Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tukio la ‘ugaidi’ latesa wafanyabiashara

Na Ramadhan Libenanga, Morogoro

WAFANYABIASHARA wa mchele na nyanya waliopo wilaya za Kilombero na Kilosa mkoani Morogoro wamelalamikia kupotea kwa wateja wao kutokana na tukio la watu tisa kukamatwa na Jeshi la Polisi wakiwa na milipuko, silaha za jadi na sare za jeshi katika Msikiti wa Salah Al-Fajih, uliopo Kijiji cha Chikago, Kata ya Kidatu.

MTANZANIA Jumamosi lilitembelea katika vijiji vya Rauha, Kidodi, Ruhembe, Mkamba, Kidatu na Chikago kwa upande wa wilaya zote mbili na lilibaini...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Polisi kupeleka wapelelezi Kenya tukio la ugaidi

POLISI imesema inaandaa mipango ya kumtuma mtu nchini Kenya kwa ajili ya kupata taarifa kamili kuhusu, madai ya kukamatwa kwa Watanzania sita na kuhusishwa na ugaidi nchini Kenya.

 

10 years ago

Mwananchi

Tatizo la Luku latesa wananchi

Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), limesema linaendelea na kazi ya kurekebisha hitilafu kwenye mfumo wa Luku kwa njia ya mitandao ya simu ili kuwalipa ‘units’ wateja wake waliokatwa pesa zao kabla ya kupata huduma hiyo.

 

10 years ago

GPL

MAUAJI YA POLISI 2 MKOA WA PWANI UGAIDI UGAIDI

Makongoro Oging’ na Issa Mnally
HUKU watu wakisherehekea Sikukuu ya Pasaka kwa vifijo, shangwe na nderemo, kwa familia za polisi waliouawa Vikindu wilayani Mkuranga, Pwani,  Sajenti Michael Aaron Tuheri (49) na Koplo Francis Mkinga (53) ilikuwa ni huzuni kutokana na vifo vya wapendwa wao hao. Mauaji ya polisi hayo yamewaacha ndugu na jeshi la polisi nchini katika hali ya huzuni huku yakifananishwa na yale yaliyotokea...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wakenya waadhimisha tukio la kigaidi.

Sherehe tofauti zinafanyika nchini Kenya ili kuadhimisha mwaka mmoja tangu shambulizi la kigaidi la maduka ya Westgate.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Sitasahau tukio la moto wa Mbeya’

Oktoba ya kila mwaka ni mwezi ambao Wakazi wa Idweli wilayani Rungwe wanaukumbuka tukio la kutisha lililowahi kutokea mwanzoni mwa miaka 2000 na kuweka historia mbaya katika maisha yao.

 

10 years ago

Tanzania Daima

CCM ijitathmini kwa tukio la Keisy

KITENDO cha Mjumbe wa Bunge la Maalum la Katiba, Ally Keisy kufichua madudu ya Kamati yake namba moja ya Bunge hilo, cha kuwalazimishwa kupiga kura bila akidi ya wajumbe kutimia,...

 

10 years ago

BBCSwahili

Watatu wauawa tukio la utekaji Sydney

Watu watatu wameripotiwa kufa baada ya makomandoo kuvamia mkahawa ambao mtu mwenye silaha aliwashikilia mateka watu kadha

 

10 years ago

Michuzi

TUKIO LA UJAMBAZI,MLANDEGE ZANZIBAR LEO

MKUU wa Polisi Wilaya ya Mjini, Ali Makame (wa pili kushoto) akiangalia gari iliyovunjwa na kuibiwa pesa zinazosadikiwa kuwa ni euro elfu moja na shilingi za kitanzania milioni tano, muda mfupi baada ya kufika eneo la tukio katika eneo la Mlandege mjini Zanzibar. ASKARI Polisi wakiwa wameizunguka gari iliyovunjwa na kuibiwa pesa zinazosadikiwa kuwa ni euro elfu moja na shilingi za kitanzania milioni tano, tukio hilo limetokea majira ya saa saba mchana katika eneo la Mlandege mjini Zanzibar...

 

5 years ago

Michuzi

KUKAMATWA KWA MTUHUMIWA WA TUKIO LA MAUAJI.


Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia FESTO MADUHU [28 -30] Mbeba Mizigo @ Kuli na Mkazi wa Mtaa wa Benki Kabwe Jijini Mbeya kwa tuhuma za kumuua mpenzi wake na kisha yeye mwenyewe kujaribu kujiua kwa kisu.
Ni kwamba mnamo tarehe 22/03/2020majira ya saa 09:00 Asubuhi huko katika nyumba ya kulala wageni iitwayo “NEGERO”iliyopo Mtaa wa Ilolo, Kata ya Ruanda, Tarafa ya Iyunga, Jijini Mbeya katika chumba namba 111 @ Victoria, Mwanamke mmoja aitwaye JESCA MICHAEL @ KUNGULU [28] Mhudumu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani