Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BALOZI SEIF ATEMBELEA KIJIJI CHA FUKUCHANI KUANGALIA MAAFA YALIYOWAKUMBA WANANCHI BAADA YA NYUMBA ZAO KUEZULIWA NA UPEPO MKALI

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif kati kati aliyevaa suti ya kijivu jivu akiangalia athari iliyozikumba nyumba za Wakaazi wa Kijiji cha Fukuchani Mkoa wa Kaskazini Unguja baada ya upepo mkali wa ghafla uliovuma kwa adakika Tatu jana asubuhi. Kulia ya Balozi Seif ni Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Kanal Mstaafu Juma Kassim Tindwa na Kushoto yake ni Sheha wa Shehia ya Fukuchani Bwana Abdulla Mcha Ame. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akimkabidhi Mabati 1,000 ...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Familia yaishi chooni ni baada ya nyumba yao kuezuliwa na upepo wilayani Hai, Kilimanjaro

 Aziza Mohamed(55)akiwa na mjukuu wake katika choo ambacho hivi sasa wamekigeuza kuwa makazi baada ya mvua iliyoambatana na upepo mkali kuezua nyumba yake wilayani Hai.  Aziza Mohamed(55)akiwa na mjukuu wake katika choo ambacho hivi sasa wamekigeuza kuwa makazi baada ya mvua iliyoambatana na upepo mkali kuezua nyumba yake wilayani Hai.
 Nyumba ambayo familia ya Aziza Maohamed ilikuwa ikiishi awali kabla ya kuezuliwa na upepo mkali ulioambatana na mvua katika kitongoji cha Kijweni...

 

11 years ago

Michuzi

Balozi seif ali Iddi atembelea Kijiji cha Kilombero

Meneja Mkuu wa Shirika la Umeme Zanzibar { ZECO } Nd. Hassan Ali Hassan alisema shirika lake linakusudia kutumia rasilmali ilizonazo katika kuhakikisha huduma za umeme zinapatikana kwenye kisima cha maji cha Kijiji cha Kilombero ili kuwaondoshea usumbufu wa huduma za maji safi  kwa Wananchi wa Kijiji hicho. Alisema kazi hiyo itakayoanza wakati wowote kuanzia sasa inatarajiwa kukamilika sambamba na ulazwaji wa mabomba ya maji utakaofanya na wahandisi wa Mamlaka ya Maji Zanzibar { ZAWA }...

 

10 years ago

Michuzi

Balozi seif atembelea Kijiji cha Mvuleni Kidoti Wilaya ya Kaskazini “A “ Zanzibar

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kuwahudumia Wananchi wake katika kuwapatia huduma muhimu na za msingi za Kijamii ikielewa fika kwamba inatekeleza Sera na ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alitoa kauli hiyo hapo katika Kijiji cha Mvuleni Kidoti Wilaya ya Kaskazini “A “ wakati akikabidhi vifaa mbali mbali vya ujenzi kwa ajili ya kuufanyia matengenezo makubwa Msikiti Mkuu wa Ijumaa wa Kijiji hicho. Balozi Seif alikabidhi...

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Seif azungumza na Wananchi wa Kijiji cha Kiomba Mvua, Zanzibar

Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif Ali Iddi alisema kwamba ahadi alizotoa kwa Wananchi wa Jimbo hilo wakati akiwatumikia ndani ya Kipindi cha Miaka 10 iliyopita atahakikisha kwamba anazikamilisha kabla ya kuanza kwa  kipindi chengine cha Uongozi  baada ya kumalizika kwa uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu.
Alisema yeye bado anaendelea kuwa Kiongozi wa Jimbo hilo kwa vile jukumu la kuwatumikia Wananchi wa Maeneo hayo  uko mikononi mwake na wala hafanyi kampeni kwa mujibu wa kanuni kwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal awajulia hali wananchi walioangukiwa na nyumba zao kwa upepo na mvua kubwa Msoga

4

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete (wa pili kulia), Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli na baadhi ya Viongozi, wakati alipowasili Kitongoji cha Mnazi Mmoja, Msoga jana kwa ajili ya kuwafariji wananchi waliokubwa na maafa kwa kuangukiwa na nyumba zao kutokana na Mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali iliyonyesha juzi. Katika tukio hilo jumla ya watu 12 walijeruhiwa na jumla ya nyumba 128...

 

11 years ago

Michuzi

Balozi seif atembelea Wazee wanaotunzwa katika Nyumba za Serikali za Welezo na Sebleni

Na Othman Khamis Ame, OMPRMakamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kuwa na wajibu na jukumu kubwa la kuwatunza na kuwathamini wazee wasiojiweza hivi sasa kutokana na mchango wao mkubwa walioutoa kwa nchi hii wakati wa kulitumikia Taifa lao. Alisema mchango wa wazee hao umekuwa ukiendelea kutumiwa na wananchi walio wengi hapa nchini ikiwemo kigezo cha amani na utulivu kinachotokana na juhudi za wazee hao wakati wa...

 

10 years ago

Michuzi

balozi seif azinduwa msikiti wa Kijiji cha Tasani Makunduchi

Wanazuoni, Masheikh na wazee wote nchini wana wajibu mkubwa wa kuisaidia Serikali Kuu katika jitihada zake za kukuza elimu, kujenga jamii iliyo bora, kulinda amani pamoja na kukataza maovu vikiwemo vitendo vya unyanyasaji na udhalilishaji wa kijinsia. Kauli hiyo imetolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Al – hajj Dr. Ali Mohamed Shein wakati akiufunguwa msikiti wa Kijiji cha Tasani Makunduchi unaokadiriwa kusaliwa na waumini wapatao 200 kwa wakati mmoja wa sala. Dr....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani