Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yatakiwa kununua treni za kisasa

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imesisitiza kuwa ili mradi wa treni ya kusafirisha abiria jijini Dar es Salaam, ufanyike kwa kasi na kwa ufanisi, Serikali iharakishe kununua angalau treni mbili za kisasa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Treni ya kisasa yazinduliwa Dar es Salaam

Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza akipeperusha bendera kuashiria kuanza kwa safari za treni ya kisasa katika Kituo cha Reli Dar es Salaam jana huku Rais Jakaya Kikwete na viongozi wengine wa nchi za Afrika Mashariki wakishuhudia. (Na Mpigapicha Wetu).TRENI nne za kisasa za mizigo mali ya Shirika la Reli nchini (TRL) zinazokwenda nchi nne za Ukanda wa Kati zimezinduliwa jana jioni Dar es Salaam kwenda kwenye nchi hizo, tukio lililoshuhudiwa na marais na wawakilishi wa nchi husika.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serukamba ataka treni mbili za kisasa

SERIKALI imetakiwa kununua treni mbili za kisasa ambazo ni maalumu kwa safari fupi ambapo gharama yake kila moja ni sh bilioni 8. Kamati ya Bunge ya Miundombinu, inayoongozwa na Peter...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Treni ya kisasa Dar kutatua tatizo la foleni’

Wakati Mbunge wa Kuteuliwa, James Mbatia akiitaka Serikali kutangaza msongamano wa magari katika Jiji la Dar es Salaam kuwa ni janga la kitaifa, Serikali hiyo imeshauriwa kununua treni ya kisasa itakayogharimu Dola za Marekani 6 milioni (Sh9.9 bilioni) ili kuboresha usafiri na kupunguza gharama za uendeshaji treni ya sasa.

 

9 years ago

Bongo5

Ethiopia wazindua treni ya kisasa mjini Addis Ababa

Huduma ya treni ya kisasa imezinduliwa rasmi September 21 jijini Addis Ababa, Ethiopia. Mradi huo mkubwa uliogharimu dola za kimarekani milioni 470 ulifadhiliwa na China Exim. Siku ya Jumapili ilikuwa nzuri kwa wakazi wa Addis Ababa kwani walipata usafiri wa bure wakati wa uzinduzi wa treni hiyo ya kisasa. Treni hiyo itakuwa ikibeba watu 15,000 […]

 

10 years ago

Vijimambo

Treni Mpya Ya Kisasa Yaanza Safari za Mwanza kuelekea Dar



Treni mpya ya kisasa ya Deluxe jana imeanza safari zake kutoka Dar es Salaam kuelekea Mwanza.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana Meneja Uhusiano wa Shirika la Reli Tanzania (TRL), Midladjy Maez, alisema safari hii ni ya pili tangu treni hiyo izinduliwe Aprili Mosi mwaka huu ambapo ilikwenda Kigoma.“Safari za Delux zitakuwa kwa wiki mara moja, siku ya Jumapili itaondoka stesheni ya Dar es Salaam saa 2:00 usiku ikiwa na mabehewa 15.
“Treni hiyo itakuwa na madaraja matatu ambapo daraja la...

 

10 years ago

Michuzi

Wizara ya uchukuzi yasaini mkataba na kutekeleza amradi wa treni za kisasa nchini

Mkurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania (TRL), Mhandisi Kipalo Kisamfu(aliyevaa koti la kaki), na Balozi wa heshima wa Tanzania nchini Marekani na mmiliki wa Kampuni ya M/s Shumoja kutoka nchini Marekani, Robert Shumake wakisaini Mkataba wa awali wa mradi wa treni za kisasa zitakazohudumia abiria kutoka stesheni ya Dar es Salaam mpaka Pugu kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, leo asubuhi katika ofisi za Wizara ya Uchukuzi. Wanaoshuhudia na Waziri wa Uchukuzi, Dkt Harrison...

 

10 years ago

Michuzi

ABIRIA WA TRENI MKOANI DODOMA KUTUMIKA KITUO KIDOGO CHA KATOSHO BADALA YA STESHENI YA TRENI YA KIGOMA KWA TRENI ZA ABIRIA KUANZIA FEBRUARI 18, 2015

Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania –TRL unasikitka kutangaza kuwa treni za abiria za kwenda Kigoma hazitofika katika stesheni ya Kigoma badala yake zitatumia kituo kidogo cha Katosho.
Kwa mujibu wa wa taarifa ya Uongozi wa TRL lilitolewa Februari 16, 2015 uamuzi wa treni  kutofika katika stesheni ya Kigoma  unatokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha mjini  Kigoma na hivyo kuzoa mchanga ambao umefunika tuta la reli katika eneo la  stesheni ya Kigoma.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo abiria wote...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yatakiwa kusimamisha malipo

Wakazi wa Kijiji cha Mkurumuzi, Kata ya Maweni, mkoani Tanga, wameomba Serikali kusimamia ili walipwe fidia ya mashamba na nyumba zao, baada ya mwekezaji kushindwa kutekeleza makubaliano.

 

11 years ago

Habarileo

Serikali kununua mafuta kielektroniki

SERIKALI itaanzisha mfumo mpya wa kielektroniki wa kununua, kutunza na kuuza mafuta yanayotumika katika magari yake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani