Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KILA MTANZANIA AJITOLEE KUWA BALOZI WA FISTULA – HALIMA KIEMBA‏

Mkuu wa Wilaya ya Pwani Bi. Halima Kiemba, akizunungumza na Mabalozi wa wa Fistula kutoka Mikoa mbalimbali ya Tanzania Bara na Visiwani kabla ya uzinduzi Rasmi wa Mafunzo hayo, ikiwa ni sehemu ya kuelekea katika maadhimisho ya siku ya fistula duniani ambayo huadhimishwa tarehe 23 Mei, Pamoja nae katika picha ni Mkuu wa Vodacom Foundation Yessaya Mwakifulefule (Wa kwanza kushoto) Mratibu wa mradi wa kutokomeza Fistula,Clement...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Sera za kila Mtanzania kuwa tajiri ni ndoto za mchana

"Siku zote tajiri ndiye atakayeamua huyu alipwe mshahara kiasi gani, huyu apate kiasi gani. Na itaendelea kuwa hivyo mpaka wafanyakazi wamgomee, waje juu waseme; “Wewe siyo tajiri mzuri!” Sijui kama kuna tajiri mzuri na tajiri mbaya, na hivyo nawaambieni kwamba hakuna tajiri mzuri, matajiri wote ni wezi!”

 

10 years ago

GPL

BALOZI WA JAYMILLIONS AHIMIZA WATEJA KUANGALIA KAMA NAMBA ZAO ZIMESHINDA KILA SIKU‏

Balozi wa Promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania Hilary Daud”Zembwela” (kulia) akisalimiana na Mshindi wa kwanza wa shilingi milioni 100 kupitia promosheni hiyo mkazi wa Kilolo mkoani Iringa Uwezo Magedenge (22)mara alipomtembelea hotelini kwake alipofikia jijini Dar es Salaam kabla ya kukabidhiwa kitita chake wiki iliyopita na kurudi mkoani Iringa. Mshindi wa kwanza wa shilingi milioni 100...

 

10 years ago

Dewji Blog

Fistula yawatesa akinamama 3,000 Tanzania kila mwaka

Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu Duniani (UNFPA), Dk. Natalia Kanem wa (kwanza kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuzungumzia Maadhimisho ya Siku ya kupinga ugonjwa wa Fistula Duniani. Wa pili kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa Hospitali ya CCBRT Tanzania, Brenda Msangi.

Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu Duniani (UNFPA), Dk. Natalia Kanem wa (kwanza kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuzungumzia Maadhimisho ya Siku ya kupinga ugonjwa wa Fistula Duniani. Wa pili kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa Hospitali ya CCBRT Tanzania, Brenda Msangi.

Naibu Mkurugenzi wa Hospitali ya CCBRT Tanzania, Brenda Msangi akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuzungumzia Maadhimisho ya Siku ya kupinga ugonjwa wa Fistula Duniani. Wa kwanza kulia ni Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu Duniani (UNFPA), Dk. Natalia Kanem.

Naibu Mkurugenzi wa Hospitali ya CCBRT Tanzania, Brenda Msangi akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuzungumzia Maadhimisho ya Siku ya kupinga...

 

10 years ago

GPL

KATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE KUWA MGENI RASMI KATIKA MKUTANO WA WADAU WA TAKWIMU‏

Afisa Habari wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Veronica Kazimoto akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu mkutano wa wadau wa takwimu wenye lengo la kujadili namna ya kushirikiana katika kuhakikisha takwimu za viashiria vya Mpango wa Maendeleo Endelevu (SDGs) zinapatikana kwa wakati unaotakiwa. Mkutano huo utafanyika kesho katika ukumbi wa hoteli ya Habour View iliyopo Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Taifa...

 

11 years ago

GPL

SIKU YA FISTULA DUNIANI ILIVYOADHIMISHWA ZANZIBAR‏

Mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya siku ya Fistula, Mwakilishi wa Baraza la wawakilishi, Wanu Ameir (kushoto) akipokewa na Balozi wa Fistula, Khadija Salum baada ya kuwasili kwenye hospitali ya Kwamtipura mjini Zanzibar jana,wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Fistula Duniani na utoaji wa elimu kwa Umma kuhusu tatizo hilo.Elimu hiyo ilitolewa kwa ushirikiano wa wadau wa CCBRT,UNFP,Vodacom Foundation.
Wananchi wakimsikiliza mgeni...

 

11 years ago

GPL

KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA FISTULA DUNIANI‏

Baadhi ya wakazi wa Tandika sokoni jijini Dar es Salaam,wakisoma vipeperushi vyenye ujumbe wa “Fistula inatibia” wakati wa kampeni ya kutoa elimu kwa Umma juu ya tatizo hilo kuwa linatibika kwa ushirikiano wa wadau wa CCBRT,UNFPA na Vodacom Foundation.Kampeni hizo zinafanyika nchi nzima katika kuaziamisha siku ya Fistula duniani. Mmoja wa wasanii wa kundi la “Mpoto Theater”akigawa… ...

 

11 years ago

Mwananchi

Kila Mtanzania sasa anadaiwa Sh600,000

Wakati Serikali ikibanwa na wabunge kwa kushindwa kutekeleza Bajeti ya mwaka 2013/14 kutokana na kutegemea fedha za wahisani, Kamati ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara imesema deni la taifa limeongezeka kwa Sh8.2 trilioni kwa kipindi cha miezi saba tu.

 

10 years ago

Raia Tanzania

‘Kila Mtanzania ana haki ya kupata elimu’

ELIMU ndiyo ufunguo wa maisha, binadamu aliyekamilika hapa duniani ili awe kamili lazima awe na elimu ya mazingira yanayomzunguka, ndiyo maana vitabu vya Mungu vyote vinahimiza umuhimu wa elimu.

Unapoitaja elimu kwa muktadha wa wa mwanga katika jamii, unaongeza umuhimu wake kwa kila mwenye fursa ya kuipata bila kujali umri, hali ya kiuchumi na jinzia. Kumekuwepo na tatizo la watu waliopita umri wa kuanza shule ya msingi ambao ni miaka saba, serikali ikabaini hilo tatizo na kuanzisha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani