Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATEJA WA AIRTEL KUSHINDA GARI MOJA KILA SIKU‏

Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania, Levi Nyakundi (kushoto) na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa kampuni hiyo, Beatrice Singano Mallya (kulia) wakionyesha kipeperushi wakati wakizindua rasmi  promosheni ya 'Airtel Yatosha Zaidi' ambapo wateja watakaojiunga na bando la yatosha watapata nafasi ya kushinda kila siku gari  moja aina ya Toyota IST. Uzinduzi wa promosheni hiyo ulifanyika jijini Dar...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

WATEJA WA AIRTEL WAENDELEA KUJISHINDIA PESA TASLIM KILA WIKI‏

Afisa mauzo wa Airtel Fabian Felician (kulia) akimzawadia shilingi million tatu, Bwana Isack Willson Mrema kutoka Dar Es Salaam baada ya kuwa mshindi katika droo ya kumi na tatu ya promosheni ya “Jiongeze na Mshiko”. Meneja mauzo wa Airtel bwana Emmanuel Raphael (kulia) akimpongeza bwana Josephat Sagati (kushoto) kutoka Musoma, baada ya kuibuka mshindi katika droo ya kumi na tatu ya promosheni ya “Jiongeze na Mshiko” na...

 

10 years ago

GPL

BALOZI WA JAYMILLIONS AHIMIZA WATEJA KUANGALIA KAMA NAMBA ZAO ZIMESHINDA KILA SIKU‏

Balozi wa Promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania Hilary Daud”Zembwela” (kulia) akisalimiana na Mshindi wa kwanza wa shilingi milioni 100 kupitia promosheni hiyo mkazi wa Kilolo mkoani Iringa Uwezo Magedenge (22)mara alipomtembelea hotelini kwake alipofikia jijini Dar es Salaam kabla ya kukabidhiwa kitita chake wiki iliyopita na kurudi mkoani Iringa. Mshindi wa kwanza wa shilingi milioni 100...

 

10 years ago

GPL

WATEJA WA AIRTEL MONEY KUTUMA PESA BURE KWA MSIMU HUU WA SIKU KUU‏

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Bi Beatrice Singano Mallya. Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel kwa mara nyingi tena imewazawadia wateja wake wakatia wa msimu huu wa sikukuu na  OFA maalum itakayowawezesha  kutuma pesa bila kikomo BURE kupitia Huduma ya Airtel Money. Akiongea wakati wa uzinduzi wa promosheni hiyo Mkurugenzi wa Mawasiliano Bi Beatrice Singano Mallya alisema” Tumeona ni vyema kuwazawadia wateja...

 

10 years ago

Habarileo

NBC wazindua kampeni wateja kushinda gari

BENKI ya NBC imezindua kampeni inawowapa wateja wa benki hiyo nafasi ya kuweka akiba na kujishindia gari aina ya Nissan Double Cabin Pick up.

 

9 years ago

Global Publishers

Wateja wa Airtel kushinda mamilioni kupitia promosheni ya “Airtel mkwanjika”

Pic 2 (1)Meneja uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando pamoja na Meneja Masoko wa Airtel Bi Anethy Muga kwa pamoja wakizindua promosheni mpya ya “Airtel MKWANJIKA” itakayowawezesha wateja wote wa Airtel nchi nzima
kujishindia mamilioni ya pesa taslimu kila siku.

Promosheni ya “Airtel MKWANJIKA” itawawezesha wateja wote wanaojinga na kifurushi chochote cha yatosha au kuongeza muda wa maongezi wa kiwango chochote kwenye simu zao kuingia kwenye droo na kupata nafasi ya kujishindia.

Kila siku wateja...

 

9 years ago

Michuzi

Wateja wa Airtel kushinda mamilioni ya pesa kupitia promosheni ya “Airtel MKWANJIKA”

Meneja uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando pamoja na Meneja Masoko wa Airtel Bi Anethy Muga kwa pamoja wakizindua promosheni mpya ya “Airtel MKWANJIKA” itakayowawezesha wateja wote wa Airtel nchi nzima kujishindia mamilioni ya pesa taslimu kila siku.Meneja Masoko wa Airtel Bi Anethy Muga akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa promosheni mpya ijulikanayo kama “Airtel MKWANJIKA” itakayowawezesha wateja wote wa Airtel nchi nzima kujishindia mamilioni ya pesa taslimu kila siku.

 

9 years ago

GPL

AIRTEL YATOA GAWIO LA TSHS BILIONI 5.3 KWA WATEJA WA AIRTEL MONEY‏

Meneja biashara wa kitengo cha Airtel Money, Bwn Asupya Naligingwa (kushoto) akiongea na waandishi wa habari wakati wa kutangaza Airtel kugawa gawio la faida la zaidi ya shilingi billion 5 kwa wateja na mawakala wake wanaotumia huduma ya Airtel Money nchi nzima. Pichani ni Afisa uhusiano wa Airtel Tanzania Bi Jane Matinde. Dar es Salaam, Jumatano 30 Septemba 2015, Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel leo imetangaza...

 

10 years ago

Michuzi

Airtel yamkabithi Mkazi wa Kyela Mbeya Bwana Edom Mwansasu gari Lake Baada ya kuibuka kuwa moja kati ya washindi wa wiki ya pili ya Airtel Yatosha Zaidi

Mkaazi wa Kyela mkoani Mbeya Bwana Edom Dickson Mwansasu amekabithiwa gari aina ya Toyota IST na Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel mara baada ya kuibuka mshindi kupitia droo ya wiki ya pili ya promosheni ya Airtel Yatosha Zaidi iliyofanyika siku ya ijumaa iliyopita Bwana Edom Mwansasu mwenye umri wa miaka 40 anajishughulisha na shughuli za kilimo huko Ngonga Kyela Mkoani Mbeya ameibuka mshindi baada ya kununua na kujiunga na vifurushi vya siku vya huduma ya Airtel yatosha kila...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani