WATEJA WA AIRTEL WAZAWADIWA MILIONI 25 KUPITIA PROMOSHENI YA JIONGEZE NA MSHIKO

Meneja Mauzo wa Airtel Kagera , Mohamed Kabeke (kushoto) akimkabithi pesa taslimu bwana Mwahamadi Katula (24) mfanyabiashara na mkazi wa mkoa wa Kagera , mara baada ya kuibuka mshindi wa shilingi milioni 3 katika droo ya wiki ya tano ya promosheni ya Jiongeze na Mshiko inayoendeshwa na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel. Afisa uhusiano na matukio, Bi Dangio Kaniki akiongea na mshindi aliyepatikana wakati wa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
WATEJA WA AIRTEL WAZAWADIWA MILIONI 25 KUPITIA PROMOSHENI YA JIONGEZE NA MSHIKO

pesa taslimu bwana Mwahamadi Katula (24) mfanyabiashara na mkazi wamkoa wa Kagera , mara baada ya kuibuka mshindi wa shilingi milioni 3katika droo ya wiki ya tano ya promosheni ya Jiongeze na Mshikoinayoendeshwa na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel.

10 years ago
GPLAIRTEL YAWAZAWADIA WATEJA WAKE MAMILIONI KUPITIA PROMOSHENI YAKE YA “JIONGEZEE NA MSHIKO”
Maneja mauzo wa Airtel Kigoma Philip Nkupama (kushoto) akimzawadia shilingi million moja, Bwana Luwi Saulo Karunda kutoka Kigoma baada ya kuwa mshindi katika droo ya nane ya promosheni ya “Jiongeze na Mshiko”. Afisa huduma za ziada Airtel bwana Fabian Felician.(kulia) akimzawadia shilingi million tatu Habibu Mwella Freuzi (kushoto), shilingi million tatu, baada ya kuwa mshindi katika droo ya nane ya promosheni ya...
9 years ago
GPL
AIRTEL YATANGAZA MSHINDI WA MILIONI 50 WA PROMOSHENI YA JIONGEZE NA MSHIKO
Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mmbando (katikati) akiongea na mshindi wa droo ya promosheni ya "Jiongeze na Mshiko", Sylvester Kucas Boyo, mwanafunzi na mkazi wa Shinyanga alijishindia mil. 50 na Juma Sekele Maruka, Mwalimu mkazi wa Nyakato, Mwanza wateja wawili wa Airtel waliibuka washindi, (kushoto) ni Mkaguzi kutoka Bodi ya Michezo ya KJubahatisha, Humudi Abdul Hussein na Ofisa huduma za ziada Airtel, Fabian...
10 years ago
GPLAIRTEL YAPATA WASHINDI WATANO WA PROMOSHENI YA JIONGEZE NA MSHIKO
Afisa huduma za ziada wa Airtel bwana Fabian Felician akiongea na mshindi aliyepatikana wakati wa kuchezesha droo ya tano ya wiki ya promosheni ya "Jiongeze na Mshiko" ambapo wateja wawili wa Airtel kutoka mikoa ya Manyara na Bukoba walipatikana (kushoto) ni mkaguzi kutoka bodi ya michezo ya kubahatisha bwana Bakari Majid (kushoto) droo hii imechezwa jana katika makao makuu ya Airtel Moroco jijini Dar es saalam. Afisa huduma za...
10 years ago
GPLAIRTEL YATANGAZA WASHINDI WA DRAW YA PILI YA PROMOSHENI YA “JIONGEZE NA MSHIKO”
Afisa Uhusiano na matukio wa Airtel, Dangio Kaniki (katikati) akiongea na mshindi aliyepatikana wakati wa kuchezesha droo ya pili ya wiki ya promosheni ya "Jiongeze na Mshiko" ambapo wateja wawili wa Airtel kutoka mikoa ya Musoma na Tabora walipatikana akichukua taarifa za mshindi (kushoto) ni mkaguzi kutoka bodi ya michezo ya kubahatisha bwana Humudi Abdul Hussein na Afisa huduma za ziada Airtel bwana Fabian Felician. Droo hii...
10 years ago
GPL
AIRTEL YATANGAZA WASHINDI WA KWANZA WA DROO YA PROMOSHENI YA "JIONGEZE NA MSHIKO"
Meneja uhusiano wa Airtel, bwana Jackson Mmbando akiongea na mshindi aliyepatikana wakati wa kuchezesha droo ya kwanza ya wiki ya promosheni ya "Jiongeze na Mshiko" ambapo wateja wawili wa Airtel kutoka mikoa ya Geita na Mtwara walipatikana akichukua taarifa za mshindi (kushoto) ni mkaguzi kutoka bodi ya michezo ya kubahatisha bwana Humudi Abdul Hussein na Afisa huduma za ziada Airtel bwana Fabian Felician.(kati) droo hii...
10 years ago
MichuziAIRTEL YAPATA WASHINDI WATANO WA PROMOSHENI YA JIONGEZE NA MSHIKO
10 years ago
Michuzi
Airtel yakabithi pesa kwa washindi wa promosheni ya “Jiongeze na Mshiko”

akikabidhiwa fedha na Meneja wa Airtel Musoma, Emmanuel Rafael
(Kushoto) baada ya kuibuka mshindi wa droo ya pili ya promosheni ya
“Jiongeze na Mshiko”.Wakazi wawili wa Tabora na Musoma wameeleza furaha yao mara baada ya Kampuni ya mawasiliano ya Airtel kuendelea kukonga nyoyo za wateja wake na Watanzania kwa ujumla kwa kuwatangaza na kuwakabithi pesa zao baada ya kuibuka washindi wa wiki ya pili ya promosheni inayoendelea ya “Jiongeze na...
10 years ago
Michuzi
AIRTEL YATANGAZA WASHINDI WA KWANZA WA DROO YA PROMOSHENI YA "JIONGEZE NA MSHIKO"

aliyepatikana wakati wa kuchezesha droo ya kwanza ya wiki ya
promosheni ya "Jiongeze na Mshiko" ambapo wateja wawili wa Airtel
kutoka mikoa ya Geita na Mtwara walipatikana akichukua taarifa za
mshindi (kushoto) ni mkaguzi kutoka bodi ya michezo ya kubahatisha
bwana Humudi Abdul Hussein na Afisa huduma za ziada Airtel bwana
Fabian Felician.(kati) droo hii imechezwa leo katika makao makuu ya
Airtel Moroco jijini Dar es...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania