‘Treni ya kisasa Dar kutatua tatizo la foleni’
Wakati Mbunge wa Kuteuliwa, James Mbatia akiitaka Serikali kutangaza msongamano wa magari katika Jiji la Dar es Salaam kuwa ni janga la kitaifa, Serikali hiyo imeshauriwa kununua treni ya kisasa itakayogharimu Dola za Marekani 6 milioni (Sh9.9 bilioni) ili kuboresha usafiri na kupunguza gharama za uendeshaji treni ya sasa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLFOLENI JIJINI DAR, TATIZO SUGU!
11 years ago
Mwananchi28 Mar
Sauti za wananchi wa Dar kuhusu tatizo la foleni
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-qFg35BImoRw/UysDdF2oxMI/AAAAAAAFVHM/ayfpU1q_iPk/s72-c/02.jpg)
Barabara za juu kuondoa tatizo foleni jijini Dar
![](http://2.bp.blogspot.com/-qFg35BImoRw/UysDdF2oxMI/AAAAAAAFVHM/ayfpU1q_iPk/s1600/02.jpg)
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Ujenzi Bw. Mrtin Ntemo akiwaeleza waandishi wa habari kuhusu maendeleo yaliyofikwa katika ujenzi wa barabara hapa nchini tangu Serikali ya awamu ya nne ilipoingia madarakani . Kulia ni Afisa Habari wa Idara ya Habari Maelezo Frank Mvungi.
10 years ago
Habarileo26 Mar
Treni ya kisasa yazinduliwa Dar es Salaam
TRENI nne za kisasa za mizigo mali ya Shirika la Reli nchini (TRL) zinazokwenda nchi nne za Ukanda wa Kati zimezinduliwa jana jioni Dar es Salaam kwenda kwenye nchi hizo, tukio lililoshuhudiwa na marais na wawakilishi wa nchi husika.
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-eR65OgyYB6U/VSuStw0a5zI/AAAAAAAAapk/8zJHm94NcGE/s72-c/1.jpg)
Treni Mpya Ya Kisasa Yaanza Safari za Mwanza kuelekea Dar
![](http://3.bp.blogspot.com/-eR65OgyYB6U/VSuStw0a5zI/AAAAAAAAapk/8zJHm94NcGE/s640/1.jpg)
Treni mpya ya kisasa ya Deluxe jana imeanza safari zake kutoka Dar es Salaam kuelekea Mwanza.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana Meneja Uhusiano wa Shirika la Reli Tanzania (TRL), Midladjy Maez, alisema safari hii ni ya pili tangu treni hiyo izinduliwe Aprili Mosi mwaka huu ambapo ilikwenda Kigoma.“Safari za Delux zitakuwa kwa wiki mara moja, siku ya Jumapili itaondoka stesheni ya Dar es Salaam saa 2:00 usiku ikiwa na mabehewa 15.
“Treni hiyo itakuwa na madaraja matatu ambapo daraja la...
10 years ago
Uhuru Newspaper11 Mar
Foleni ya wagonjwa ni tatizo
Na Happiness Mtweve, Dodoma
KITENGO cha Mionzi katika Hospitali ya Rufaa ya mkoani hapa, kimeelemewa na wagonjwa huku ikiwa na mashine moja.
Daktari Bingwa wa Mionzi, Philimon Saigodi, aliwaeleza wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii, kuwa hiyo imekuwa kero kubwa kwa wagonjwa.
Alisema wanahudumia wagonjwa 60 mpaka 70 kutoka katika mikoa ya Singida, Dodoma na wilaya za Kiteto na Manyoni.
Alisema kitengo hicho ni kikubwa na kina wagonjwa wengi, ambao wanaongezeka siku hadi siku, hivyo...
11 years ago
Habarileo28 May
Serikali yatakiwa kununua treni za kisasa
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imesisitiza kuwa ili mradi wa treni ya kusafirisha abiria jijini Dar es Salaam, ufanyike kwa kasi na kwa ufanisi, Serikali iharakishe kununua angalau treni mbili za kisasa.
11 years ago
Tanzania Daima27 May
Serukamba ataka treni mbili za kisasa
SERIKALI imetakiwa kununua treni mbili za kisasa ambazo ni maalumu kwa safari fupi ambapo gharama yake kila moja ni sh bilioni 8. Kamati ya Bunge ya Miundombinu, inayoongozwa na Peter...
9 years ago
Mwananchi03 Sep
Juhudi zinahitajika kutatua tatizo la ajira