Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, NHC mafunzoni Afrika Kusini

Ujumbe wa Kamati ya Bunge ya Ardhi , Maliasili na Mazingira ukiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati, Abdulkarim Esmail Hassan Shah (Mafia), Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angela Kairuki na kuambatana na uongozi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakisikiliza maelezo kutoka kwa Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Tumaini Thika jana. Kamati hiyo iko katika ziara ya mafunzo nchini humo.

Ujumbe wa Kamati ya Bunge ya Ardhi , Maliasili na Mazingira uliofuatana na...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, NHC mafunzoni nchini Afrika Kusini

Ujumbe wa Kamati ya Bunge ya Ardhi , Maliasili na Mazingira ukiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati, Abdulkarim Esmail Hassan Shah (Mafia), Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angela Kairuki na kuambatana na uongozi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakisikiliza maelezo kutoka kwa Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Tumaini Thika wakati walipofika ubalozini hapo. Kamati hiyo iko katika ziara ya mafunzo nchini humo.Ujumbe wa Kamati ya Bunge ya Ardhi ,...

 

10 years ago

GPL

KAMATI YA ARDHI, MALIASILI NA MAZINGIRA, NHC MAFUNZONI AFRIKA KUSINI‏

Ujumbe wa Kamati ya Bunge ya Ardhi , Maliasili na Mazingira ukiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati, Abdulkarim Esmail Hassan Shah (Mafia), Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angela Kairuki na kuambatana na uongozi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakisikiliza maelezo kutoka kwa Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Tumaini Thika jana. Kamati hiyo iko katika ziara ya mafunzo nchini humo.… ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira yatembelea eneo ambalo NHC inatekeleza mradi wa nyumba wa Kawe City

1

Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Bw. Felix Maagi akiongoza Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira wakati ilipotembelea eneo la mradi wa nyumba ambao unaotarajiwa kuanza katika uwanja wa kulenga shabaha wa jeshi la wananchi Kunduchi, baada ya makubaliano kati ya Jeshi la wananchi na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC). Kamati hiyo ikiongozwa na mwenyekiti wake na jimbo la Kahama Mbunge Mh. James Lembeli na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. Profesa Anna...

 

10 years ago

Michuzi

Kamati ya Bunge ya Kudumu Ardhi, Maliasili na Mazingira wakagua viwanda

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira Mhe. Dkt injinia Binilith Satano Mahenge (kulia) akiwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kudumu Ardhi, Maliasili na Mazingira  Mhe. Abdulkarim Hassan Shaha (wapili kulia),Pamoja na  Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu Ardhi, Maliasili na Mazingira wakikaguwa Mazingira katika moja ya kiwanda cha Mifuko ya Plastiki (East African Industy)kilichopo Mbagala jijini Dar es Salaam. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira, Mhe....

 

10 years ago

Vijimambo

Ziara ya Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira katika Migodi

 Sehemu ya Mabwawa yanayotumika katika shughuli za uzalishaji katika Mgodi wa Geita.

 Kutoka kulia, Mh. James Lembeli Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira akitoa maagizo kwa wataalamu wa mgodi wa Geita (hawapo pichani) juu ya Hifadhi endelevu ya Mazingira kwa mujibu wa Sheria. Wapili kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Mh. Ummy Mwalimu na wengine ni wajumbe wa Kamati hiyo. Mtaalamu kutoka Mgodi wa Geita akitoa ufafanuzi kwa Kamati ya Bunge ya Ardhi,...

 

11 years ago

Michuzi

Kamati ya ardhi,maliasili na mazingira yatembelea hifadhi ya taifa ya Arusha

Mwenyekiti wa kamati ya Ardhi,maliasili na mazingira,James Lembeli akiwa ameongozana na naibu waziri wa maliasili na utalii,Mahamud Mgimwa pamoja na kaimu mkurugenzi mkuu TANAPA,Martin Loibooki katika lango kuu la kuingia hifadhi ya taifa ya Arusha(ANAPA). kaimu mkurugenzi mkuu TANAPA,Martin Loibooki akizungumza jambo wakati kamati ya ardhi,maliasili na mazingira ilipotembelea na kuzungumza na watumishi wa hifadhi ya taifa ya Arusha. Wajumbe wa kamati ya ardhi,maliasili na mazingira,Mh...

 

11 years ago

Michuzi

Kamati ya Ardhi,Maliasili na Mazingira watembelea hifadhi ya taifa ya Mkomazi.

 Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Ardhi maliasili na mazingira Mh James Lembeli akiwa ameongozana na Naibu Waziri wa Maliasili na utalii Mhe. Mahamud Mgimwa wakisalimiana na wafanyakazi wa hifadhi ya Taifa ya Mkomazi.
 Wajumbe wa kamati ya Bunge ya Ardhi, maliasili na mazingira wakitembelea eneo la mradi wa kufuga faru pamoja na Mbwa Mwitu. Naibu waziri wa maliasili na mazingira ,Mahamud Mgimwa akiwa amemshika mtoto wa Tembo katika hifadhi ya taifa ya Mkomazi,wengine ni mwenyekiti wa...

 

11 years ago

Michuzi

Kamati ya ardhi,maliasili na mazingira yatembelea hifadhi ya taifa ya Mlima Kilimanjaro

Mkurugenzi mkuu wa shirika la hifadhi za jamii Tanzania,TANAPA,Alan Kijazi akizungumza jambo wakati kamati ya Bunge ya ardhi,maliasili na mazingira ilipotembelea hifadhi ya taifa ya Mlima Kilimanjaro. Baadhi ya wajumbe wa kamati ya Ardhi,maliasili na mazingira wakifuatilia maelezo ya mkurugenzi mkuu wa TANAPA(hayupo picani). Naibu waziri wa maliasili na Utalii,Mahamud Mgimwa akizungumza mbele ya kamati ya Ardhi ,maliasili na mazingira ilipotembelea hifadhi ya taifa ya mlima Kilimanjaro.

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YA ARDHI,MALIASILI NA MAZINGIRA YAENDELEA NA UKAGUZI KATIKA MIGODI

Kamati ya Bunge ya Ardhi Maliasili na Mazingira imeendelea na ukaguzi katika Migodi ya dhahabu kufahamu utekelezaji wa Sheri a ya Mazingira. Katika Mgodi wa Bulyanhulu Kamati iliangalia jinsi maji yenye kemikali yanavyohifadhiwa na udhibiti wa taka za plastiki mgodini hapo. Migodi iliyotembelewa mpaka sasa ni Mgodi wa North Mara, Geita na Bulyanhulu. Hii leo Kamati hii itaendelea na ziara yake katika mgodi wa Buzwagi.Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Mh. Ummy Mwalimu (wa pili kutoka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani