balozi seif azinduwa msikiti wa Kijiji cha Tasani Makunduchi
![](http://2.bp.blogspot.com/-koeuutUsRcQ/VFUeSkRHb6I/AAAAAAAGuu0/Ee049fMCUGM/s72-c/unnamed%2B(21).jpg)
Wanazuoni, Masheikh na wazee wote nchini wana wajibu mkubwa wa kuisaidia Serikali Kuu katika jitihada zake za kukuza elimu, kujenga jamii iliyo bora, kulinda amani pamoja na kukataza maovu vikiwemo vitendo vya unyanyasaji na udhalilishaji wa kijinsia. Kauli hiyo imetolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Al – hajj Dr. Ali Mohamed Shein wakati akiufunguwa msikiti wa Kijiji cha Tasani Makunduchi unaokadiriwa kusaliwa na waumini wapatao 200 kwa wakati mmoja wa sala. Dr....
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HbsRLQ*GNXbO*i3q5NIT95733kyKHvlGA-F6zYS3ApIi6vBrlQvAxzTbDaOpXoAXQrMJ*H6QqCnwCHvK7T-s16syRViNf3Zy/1.jpg?width=650)
BALOZI SEIF ALI IDDI AWEKA JIWE LA MSINGI LA MSIKITI MKUU WA IJUMAA WA KIJIJI CHA PERAMIHO, RUVUMA
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-0vMev7woWv4/VD5HZYZzb5I/AAAAAAAGqlQ/nJsSU5TKufQ/s72-c/056.jpg)
Balozi Seif Ali Iddi aweka jiwe la Msingi la Msikiti Mkuu wa Ijumaa wa Kijiji cha Peramiho,Ruvuma
Balozi Seif alieleza hayo wakati wa hafla fupi ya kuweka jiwe la Msingi la Msikiti Mkuu wa Ijumaa wa Kijiji cha Peramiho uitwao Masjid Jidah akiwa katika ziara ya siku mbili Mkoani Ruvuma kukagua shughuli za maendeleo, kiuchumi pamoja na ustawi...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-XnSwHTWj3YU/VSjGb2KtA7I/AAAAAAAHQPw/Nnbx_Nb6TLQ/s72-c/unnamed%2B(32).jpg)
Maalim seif azindua msikiti wa Ijumaa MASJIDIL AQSAA katika kijiji cha Kiboje Mkwajuni, Zanzibar
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-yVijUyE_LRk/U7hJKhnTaXI/AAAAAAAFvMk/QWGFr-hxwMk/s72-c/unnamed+(38).jpg)
Balozi seif ali Iddi atembelea Kijiji cha Kilombero
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-uvHxqoMJgsk/VbpDBV3TBFI/AAAAAAAHswc/zbvFi2x0vVc/s72-c/unnamed%2B%252826%2529.jpg)
Balozi Seif azungumza na Wananchi wa Kijiji cha Kiomba Mvua, Zanzibar
![](http://4.bp.blogspot.com/-uvHxqoMJgsk/VbpDBV3TBFI/AAAAAAAHswc/zbvFi2x0vVc/s640/unnamed%2B%252826%2529.jpg)
Alisema yeye bado anaendelea kuwa Kiongozi wa Jimbo hilo kwa vile jukumu la kuwatumikia Wananchi wa Maeneo hayo uko mikononi mwake na wala hafanyi kampeni kwa mujibu wa kanuni kwa...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-xs_vq68dQOM/U_DJB_XuRLI/AAAAAAAGAR4/eLzh_ggcS3k/s72-c/unnamed%2B(3).jpg)
Balozi seif atembelea Kijiji cha Mvuleni Kidoti Wilaya ya Kaskazini “A “ Zanzibar
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-ISYGvMYj3qg/Ve5lGbBoVSI/AAAAAAABHF4/Ygx4rD5NlgE/s72-c/305.jpg)
BALOZI SEIF AFANYA MKUTANO NA WANA CCM WA KIJIJI CHA KWALE WILAYA YA MICHEWENI
![](http://2.bp.blogspot.com/-ISYGvMYj3qg/Ve5lGbBoVSI/AAAAAAABHF4/Ygx4rD5NlgE/s640/305.jpg)
Iddi akisalimiana na Wananchi wa Kijiji cha Kwale Wilaya ya Micheweni wakati alipowasili kuzungumza nao.
![](http://3.bp.blogspot.com/-3L1e44JTUeY/Ve5lGnMluwI/AAAAAAABHGA/cnBYzU1aL-I/s640/306.jpg)
CCM wa Kijiji cha Kwale Wilaya ya Micheweni akitekeleza ahadi aliyotoa kwa Wazee Waasisi wa Kijiji hicho ya kufika kusalimiana nao.
![](http://4.bp.blogspot.com/-CPWXVKkDoWU/Ve5lGcnF4eI/AAAAAAABHF8/cIak0fXS2ec/s640/316.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-7W-IS0LZY7E/Ve5lHtfmHOI/AAAAAAABHGI/R2_VmEkawsY/s640/317.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Ll8ep0H_iwQ/Ve5lHwrjQ7I/AAAAAAABHGM/agUx21iJhV4/s640/323.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-hxrUT6cRpqo/VfFFL8nSrlI/AAAAAAAH3wA/qgW-Qt-CYfs/s72-c/353.jpg)
BALOZI SEIF ALLI IDD: NIAIBU KUONA KIJIJI CHA MITAMBUUNI KUKOSE HUDUMA YA SKULI
![](http://1.bp.blogspot.com/-hxrUT6cRpqo/VfFFL8nSrlI/AAAAAAAH3wA/qgW-Qt-CYfs/s640/353.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-IjEqohrIUWE/VfFFMaVR_4I/AAAAAAAH3wI/nTR1lDRi44c/s640/357.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-NqZqmhjoGYE/VdSxJO08YsI/AAAAAAAB5Zc/aVAWe5zXlXE/s72-c/876.jpg)
BALOZI SEIF AWAPOKEA VIJANA WALIOJIUNGA NA CCM NA KUANZISHA MASKANI KIJIJI CHA KINAZINI MTAMBWE KUSINI
![](http://1.bp.blogspot.com/-NqZqmhjoGYE/VdSxJO08YsI/AAAAAAAB5Zc/aVAWe5zXlXE/s640/876.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-P96MO6r6pZk/VdSxJRq2f7I/AAAAAAAB5Zk/7JbrtuHLCQI/s640/885.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Dd9hZVyxrXk/VdSxJd1uKfI/AAAAAAAB5Zg/2SIgpUrMoXU/s640/892.jpg)