BALOZI WA JAYMILLIONS AHIMIZA WATEJA KUANGALIA KAMA NAMBA ZAO ZIMESHINDA KILA SIKU
![](http://api.ning.com:80/files/sRY-hG6lRQ9miFc0z0-5jvYUIt-NbdefZ1RbO3cp7jh2SVrIQ112z5qQdcFdT6ZtrA9Q4EDOnsYG0DNyMMX6d2OUn4DD5Ynp/002.BALOZI.jpg)
Balozi wa Promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania Hilary Daudâ€Zembwela†(kulia) akisalimiana na Mshindi wa kwanza wa shilingi milioni 100 kupitia promosheni hiyo mkazi wa Kilolo mkoani Iringa Uwezo Magedenge (22)mara alipomtembelea hotelini kwake alipofikia jijini Dar es Salaam kabla ya kukabidhiwa kitita chake wiki iliyopita na kurudi mkoani Iringa. Mshindi wa kwanza wa shilingi milioni 100...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-XSuQTTqbOZI/VN0GjTI3UtI/AAAAAAAHDXI/8SV1y1UCxUc/s72-c/unnamed%2B(31).jpg)
Balozi wa Jaymillions ahimiza wateja kuangalia kama namba zao zimeshinda kila siku
![](http://1.bp.blogspot.com/-XSuQTTqbOZI/VN0GjTI3UtI/AAAAAAAHDXI/8SV1y1UCxUc/s1600/unnamed%2B(31).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-KnUxU6Ui0u8/VN0Gj1_DvgI/AAAAAAAHDXM/HODei4m4vOo/s1600/unnamed%2B(32).jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/5SYuKLMNKFxq7-kGyycq8spCYnNxpeyXSA73bfaGYt4fVb3h0lGTJcEM0V9o8QrJLHpTuEZ7Ikyoo7aJoMRHMs4p-nFzOcou/01.jpg?width=750)
WATEJA WA AIRTEL KUSHINDA GARI MOJA KILA SIKU
Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania, Levi Nyakundi (kushoto) na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa kampuni hiyo, Beatrice Singano Mallya (kulia) wakionyesha kipeperushi wakati wakizindua rasmi promosheni ya 'Airtel Yatosha Zaidi' ambapo wateja watakaojiunga na bando la yatosha watapata nafasi ya kushinda kila siku gari moja aina ya Toyota IST. Uzinduzi wa promosheni hiyo ulifanyika jijini Dar...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-UgMzM3FKlUw/VZVxEoPkJII/AAAAAAABz3c/3STdcvAdgBM/s72-c/918.jpg)
BALOZI SEIF ATEMBELEA KIJIJI CHA FUKUCHANI KUANGALIA MAAFA YALIYOWAKUMBA WANANCHI BAADA YA NYUMBA ZAO KUEZULIWA NA UPEPO MKALI
![](http://1.bp.blogspot.com/-UgMzM3FKlUw/VZVxEoPkJII/AAAAAAABz3c/3STdcvAdgBM/s640/918.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-KdABzFif3sI/VZVxJeOQxOI/AAAAAAABz4I/paElKTZBeW4/s640/941.jpg)
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/IDSxpu6BW23L-FkTCjxgeGbm4SYDxfBMpa5cJPkH*xuCDTNWpb62Jlml1MERzVpl1kdqfzB-FFBAPt3v-ouX4N4Q6wIBtG4z/PICT12.jpg?width=650)
WATEJA WA AIRTEL WAENDELEA KUJISHINDIA PESA TASLIM KILA WIKI
Afisa mauzo wa Airtel Fabian Felician (kulia) akimzawadia shilingi million tatu, Bwana Isack Willson Mrema kutoka Dar Es Salaam baada ya kuwa mshindi katika droo ya kumi na tatu ya promosheni ya “Jiongeze na Mshiko”. Meneja mauzo wa Airtel bwana Emmanuel Raphael (kulia) akimpongeza bwana Josephat Sagati (kushoto) kutoka Musoma, baada ya kuibuka mshindi katika droo ya kumi na tatu ya promosheni ya “Jiongeze na Mshiko” na...
10 years ago
VijimamboWATEJA WA SELCOM KUJINYAKULIA TSH 100,000 KILA SIKU
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/k3CULkKWsLZBqjmlVEFhS6HP7f*MfSgE-VnuQLhDjkKPHsEO01Aneo-jkhcBx2IqOx4l-LAUtoCOGlHScgfoZEeEcAIdqTXd/001.DARLIVE.jpg)
VODACOM TANZANIA ILIVYOWARUSHA WATEJA WAKE KILA KONA YA JIJI LA DAR
Mfalme wa muziki wa taarabu na kiongozi wa kundi la Jahazi Modern taarabu Mzee Yusuf akitoa burudani kwa mashabiki wa muziki huo katika Tamasha la Wafalme lililofanyika Dar Live na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania hapo jana katika kusherehekea sikukuu ya Krismasi.…
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/GutZeHmFpMtqvMlVuFdpDOxIknp0qWlJcxg8EzYuCgG*aD-vNq6ILsh2x9F8gde46cq6h9R5-zna2TyQ-7qwRJ8Hv78zXj3v/001.jpg?width=650)
MSHINDI WA SHILINGI MILIONI 1/- KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS AKABIDHIWA KITITA CHAKE NA BALOZI WA PROMOSHENI HIYO
Balozi wa promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania Hillary Daud ‘Zembwela’na Claudia Mapunda(kulia)ambaye aliibuka mshindi wa kitita cha shilingi milioni 1/-kupitia promosheni hiyo wakihesabu fesha hizo kabla ya Balozi huyo kumkabidhi rasmi kitita chake katika hafla iliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Ili  mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno JAY au...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8k2*97pl68w3ttWqYAOmRmTGmAHW9-QgTAC1lBYpXlImVhwgu0h3x3DL9k2-nXmPEoPJkQEPLOcXWQgqYWvB4HDb98Cw5GA5/001.JAYMILLIONSMAWASILIANO.jpg)
BALOZI WA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM'JAY'AWALIPIA ABIRIA WOTE NAULI WA KITUO CHA MAWASILIANO JIJINI
Balozi wa Promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania Hilary Daudâ€Zembwelaâ€(kushoto)akimkabidhi fedha mmoja wa abiria wa basi linalofanya safari zake kutoka kituo cha mabasi cha mawasiliano cha ubungo kwenda Mwananyamala jijini Dar es Salaam kwaajili ya kuwalipia abiria wenzake nauli ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha wateja wa kampuni hiyo kutuma neno Jay kwenda 15544 ili kujua kama wameshinda. Mkazi...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania