazi.


Wajumbe wa kamati ya Bunge ya Ardhi, maliasili na mazingira wakitembelea eneo la mradi wa kufuga faru pamoja na Mbwa Mwitu.

10 years ago
Dewji Blog12 Feb
Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, NHC mafunzoni Afrika Kusini
Ujumbe wa Kamati ya Bunge ya Ardhi , Maliasili na Mazingira ukiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati, Abdulkarim Esmail Hassan Shah (Mafia), Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angela Kairuki na kuambatana na uongozi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakisikiliza maelezo kutoka kwa Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Tumaini Thika jana. Kamati hiyo iko katika ziara ya mafunzo nchini humo.
Ujumbe wa Kamati ya Bunge ya Ardhi , Maliasili na Mazingira uliofuatana na...
11 years ago
Vijimambo
Ziara ya Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira katika Migodi



11 years ago
Michuzi
KAMATI YA BUNGE YA ARDHI,MALIASILI NA MAZINGIRA YAENDELEA NA UKAGUZI KATIKA MIGODI

10 years ago
GPLKAMATI YA ARDHI, MALIASILI NA MAZINGIRA, NHC MAFUNZONI AFRIKA KUSINI
11 years ago
GPL
KAMATI YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA MAZINGIRA YAENDELEA NA UKAGUZI KATIKA MIGODI