Wateja wa Airtel kushinda mamilioni ya pesa kupitia promosheni ya “Airtel MKWANJIKAâ€
Meneja uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando pamoja na Meneja Masoko wa Airtel Bi Anethy Muga kwa pamoja wakizindua promosheni mpya ya “Airtel MKWANJIKA” itakayowawezesha wateja wote wa Airtel nchi nzima kujishindia mamilioni ya pesa taslimu kila siku.Meneja Masoko wa Airtel Bi Anethy Muga akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa promosheni mpya ijulikanayo kama “Airtel MKWANJIKA” itakayowawezesha wateja wote wa Airtel nchi nzima kujishindia mamilioni ya pesa taslimu kila siku.
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers16 Dec
Wateja wa Airtel kushinda mamilioni kupitia promosheni ya “Airtel mkwanjikaâ€
Meneja uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando pamoja na Meneja Masoko wa Airtel Bi Anethy Muga kwa pamoja wakizindua promosheni mpya ya “Airtel MKWANJIKA” itakayowawezesha wateja wote wa Airtel nchi nzima
kujishindia mamilioni ya pesa taslimu kila siku.
Promosheni ya “Airtel MKWANJIKA” itawawezesha wateja wote wanaojinga na kifurushi chochote cha yatosha au kuongeza muda wa maongezi wa kiwango chochote kwenye simu zao kuingia kwenye droo na kupata nafasi ya kujishindia.
Kila siku wateja...
9 years ago
GPLAIRTEL YAWAZAWADIA WATEJA WAKE MAMILIONI KUPITIA PROMOSHENI YAKE YA “JIONGEZEE NA MSHIKO”
10 years ago
GPLWATEJA WA AIRTEL KUJISHINDIA MAMILIONI YA PESA
9 years ago
GPLWATEJA WA AIRTEL WAZIDI KUSHIDA MAMILIONI YA PESA
9 years ago
Global Publishers05 Jan
Airtel yachezesha droo ya wiki ya 3 ya Promosheni ya Airtel Mkwanjikaâ€
Afisa Masoko ya Airtel bi Rebecca Mauma (katika) akiponyeza kitufe cha kutafuta washindi wa droo ya wiki ya tatu ya promosheni ya Airtel Mkwanjika wakati wa kucheza droo hiyo iliyofanyika katika katika ofisi za Airtel Makao makuu morocco jijini Dar es salaam. Wakishuhudia ni mwakilishi wa bodi ya michezo ya kubahatisha Bwana Bakari Maggid (kushoto) na Msimamizi wa kipindi cha Tv cha promosheni ya Airtel mkwanjika Abdalah Wambua (kulia)
Msimamizi wa kipindi cha Tv cha promosheni ya Airtel...
9 years ago
MichuziWATEJA WA AIRTEL WAZAWADIWA MILIONI 25 KUPITIA PROMOSHENI YA JIONGEZE NA MSHIKO
pesa taslimu bwana Mwahamadi Katula (24) mfanyabiashara na mkazi wamkoa wa Kagera , mara baada ya kuibuka mshindi wa shilingi milioni 3katika droo ya wiki ya tano ya promosheni ya Jiongeze na Mshikoinayoendeshwa na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel.Afisa uhusiano na matukio, Dangio Kaniki akiongea na mshindialiyepatikana wakati wa kuchezesha droo ya sita ya wiki ya promosheniya "Jiongeze na Mshiko" ambapo wateja wawili...
9 years ago
GPLWATEJA WA AIRTEL WAZAWADIWA MILIONI 25 KUPITIA PROMOSHENI YA JIONGEZE NA MSHIKO
5 years ago
MichuziWateja wa Tigo Pesa sasa wanaweza kutuma na kupokea pesa kutoka M-PESA ya Kenya, MTN nchini Uganda, Airtel na MTN nchini Rwanda
Huduma hii ni wazi sasa kwamba inawaunganisha wateja wa Tigo Pesa na mitandao mingine mikubwa ya mawasiliano katika ukanda wa Afrika Mashariki inayotoa huduma za kifedha kupitia simu za mkononi hatua ambayo itakuza...
10 years ago
MichuziAirtel yazindua huduma ya kutuma na kutoa pesa Afrika Mashariki kupitia Airtel money
Huduma hii ya kwanza barani Afrika itamwezesha Mteja wa Airtel kutuma , kupokea na kutoa pesa kutoka kwenye salio lake la Airtel Money Hatua ya awali ya huduma hii inategemea kuanza tarehe 1 November 2014 kwa kushirikisha nchi za Kenya, Uganda, Tanzania na Rwanda ambapo huduma hii itaweza kupatikana...