Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TATIZO LA KIUFUNDI HALINA LENGO LA KUWAKOMOA WANANCHI-MRAMBA

Na Mwene Said wa Blogu ya Jamii, Dar es Salaam.SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema kukatikatika kwa umeme linapata hasara ya Sh. Milioni 500 kwa siku na kwamba watanzania waelewe ni matatizo ya kiufundi halina lengo la kuwakomoa wananchi. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana, Mkurugenzi Mtendaji wa  Tanesco, Felichesmi Mramba alisema hali ya kukatika umeme inayoendelea nchini ni kutokana na marekebisho ya baadhi ya mitambo ya kuzalisha umeme na mifumo ya gesi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Bunge halina mamlaka kupigia kura rasimu ya wananchi

BUNGE Maalumu la Katiba linaloendelea mjini Dodoma halina mamlaka ya kupigia kura rasimu ya wananchi kwa kuwa sio tu hawajatokana na wananchi bali pia yale ni maoni ya wananchi. Bunge...

 

5 years ago

Michuzi

Maduhuli ya Madini Chunya Yazidi kupaa, Yafikia Bilioni 24.1 sawa na lengo la asilimia 128 ya lengo la mwaka


Kutoka kulia waliosimama Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula na Mkuu wa Wilaya ya Chunya, Mhandisi Maryprisca Mahundi wakiangalia namna uchenjuaji wa dhahabu unavyofanyika katika Kiwanda cha Uchenjuaji Dhahabu cha PM kilichopo katika eneo la Makongolosi Wilayani Chunya Mkoani Mbeya. Imeelezwa kuwa kuanzia kipindi cha mwaka wa fedha 2019/2020 kilichoanza Julai, 2019 hadi Januari 31, 2020, ofisi yake imefanikiwa kukusanya jumla ya kiasi cha shilingi bilioni 24.173 ikiwa ni...

 

10 years ago

Mwananchi

Tatizo la Luku latesa wananchi

Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), limesema linaendelea na kazi ya kurekebisha hitilafu kwenye mfumo wa Luku kwa njia ya mitandao ya simu ili kuwalipa ‘units’ wateja wake waliokatwa pesa zao kabla ya kupata huduma hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Sauti za wananchi wa Dar kuhusu tatizo la foleni

Kwa wakazi wa Dar es Salaam, moja ya kero kubwa ni kukithiri kwa foleni za magari barabarani.

 

10 years ago

BBCSwahili

Matatizo ya kiufundi yaathiri uchaguzi

Raia wengi wa Nigeria wamechelewa kupiga kura ya kumchagua rais wa taifa hilo.

 

9 years ago

Dewji Blog

News Alert : MV.Magogoni yapata hitilafu ya kiufundi

Wananchi wakipigana vikumbo wakati walipokuwa wakishuka katika MV. Kigamboni na huku wengine wakiingia kwa kuhofia kubaki baada kwa wingi wa watu.  Wakishuka wananchi.

Wananchi waliokuwa wakisubiri kuingia katika MV. Kigamboni huku wakiwa na Baiskeli zao ambapo kwa wenye Magari wameambiwa wapite Darajani au mwenyekuweza apaki avuke.

  Wananchi wakiwa katika mshangao.

2 (3)

Kigamboni ikiwa inashusha upande wa Kigamboni.

Kigamboni ikiwa inashusha upande wa Kigamboni.

  MV. Kigamboni...

 

9 years ago

Vijimambo

MGAO WA UMEME HAUNA CHEMBE ZA KISIASA NI MASWALA YA KIUFUNDI

Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco, Mhandisi FelchesmiMkurugenzi Mkuu wa Tanesco, Mhandisi Felchesmi Mramba
Dar es Salaam. Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema mgawo wa umeme kwa sasa hauzuiliki nchini kutokana na mabwawa yanayotumika kuzalisha nishati hiyo nchini kukumbwa na ukame.

Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco, Mhandisi Felchesmi Mramba aliwaambia waandishi wa habari jana kuwa uzalishaji wa umeme wa maji kwenye mabwawa hayo umeshuka hadi kufikia megawati 105 kutoka 561 kutokana na ukame unaoendelea majira haya ya kiangazi.

Mramba alisema...

 

11 years ago

Michuzi

libeneke la full shangwe lapata kwikwi ya kiufundi, kurudi hewani muda si mrefu ujao

WADAU WA FULLSHANGWE BLOG TUMEPATA TATIZO LA KWIKWI YA KIUFUNDI HAPO JANA HIVYO TUNALIFANYIA KAZI HARAKA KWA KADIRI INAVYOWEZEKANA ILI TUWEZE KURUDI HEWANI.
TUNAOMBA RADHI KWA WADAU WETU NBC, NHIF, TTB, NMB, THE FADHAGETI SANITARIUM, WILNA INTERNATIONAL NA WENGINE WOTE PAMOJA NA WATEMBELEAJI WETU POPOTE WALIPO KWA USUMBUFU WOWOTE UTAKAOJITOKEZA.
JOHN BUKUKU MMILIKI WA FULL SHANGWE BLOG

 

11 years ago

Mwananchi

Bunge la Katiba halina msemaji wa Serikali

>Wajumbe wa Bunge la Katiba wameelezwa kuwa ndani Bunge hilo hakuna Waziri Mkuu, Makamu wa Rais wala mawaziri, wote wana hadhi sawa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani