Kijana tajiri Afrika ni Mtanzania
Mfanyabiashara na Mbunge wa Singida Mjini (CCM), Mohammed Dewji ameingia kwenye orodha ya mabilionea 29, akiwa tajiri kijana kuliko wote barani Afrika.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi16 Sep
Sera za kila Mtanzania kuwa tajiri ni ndoto za mchana
"Siku zote tajiri ndiye atakayeamua huyu alipwe mshahara kiasi gani, huyu apate kiasi gani. Na itaendelea kuwa hivyo mpaka wafanyakazi wamgomee, waje juu waseme; “Wewe siyo tajiri mzuri!†Sijui kama kuna tajiri mzuri na tajiri mbaya, na hivyo nawaambieni kwamba hakuna tajiri mzuri, matajiri wote ni wezi!â€
10 years ago
Habarileo14 Nov
Dewji tajiri zaidi Afrika Mashariki
MFANYABIASHARA maarufu nchini, Mohammed `Mo’ Dewji (39), amezidi kupaa kwa utajiri, kiasi cha sasa kuwa ndiye bilionea kijana zaidi katika nchi za Afrika Mashariki, lakini pia akitajwa ndiye bilionea kijana zaidi barani Afrika.
10 years ago
BBCSwahili05 May
Mtu tajiri Afrika ataka kuinunua Arsenal
Mtu tajiri barani Afrika Aliko Dangote amesema kuwa bado anataka kuinunua kilabu ya Arsenal
9 years ago
Michuzi03 Sep
HAJA YA HOJA: NI LINI TAJIRI AKAPENDA MASKINI AKAWA TAJIRI KAMA YEYE
Ni jambo lilo wazi kuwa watu wote hawawezi kuwa sawa, hivyo watu wote hawawezi kuwa matajiri. Hivyo kulipo na matajiri wakubwa na maskini nao ni wengi. Kwa sababu tajiri na maskini wanategemeana. Utajiri hauwezi kuwepo bila kuwepo umaskini.Kwa mantiki hiyo ili tajiri awepo maskini lazima awepo na maskini akiwepo na tajiri atakuwepo, wote wanategemeana. Kanuni hii ni kwa watu na hata nchi.Ni kweli matajiri wanachukia umaskini na maskini wenyewe wanatamani utajiri. Hivyo si rahisi kwa...
5 years ago
BBCSwahili07 Mar
Aliko Dangote: Mtu tajiri zaidi Afrika apewa bei ya kuinunua Arsenal
Mtu tajiri zaidi barani AfrikaAliko Dangote hatimaye amepatiwa bei ya kuinunua klabu ya Ligi kuu ya England Arsenal.
10 years ago
Vijimambo04 Mar
Dewji sasa bilionea kijana Afrika
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2642142/highRes/958679/-/maxw/600/-/vxkdpiz/-/dewji.jpg)
11 years ago
Mwananchi06 Feb
Utata kesi ya Mtanzania Afrika Kusini
Kesi ya Mtanzania Stephen Ongolo anayeshikiliwa na polisi Afrika Kusini akituhumiwa kutishia kutoa siri za mke wa pili wa Rais wa nchi hiyo, Jacob Zuma, Nompumelelo Ntuli Zuma (MaNtuli), imeibua mabishano ya kisheria ya kuhusu mahali anapotakiwa kushtakiwa.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
14-February-2025 in Tanzania