Aliyetemwa ukuu wa wilaya ageukia ubunge
Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Igunga, Elibariki Kingu.
Dar es Salaam. Siku moja baada ya uteuzi wake kutenguliwa na Rais Jakaya Kikwete, aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Igunga, Elibariki Kingu amesema sasa anageukia ubunge katika Jimbo la Singida Magharibi.Kingu alisema siku nyingi alikuwa na shauku ya kugombea ubunge katika jimbo hilo, kwamba kuondolewa katika wadhifa huo kutampa nafasi ya kujipanga na kuhakikisha anashinda jimbo hilo linaloongozwa na Mohamed Hamisi Missanga (CCM).“Unajua kwa muda...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi20 Feb
SIASA: Aliyetemwa ukuu wa wilaya ageukia ubunge
9 years ago
Vijimambo9 years ago
Michuzi10 years ago
Mwananchi25 Feb
Ukuu wa Wilaya unavyogaiwa kama peremende
10 years ago
VijimamboCHADEMA kufuta nafasi za Ukuu wa Wilaya
Naibu katibu Mkuu CHADEMA (Zanzibar) Mh. Salum Mwalimu akihojiwa na Star TV amesema CHADEMA itafuta nafasi za Ukuu wa Wilaya kwani hazina majukumu ya kiutendaji na nigharama kwa wananchi zisizo na lazima.
Akiendelea kuongea na Star TV amekanusha kuwa kuna mgogoro ndani ya UKAWA juu ya mgombea wa Urais; na UKAWA haija vunja vyama, vyama vipo pale pale, bali kila chama kina wajibu wa kuendelea kujijenga na kuimarika kama chama ili kila mmoja aweze kuwa mshirika imara na mwenye nguvu kwenye...
10 years ago
VijimamboJESSICA MUSHALA, LOVENESS MAMUYA NA CHRIS LUKOSI WAKANUSHA HABARI KUHUSIANA KUTANGAZA VITA BAADA YA KUKOSA UKUU WA WILAYA
Habari iliyoandikwa leo kwenye mtandao wa Jamii Forums na mdau ambaye hakujitambulisha jina na baadae kusambaa kwenye mitandao mbalimbali ikiwemo SMS na Whatsup iliyobeba kichwa cha habari "Makada wa CCM Diaspora watangaza vita baada ya kukosa ukuu wa Wilaya"
Vijimambo ilibidi uwavutie waya kwa nyakati tofauti wahusika wakuu waliotajwa kwenye habari hoyo kutaka kujua kulikoni na kama habari yenyewe ina ukweli ndani...
10 years ago
VijimamboKHALIFA KONDO MPONDA MGOMBEA UBUNGE WILAYA MOROGORO VIJIJINI, JIMBO KUSINI-MASHARIKI
11 years ago
MichuziMKUU WA WILAYA YA KIBONDO VENANCE MWAMOTO AMTAKIA KILA LAKHERI MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KALENGA,GODFREY MGIMWA
Uchaguzi wa jimbo hilo unatarajiwa kufanyika mnamo tarehe 16 machi 2014,ambapo wananchi wa jimbo hilo wameombwa kujitokeza kwa wingi kushiriki zoezi hilo la upigaji kura na...
9 years ago
MichuziMgombea Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya CCM Dk Shein, awatambulisha Wagombea Ubunge na Uwakilishi wa Wilaya ya Amani Unguja Kichama