Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vietnam kuleta simu za kisasa

KAMPUNI ya Viettel ya Vietnam, inakusudia kuingia katika soko la simu la Tanzania kwa kuleta simu za kisasa zenye uwezo mkubwa (smart phone) kwa bei ya chini katika miaka mitano...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali kuleta meli ya kisasa Zanzibar

SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar ipo mbioni kuleta meli kubwa na ya kisasa itakayokuwa ikisafirisha abiria kutoka Unguja  kwenda Pemba ambayo itakuwa na garantii ya usalama. Naibu Katibu Mkuu wa Chama...

 

10 years ago

GPL

SIMU ZA KISASA NI HATARI KWENYE MAPENZI!-2

Sikukuu ya Krismasi ndiyo imekwisha, ni matumaini yangu kwamba kila mmoja wetu ameinjoi sikukuu hiyo. Kwa wale ambao imewakuta vibaya kwa namna moja au nyingine, niwape pole. Wasijisikie wanyonge, Mungu atawafanyia wepesi katika matatizo yao na watarudi katika hali ya kawaida. Kwa wale ambao wana tamaduni za kutoka na wapenzi wao, najua mtakuwa meitumia vyema nafasi hiyo kupanga mikakati mizuri ya penzi lenu kwa mwaka...

 

10 years ago

GPL

SIMU ZA KISASA NI HATARI KWENYE MAPENZI!

NAFURAHI tena kukutana na nyinyi marafiki katika uwanja wetu huu wa kujidai. Kupitia safu hii tunapata wasaa wa kushauriana masuala mbalimbali yahusuyo maisha ya uhusiano.Marafiki, leo nataka kuzungumza na nyinyi juu ya maendeleo ya teknolojia ya simu za ‘kutachi’. Simu hizi zimegeuka kuwa tatizo kubwa kutokana na wengi kuzitumia ndivyo sivyo. Imefika wakati simu inamteka mtu akili kiasi cha kusababisha maafa...

 

10 years ago

Habarileo

Kila Mtanzania kuweza kupata simu ya kisasa

KILA Mtanzania nchini atakuwa na uwezo wa kupata simu ya kisasa na yenye uwezo mkubwa (smart phone) kwa bei ya chini kabisa katika miaka mitano ijayo kuanzia mwaka 2020 kwa mujibu wa mipango ya kampuni mpya ya simu inayojiandaa kuingia katika soko la simu la Tanzania.

 

10 years ago

Mwananchi

Simu za kisasa Zinawaathiri wengi kisaikolojia hata kusahau majukumu

Matumizi ya mitandao ya kijamii kwa sasa ndiyo habari ya mjini. Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko kubwa la watu wanaotumia mitandao ya kijamii sehemu mbalimbali duniani.

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA SHIRIKA LA SIMU LA VIETNAM

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Makamu wa Rais wa Shirika la Simu Vitnam (VIETTEL) Hoang Son, wakati Makamu huyo alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Machi 9, 2015 kwa mazungumzo akiwa ameongozana na ujumbe wake.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Makamu wa Rais wa Shirika la Simu Vitnam (VIETTEL) Hoang Son (wa pili kushoto kwake) na ujumbe wake...

 

9 years ago

Dewji Blog

Jovago Tanzania; Simu za kisasa zitumike katika kukuza uchumi wa nchi

Untitled

Matumizi ya simu za kisasa (smartphones) yameonyesha kuongezeka kwa kasi ambapo zaidi ya Terabyte 76,000 hutumika kwa mwezi mmoja, hii imekuwa ni mara mbili ya takwimu zilizofanyika mwaka 2013 ambapo kulikuwa na matumizi ya TB 37,500 kwa mwezi mmoja katika nchi za kusini mwa Jangwa la Sahara. (Ripoti ya Subsaharan Africa Ericsson Mobility, 2014).

Kwa upande mwingine , soko la simu za kisasa pia linakua kwa kasi, ambapo inaonyesha kuwa kutakuwa na ongezeko la mara mbili ya manunuzi ya simu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani