Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Balozi wa Jaymillions ahimiza wateja kuangalia kama namba zao zimeshinda kila siku

Balozi wa Promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania Hilary Daud”Zembwela” (kulia) akisalimiana na Mshindi wa kwanza wa shilingi milioni 100 kupitia promosheni hiyo mkazi wa Kilolo mkoani Iringa Uwezo Magedenge (22)mara alipomtembelea hotelini kwake alipofikia jijini Dar es Salaam kabla ya kukabidhiwa kitita chake wiki iliyopita na kurudi mkoani Iringa. Mshindi wa kwanza wa shilingi milioni 100 kupitia promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania ,Uwezo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BALOZI WA JAYMILLIONS AHIMIZA WATEJA KUANGALIA KAMA NAMBA ZAO ZIMESHINDA KILA SIKU‏

Balozi wa Promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania Hilary Daud”Zembwela” (kulia) akisalimiana na Mshindi wa kwanza wa shilingi milioni 100 kupitia promosheni hiyo mkazi wa Kilolo mkoani Iringa Uwezo Magedenge (22)mara alipomtembelea hotelini kwake alipofikia jijini Dar es Salaam kabla ya kukabidhiwa kitita chake wiki iliyopita na kurudi mkoani Iringa. Mshindi wa kwanza wa shilingi milioni 100...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF ATEMBELEA KIJIJI CHA FUKUCHANI KUANGALIA MAAFA YALIYOWAKUMBA WANANCHI BAADA YA NYUMBA ZAO KUEZULIWA NA UPEPO MKALI

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif kati kati aliyevaa suti ya kijivu jivu akiangalia athari iliyozikumba nyumba za Wakaazi wa Kijiji cha Fukuchani Mkoa wa Kaskazini Unguja baada ya upepo mkali wa ghafla uliovuma kwa adakika Tatu jana asubuhi. Kulia ya Balozi Seif ni Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Kanal Mstaafu Juma Kassim Tindwa na Kushoto yake ni Sheha wa Shehia ya Fukuchani Bwana Abdulla Mcha Ame. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akimkabidhi Mabati 1,000 ...

 

10 years ago

Vijimambo

WATEJA WA SELCOM KUJINYAKULIA TSH 100,000 KILA SIKU

Meneja ukuzaji biashara na Masoko wa Selcom Tanzania, Juma Mgori kushoto akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya uzinduzi wa promosheni ya 'Shinda na Selcom' inayomwezesha mtumiaji wa huduma za kampuni hiyo kujishindia Tsh 100,000 ambapo washindi kumi watajishindia kitita hicho kila wiki na shindano hilo litadumu hadi mei 31 kulia ni Meneja Miradi wa Kampuni hiyo Gallus RunyetaMeneja ukuzaji biashara na Masoko wa Selcom Tanzania, Juma Mgori kushoto akibonyeza kitufe...

 

10 years ago

GPL

WATEJA WA AIRTEL KUSHINDA GARI MOJA KILA SIKU‏

Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania, Levi Nyakundi (kushoto) na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa kampuni hiyo, Beatrice Singano Mallya (kulia) wakionyesha kipeperushi wakati wakizindua rasmi  promosheni ya 'Airtel Yatosha Zaidi' ambapo wateja watakaojiunga na bando la yatosha watapata nafasi ya kushinda kila siku gari  moja aina ya Toyota IST. Uzinduzi wa promosheni hiyo ulifanyika jijini Dar...

 

10 years ago

Michuzi

Wateja wote wa Vodacom Tanzania kuperuzi intaneti bure kwa masaa 2 kila siku asubuhi

 Zaidi ya watumiaji milioni 13 wa mtandao wa simu za mkononi kuanzia leo wataweza kuperuzi internet inayofikia MB100 kwa masaa mawili bure kuanzia saa 12 alfajiri hadi saa 2 asubuhi kutokana na ofa inayojulikana kama "Good Morning Tanzania" inayotolewa na Vodacom Tanzania.

Promosheni hii imeanzishwa kutokana na kuonenakana kuwepo kwa mahitaji makubwa ya matumizi ya data katika kupata  taarifa kupitia mtandao wa intaneti.Vodacom Tanzania siku zote imekuwa mstari wa mbele kubuni huduma...

 

10 years ago

GPL

WATEJA WA VODACOM CHANGAMKIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS

Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Dar es Salaam, Tanzania, Januari 15, 2015:Wateja wa kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania wametakiwa kuchangamkia promosheni ya Jaymillions ambayo ilizinduliwa juzi ili waweze kujishindia mamilioni ya fedha kwa kuwa droo ya kwanza iliyofanyika leo/jana mshindi wa milioni 100/- hakupatikana wakiwemo washindi kumi wa...

 

10 years ago

Michuzi

ZAIDI YA BILIONI 29 ZINAWASUBIRI WATEJA WA VODACOM KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS

Wateja wa kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania wametakiwa kuchangamkia promosheni ya Jaymillions kwa kutuma ujumbe wenye neno JAY kwenye namba 15544 ili kujua kama iwapo namba zao zimeibuka na ushindi katika droo inayofanyika kila siku.
Akiongea baada ya kumalizika kwa droo ya sita ya promosheni hiyo ambayo ilifanyikiwa kupata washindi wa muda wa maongezi kufikia idadi ya 947 na kutokufanikiwa kupata mshindi wa fedha taslimu na kubakia na idadi ileile ya washindi watano waliojishindia...

 

9 years ago

Michuzi

Wateja wa Airtel kuangalia vipindi vya television kupitia simu za mkononi



 Meneja Uhusiano wa Airtel Bwana Jackson Mmbando akionyesha huduma mpya ya "Airtel TV" inavyofanya kazi wakati wa uzinduzi wa huduma hiyoitakayowawezesha wateja wa Airtel kuangalia vipindi katika vituombalimbali vya television kupitia simu zao za mkononi, akishuhudia niMeneja huduma za ziada wa Airtel,Prisca Tembo.Meneja Uhusiano wa Airtel Bwana Jackson Mmbando akiongea wakati wa uzinduzi wa huduma  mpya ya "Airtel TV" itakayowawezesha wateja wa Airtel kuangalia vipindi katika vituo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani