TATIZO LA MGAO WA UMEME ARUSHA KUMALIZIKA JUNI
Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini ambaye ni Mbunge wa Viti Maalum Jimbo la Singida, Martha Mlata (kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) Dkt. Miganda Manyahi (kulia), jijini Arusha kabla ya kuanza kwa ziara kwenye miradi ya umeme. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini inafanya ziara katika miradi ya umeme iliyopo katika mikoa ya Arusha na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziTatizo la mgawo wa umeme Arusha kumalizika Juni
10 years ago
StarTV11 Oct
Rais Kikwete aahidi kumalizika kwa mgao wa umeme
Rais Jakaya Kikwete amezindua miundombinu ya kuchakata na kusafirisha gesi asilia toka Mtwara hadi Dar es Salaam, huku akilionya shirika la umeme nchini TANESCO, kuzingatia sheria za nchi wakati wa utekelezaji wa maagizo yake ya kuhakikisha kupatikana umeme wa dharura katika kipindi hiki ambacho uzalishaji wa nishati hiyo nchini umeshuka kwa kiwango kikubwa.
Shirika la TANESCO lipo kwenye mazungumzo na watu ambao Rais Kikwete amesema kulingana na taarifa alizopata toka TANESCO, wanaojadili...
10 years ago
Mwananchi07 Oct
Mgao wa umeme watesa wenye viwanda Arusha
11 years ago
Habarileo23 Jul
Hakutakuwa na mgao wa umeme - Muhongo
WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amesema hakutakuwa na mgawo wa umeme nchini na bei ya umeme itapungua.
10 years ago
Vijimambo05 Oct
MGAO WA UMEME HAUNA CHEMBE ZA KISIASA NI MASWALA YA KIUFUNDI

Dar es Salaam. Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema mgawo wa umeme kwa sasa hauzuiliki nchini kutokana na mabwawa yanayotumika kuzalisha nishati hiyo nchini kukumbwa na ukame.
Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco, Mhandisi Felchesmi Mramba aliwaambia waandishi wa habari jana kuwa uzalishaji wa umeme wa maji kwenye mabwawa hayo umeshuka hadi kufikia megawati 105 kutoka 561 kutokana na ukame unaoendelea majira haya ya kiangazi.
Mramba alisema...
5 years ago
Michuzi
WAZIRI WA NISHATI MARUFUKU MGAO WA UMEME, ABUBAKARI AKALIA KUTI KAVU




5 years ago
MichuziWAZIRI WA NISHATI SITAKI KUSIKIA MGAO WA UMEME,AAGIZA ABUBAKARI KUCHULIWA HATUA KALI
Waziriwa nishati Dkt Medard Kalemani akizungumza na waandishi wa habari mkoa wa Iringa katika bwawa la Mtera akitoa katazo la kuwepo kwa mgao wa umeme hapa nchini
Waziriwa nishati Dkt Medard Kalemani akiwa mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela alipofanya ziara katika bwawa la Mtera
NA FREDY MGUNDA,IRINGA.
Waziriwa nishati Dkt Medard Kalemani amepiga marufuku kwa
uongozi wa TANESCO kutoa nishati ya umeme kwa mgao wakati hakuna tatizo lolote la uzalishaji katika vituo vyote...
10 years ago
Vijimambo16 Sep
Mitambo ya kuzalisha umeme wa gesi yawashwa., Inategemewa tatizo la kukatika umeme litafikia tamati kuanzia leo

Aidha, kazi ya kuwasha mashine 10 za mtambo wa Ubungo I imekamilika na inategemewa tatizo la kukatika umeme litafikia tamati kuanzia leo.
Akizungumza na Nipashe jijini Dar es Salaam jana, Ofisa Uhusiano wa Tanesco, Adrian Severin, alisema kazi ya kuwasha mitambo hiyo inahitaji umakini mkubwa kutokana na mfumo unaotumika...
10 years ago
Habarileo13 Mar
‘Ifikapo Juni tatizo la maji Dar litakuwa historia’
NAIBU Waziri wa Maji, Amosi Makala ametamba kuwa kufikia Juni mwaka huu tatizo la upatikanaji wa maji kwa mkoa wa Dar es Salaam litakuwa historia.