Airtel yachezesha droo ya wiki ya 3 ya Promosheni ya Airtel Mkwanjikaâ€
Afisa Masoko ya Airtel bi Rebecca Mauma (katika) akiponyeza kitufe cha kutafuta washindi wa droo ya wiki ya tatu ya promosheni ya Airtel Mkwanjika wakati wa kucheza droo hiyo iliyofanyika katika katika ofisi za Airtel Makao makuu morocco jijini Dar es salaam. Wakishuhudia ni mwakilishi wa bodi ya michezo ya kubahatisha Bwana Bakari Maggid (kushoto) na Msimamizi wa kipindi cha Tv cha promosheni ya Airtel mkwanjika Abdalah Wambua (kulia)
Msimamizi wa kipindi cha Tv cha promosheni ya Airtel...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
Airtel Yatangaza kufanya droo ya wiki ya pili ya promosheni ya Airtel Yatosha Zaidi
Akiongea na waandishi wa habari wakati wa mkutano wa kuitambulisha promosheni ya Airtel yatosha zaidi kwa wakazi wa Mkoa wa Dodoma, kwenye hoteli ya Dodoma, Afisa Uhusiano wa Airtel,Bi. Jane Matinde alisema” kama ilivyo kawaida tunazunguka katika mikoa mbalimbali kutoa elimu juu ya huduma na bidhaa zetu pamoja...
9 years ago
Global Publishers16 Dec
Wateja wa Airtel kushinda mamilioni kupitia promosheni ya “Airtel mkwanjikaâ€
Meneja uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando pamoja na Meneja Masoko wa Airtel Bi Anethy Muga kwa pamoja wakizindua promosheni mpya ya “Airtel MKWANJIKA” itakayowawezesha wateja wote wa Airtel nchi nzima
kujishindia mamilioni ya pesa taslimu kila siku.
Promosheni ya “Airtel MKWANJIKA” itawawezesha wateja wote wanaojinga na kifurushi chochote cha yatosha au kuongeza muda wa maongezi wa kiwango chochote kwenye simu zao kuingia kwenye droo na kupata nafasi ya kujishindia.
Kila siku wateja...
9 years ago
Michuzi
Wateja wa Airtel kushinda mamilioni ya pesa kupitia promosheni ya “Airtel MKWANJIKAâ€

9 years ago
MichuziDROO YA PILI YA AIRTEL MKWANJIKA PROMOSHENI
9 years ago
MichuziDROO YA PILI YA AIRTEL MKWANJIKA PROMOSHENI YAFANYIKA
9 years ago
Global Publishers06 Jan
10 years ago
Michuzi
AIRTEL YATANGAZA WASHINDI WA KWANZA WA DROO YA PROMOSHENI YA "JIONGEZE NA MSHIKO"

aliyepatikana wakati wa kuchezesha droo ya kwanza ya wiki ya
promosheni ya "Jiongeze na Mshiko" ambapo wateja wawili wa Airtel
kutoka mikoa ya Geita na Mtwara walipatikana akichukua taarifa za
mshindi (kushoto) ni mkaguzi kutoka bodi ya michezo ya kubahatisha
bwana Humudi Abdul Hussein na Afisa huduma za ziada Airtel bwana
Fabian Felician.(kati) droo hii imechezwa leo katika makao makuu ya
Airtel Moroco jijini Dar es...
11 years ago
Michuzi
SBL YACHEZESHA DROO YA NNE YA PROMOSHENI YA WINDA SAFARI YA BRAZILI NA SERENGETI YAENDELEA .


SBL YACHEZESHA DROO YA NNE YA PROMOSHENI YA WINDA SAFARI YA BRAZILI NA SERENGETI YAENDELEA .
Hatimaye mshindi wa kwanza wa tiketi ya kwenda Brazili kupitia bia ya Serengeti...
10 years ago
Michuzi.jpg)
Airtel yazindua promosheni ya Airtel yatosha Zaidi kwa Wakazi wa Mwaza
.jpg)
.jpg)
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10