Wateja wa Airtel kuangalia vipindi vya television kupitia simu za mkononi
![](http://2.bp.blogspot.com/-ujOmiOtisfc/Vk7i0kNOTQI/AAAAAAAIG9o/Tk3t0lj7noA/s72-c/Pic%2B1.jpg)
Meneja Uhusiano wa Airtel Bwana Jackson Mmbando akionyesha huduma mpya ya "Airtel TV" inavyofanya kazi wakati wa uzinduzi wa huduma hiyoitakayowawezesha wateja wa Airtel kuangalia vipindi katika vituombalimbali vya television kupitia simu zao za mkononi, akishuhudia niMeneja huduma za ziada wa Airtel,Prisca Tembo.
Meneja Uhusiano wa Airtel Bwana Jackson Mmbando akiongea wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya "Airtel TV" itakayowawezesha wateja wa Airtel kuangalia vipindi katika vituo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-9A0jwL6gbHw/Vl7dvJf0PaI/AAAAAAAIJwQ/6d_uUiiVZSw/s72-c/DSCF9436.jpg)
NHIF YAZINDUA KITUO CHA MAWASILIANO NA HUDUMA KWA WATEJA KUPITIA SIMU ZA MKONONI
![](http://2.bp.blogspot.com/-9A0jwL6gbHw/Vl7dvJf0PaI/AAAAAAAIJwQ/6d_uUiiVZSw/s640/DSCF9436.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ZEYGf101mWA/VlA0jv959RI/AAAAAAAIHhA/IRIny-CerzU/s72-c/image.jpeg)
Wateja wa Airtel kupata ofa ya simu bomba kupitia SMARTIFONIKA Bazaar
Gulio la simu yaani smartphone Bazaar litakuwa katika maeneo ya Mlimani City na Quality Center kuanzia siku ya Ijumaa, Jumamosi na Jumapili. Watanzania watapata nafasi ya kuchagua na kununua simu za aina ya smartphone inayokidhi mahitaji yao kwa bei nafuu. Ofa hii pia itapatikana katika maduka ya Airtel ...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-azZA5E--RyE/VlYkIeDiOwI/AAAAAAAIIaM/bove7Pc73jY/s72-c/40c8b8d5-8024-4fe4-8b75-13e973062579.jpg)
Airtel yazindua 'Airtel Care' programu kwa wateja * huduma ya kwanza na kipekee kutolewa na kampuni ya mawasiliano ya simu nchini, inawawezesha wateja kupata huduma zote za Airtel kwa urahisi
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NnMed0rJC6ZGyqJpi*tUj-gV3zObz9dqUt5eadYNsHwegY5-LGqTnL-IfAvHmdOIvtUilj2JcAj2BNelblsIu-4E4lPA*RPZ/1.jpg?width=650)
WATEJA WA AIRTEL KULIPA MIKOPO YA MASOMO KUPITIA HUDUMA YA AIRTEL MONEY
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-bWMaRLvxNhE/UzVwGnKqCNI/AAAAAAAFW-E/jDepWX5RxQA/s72-c/unnamed+(28).jpg)
Wateja wa Airtel kulipa mikopo ya masomo kupitia huduma ya Airtel Money
![](http://4.bp.blogspot.com/-bWMaRLvxNhE/UzVwGnKqCNI/AAAAAAAFW-E/jDepWX5RxQA/s1600/unnamed+(28).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-bQawozy3TjQ/UzVwImpeqrI/AAAAAAAFW-I/-4cSLuLPBc0/s1600/unnamed+(29).jpg)
11 years ago
MichuziWateja wa Airtel kununua Tiketi za Ndege za Precicsion Air kupitia huduma ya Airtel Money
11 years ago
GPLWATEJA WA AIRTEL KUNUNUA TIKETI NA NDEGE ZA PRECISION AIR KUPITIA HUDUMA YA AIRTEL MONEY
11 years ago
Mwananchi11 Jul
AFRIKA MASHARIKI: Wateja wa simu za mkononi EAC kupungizwa gharama
9 years ago
Dewji Blog11 Sep
Tanzania yashika nafasi ya pili katika malipo kupitia simu za mkononi
Kumiliki simu ya mkononi imekuwa si jambo la starehe kama miaka ya nyuma ilivyokuwa inasadikika. Kadri miaka inavyozidi kwenda kumekuwa na matoleo mapya ya simu za mkononi na huduma za kipekee zilizo na manufaa kwa jamii.
Meneja mkazi wa JovagoTanzania, Bw.Andrea Guzzoni amefafanua kwamba “kadri matumizi ya simu za kisasa yanavyoongezeka, kunakuwa na huduma tofauti za malipo kupitia simu za mkononi (Online payments), malipo haya yameongezeka kwa kasi kubwa kupitia Mpesa, Tigopesa, Airtel...