Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kila Mtanzania kuweza kupata simu ya kisasa

KILA Mtanzania nchini atakuwa na uwezo wa kupata simu ya kisasa na yenye uwezo mkubwa (smart phone) kwa bei ya chini kabisa katika miaka mitano ijayo kuanzia mwaka 2020 kwa mujibu wa mipango ya kampuni mpya ya simu inayojiandaa kuingia katika soko la simu la Tanzania.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Raia Tanzania

‘Kila Mtanzania ana haki ya kupata elimu’

ELIMU ndiyo ufunguo wa maisha, binadamu aliyekamilika hapa duniani ili awe kamili lazima awe na elimu ya mazingira yanayomzunguka, ndiyo maana vitabu vya Mungu vyote vinahimiza umuhimu wa elimu.

Unapoitaja elimu kwa muktadha wa wa mwanga katika jamii, unaongeza umuhimu wake kwa kila mwenye fursa ya kuipata bila kujali umri, hali ya kiuchumi na jinzia. Kumekuwepo na tatizo la watu waliopita umri wa kuanza shule ya msingi ambao ni miaka saba, serikali ikabaini hilo tatizo na kuanzisha...

 

11 years ago

Mwananchi

Kila Mtanzania sasa anadaiwa Sh600,000

Wakati Serikali ikibanwa na wabunge kwa kushindwa kutekeleza Bajeti ya mwaka 2013/14 kutokana na kutegemea fedha za wahisani, Kamati ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara imesema deni la taifa limeongezeka kwa Sh8.2 trilioni kwa kipindi cha miezi saba tu.

 

9 years ago

Mwananchi

Sera za kila Mtanzania kuwa tajiri ni ndoto za mchana

"Siku zote tajiri ndiye atakayeamua huyu alipwe mshahara kiasi gani, huyu apate kiasi gani. Na itaendelea kuwa hivyo mpaka wafanyakazi wamgomee, waje juu waseme; “Wewe siyo tajiri mzuri!” Sijui kama kuna tajiri mzuri na tajiri mbaya, na hivyo nawaambieni kwamba hakuna tajiri mzuri, matajiri wote ni wezi!”

 

10 years ago

Michuzi

ARUSHA KUPATA MIJI MIWILI YA KISASA-NHC

Wawasilishaji, James Kisarika, Yusufalli Murad, Meneja Mradi Wa USA River Satellite City na Ms. Meena Pandit, Mkurugenzi , PHILS International  ambao ni Washiriki wa NHC katika katika uendelezaji wa Mradi huo.
 Pichani.
James Kisarika akisalimiana na  Katibu Tawala Mkoa, Ndugu Ado Mapunda, muda mfupi Kabla kuanza mawasilisho ya Mradi Wa Safari City.
 Yusufalli Murad, Meneja Mradi Wa USA River Satellite City akitoa mada kuhusu mradi huo .  Baadhi ya Washiriki wa Kikao cha Kamati ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Vietnam kuleta simu za kisasa

KAMPUNI ya Viettel ya Vietnam, inakusudia kuingia katika soko la simu la Tanzania kwa kuleta simu za kisasa zenye uwezo mkubwa (smart phone) kwa bei ya chini katika miaka mitano...

 

9 years ago

GPL

WAKATI UMEFIKA KILA MTANZANIA AWEKE MBELE AMANI NA UTAIFA

Uchaguzi mkuu wa nchi hapa kwetu tunaweza kusema ni shughuli inayofanyika kila baada ya miaka mitano.  Uchaguzi una sehemu ndogo katika maisha yetu kuliko amani. Tukikaa bila amani tutavurugikiwa, tutashindwa kufanya uzalishaji na hakika tutakufa, kwa sababu ni lazima kula kila siku.
Jamii nyingi duniani zimeishi kwa muda mrefu bila kuwa na haki ya kushiriki katika uchaguzi na watu wake hawakufa kwa njaa. Kwa mantiki hiyo,...

 

10 years ago

Vijimambo

AVATAR DENTAL CARE,HUDUMA YA MENO 50%OFF KWA KILA MTANZANIA

UONGOZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA DMV UNAFURAHI KUWAFAHAMISHA WANADMV KUHUSU MCHANGO MKUBWA WA HUDUMA  YA AFYA YA MENO ITAKAYOPATIKANA KUTOKA KWA MMILIKI WA KITUO CHA AFYA YA MENO, MWANADIASPORA MTANZANIA  DR. TAALIB ALI
DR. TAALIB, NI MIONGONI MWA WATAALAMU WA AFYA WALIYOGUSWA KUBORESHA UPATIKANAJI WA HUDUMA MUHIMU ZA AFYA YA JAMII HASA KWA WAHAMIAJI. DR. TAALIB  AMEAHIDI KUTOA HUDUMA YA AFYA YA MENO 50% OFF KWA KILA MTANZANIA MUHITAJI
KWA NIABA YA WOTE, UONGOZI WA DMV UNATANGULIZA SHUKRANI...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani