Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MGAO WA UMEME HAUNA CHEMBE ZA KISIASA NI MASWALA YA KIUFUNDI

Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco, Mhandisi FelchesmiMkurugenzi Mkuu wa Tanesco, Mhandisi Felchesmi Mramba
Dar es Salaam. Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema mgawo wa umeme kwa sasa hauzuiliki nchini kutokana na mabwawa yanayotumika kuzalisha nishati hiyo nchini kukumbwa na ukame.

Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco, Mhandisi Felchesmi Mramba aliwaambia waandishi wa habari jana kuwa uzalishaji wa umeme wa maji kwenye mabwawa hayo umeshuka hadi kufikia megawati 105 kutoka 561 kutokana na ukame unaoendelea majira haya ya kiangazi.

Mramba alisema...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Hakutakuwa na mgao wa umeme - Muhongo

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter MuhongoWAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amesema hakutakuwa na mgawo wa umeme nchini na bei ya umeme itapungua.

 

9 years ago

Raia Mwema

Kama iko hata chembe ya mabadiliko, chembe hiyo itakuwa Ukawa

KICHWA cha makala ya wiki hii nimekiteua kwa makusudi kabisa kwa sababu kadhaa.

Jenerali Ulimwengu

 

10 years ago

GPL

TATIZO LA MGAO WA UMEME ARUSHA KUMALIZIKA JUNI

Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini ambaye ni Mbunge wa Viti Maalum Jimbo la Singida, Martha Mlata (kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) Dkt. Miganda Manyahi (kulia), jijini Arusha kabla ya kuanza kwa ziara kwenye miradi ya umeme. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini inafanya ziara katika miradi ya umeme iliyopo katika mikoa ya Arusha na...

 

9 years ago

Mwananchi

Mgao wa umeme watesa wenye viwanda Arusha

Wamiliki wa viwanda mkoani Arusha, wameishauri Serikali kuingilia kati na kushughulikia tatizo la umeme nchini kutokana na kuathiri uzalishaji wa bidhaa za ndani.

 

9 years ago

StarTV

Rais Kikwete aahidi kumalizika kwa mgao wa umeme

Rais Jakaya Kikwete amezindua miundombinu ya kuchakata na kusafirisha gesi asilia toka Mtwara hadi Dar es Salaam, huku akilionya shirika la umeme nchini TANESCO, kuzingatia sheria za nchi wakati wa utekelezaji wa maagizo yake ya kuhakikisha kupatikana umeme wa dharura katika kipindi hiki ambacho uzalishaji wa nishati hiyo nchini umeshuka kwa kiwango kikubwa.

Shirika la TANESCO lipo kwenye mazungumzo na watu ambao Rais Kikwete amesema kulingana na taarifa alizopata toka TANESCO, wanaojadili...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA NISHATI MARUFUKU MGAO WA UMEME, ABUBAKARI AKALIA KUTI KAVU

Waziri wa Nishati Dkt Medadi Kalemani akikagua miundombinu ya Dalaja la mto Kilombero kabla ya kufika katika kituo cha kuzalisha umeme cha kidatu Mkoani Morogoro.Waziri wa nishati Dkt Medard Kalemani akiwa na mkuu wa wilaya ya Iringa Mhe Richard Kasesela alipofanya ziara katika bwawa la Mtera.Waziri wa Nishati Dkt Medadi Kalemani akikagua mitambo katika kituo cha kuzalishia umeme cha kidatu Mkoani Morogoro,akiwa katika ziara yake ya kukagua vituo vya kuzarisha umeme hapa nchini.Waziri wa...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA NISHATI SITAKI KUSIKIA MGAO WA UMEME,AAGIZA ABUBAKARI KUCHULIWA HATUA KALI


Waziriwa nishati Dkt Medard Kalemani akizungumza na waandishi wa habari mkoa wa Iringa katika bwawa la Mtera akitoa katazo la kuwepo kwa mgao wa umeme hapa nchini


Waziriwa nishati Dkt Medard Kalemani akiwa mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela alipofanya ziara katika bwawa la Mtera


NA FREDY MGUNDA,IRINGA.

Waziriwa nishati Dkt Medard Kalemani amepiga marufuku kwa
uongozi wa TANESCO kutoa nishati ya umeme kwa mgao wakati hakuna tatizo lolote la uzalishaji katika vituo vyote...

 

10 years ago

Ykileo

KONGAMANO LA MASWALA YA TEHAMA AFRIKA LA TAZAMIA MASWALA YA USALAMA MITANDAO

Baada ya Mwezi Oktoba kuisha ambapo kubwa lilikua ni kukuza uelewa juu ya matumizi salama ya mitandao, Taarifa ya kumalizika kwa mwezi huo inaweza kusomeka "HAPA" Mambo mengi tuliyo yajadili yameonekana kuangaziwa tena kwenye kongamano la maswala ya TEHAMA Jijini Cairo Nchini Misri. Muundo wa kongamano hili ulihusisha meza kuu inayo fungua mijadala na wasikilizaji kuchangia na kuuliza mwaswali pamoja na kupata njia ya kufikia malengo kupitia mada tofauti tofauti.


Naibu Waziri wa Mawasiliano...

 

10 years ago

BBCSwahili

Matatizo ya kiufundi yaathiri uchaguzi

Raia wengi wa Nigeria wamechelewa kupiga kura ya kumchagua rais wa taifa hilo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani