Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KONGAMANO LA MASWALA YA TEHAMA AFRIKA LA TAZAMIA MASWALA YA USALAMA MITANDAO

Baada ya Mwezi Oktoba kuisha ambapo kubwa lilikua ni kukuza uelewa juu ya matumizi salama ya mitandao, Taarifa ya kumalizika kwa mwezi huo inaweza kusomeka "HAPA" Mambo mengi tuliyo yajadili yameonekana kuangaziwa tena kwenye kongamano la maswala ya TEHAMA Jijini Cairo Nchini Misri. Muundo wa kongamano hili ulihusisha meza kuu inayo fungua mijadala na wasikilizaji kuchangia na kuuliza mwaswali pamoja na kupata njia ya kufikia malengo kupitia mada tofauti tofauti.


Naibu Waziri wa Mawasiliano...





Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

maswala ya usalama mitandao

Nchi ya Tanzania imepata bahati ya kipekee kuwa mwenyeji wa warsha ya Kimataifa ya maswala ya usalama mitandao.

 

10 years ago

GPL

TANZANIA YAWA MWENYEJI WA MKUTANO MKUU WA NNE WA MASWALA YA USALAMA MITANDAO

 KATIBU MKUU WIZARA YA SAYANSI MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA (PROF. PATRICK MAKUNGU) AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI JUU YA WARSHA YA USALAMA MITANDAO AMBAPO TANZANIA IMEKUA MWENYEJI WAKE.  MKURUGENZI MKUU WA COSTECH NCHINI (DR. HASSAN MSHINDA) AKITOA MANENO MACHACHE KATIKA UFUNGUZI WA WARHA HIYO.…

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA YAWA MWENYEJI WA MKUTANO MKUU WA NNE WA MASWALA YA USALAMA MITANDAO DUNIANI

Na Yusuph KileoKumekua na makongamano, Mikutano na warsha mbali mbali zihusuzo maswala ya usalama mitandao katika mataifa mbali mbali ambapo mijadala ya kina kuhusiana na maswala ya usalama mitandao hufanywa. Mijadala yenye nia na madhumuni ya kuangazia macho maswala ambayo hivi sasa yamekua yakiitikisa dunia. Tanzania kupitia Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia(COSTECH) kwa kushirikiana na Tume ya Sayansi na Teknolojia kwa Maendeleo ya nchi za Kusini(COMSAT) na taasisi nyingine wameweza...

 

10 years ago

Ykileo

WARSHA YA MASWALA YA USALAMA MITANDAO NCHINI YA FUNZA MENGI NA KUIBUA FURSA ZA AINA YAKE

Nchi ya Tanzania imepata bahati ya kipekee kuwa mwenyeji wa warsha ya Kimataifa ya maswala ya usalama mitandao iliyo shirikisha mataifa mbali mbali kujadili na kuongezeana uwezo wa jinsi wa kukabiliana na changamoto kubwa katika maswala ya uhalifu mitandao.


Warsha hii imekuja muda muafaka baada ya taarifa niliyo iandikia "HAPA" niliyo himiza na kuonyesha umuhimu mkubwa wa kuunganisha nguvu za pamoja kwenye vita dhidi ya uhalifu mtandao ikizingatiwa uhalifu mtandao ni uhalifu usio mipaka na...

 

10 years ago

Ykileo

DIT YAFANYA SEMINA ELEKEZI YA UFAHAMU WA MASWALA YA USALAMA MTANDAO

Swala la kukuza uelewa wa matumizi mtandao salama maarufu kama  “Cybersecurity Awareness programs” imekua iki himizwa sana kwani uhalifu mtandao unaweza kupunguzwa kwa kiasi kikubwa sana pale watumiaji watakapo pata ufahamu wa kina wa matumizi salama wa mitandao.


Swala hili limekua liki imizwa sana na mataifa mbali mbali ili kuhakiki matumizi salama ya mitandao yanakuwepo na hatimae kupunguza wimbi kubwa la uhalifu mtandao unao endelea kukua hivi sasa. Katika kuonyesha umuhimu wa swala hili...

 

11 years ago

Michuzi

WAFANYABIASHARA WAFANYA MKUTANO KUJADILI MASWALA YA KIBIASHARA YA AFRIKA MASHARIKI

Ofisa mikopo kwa wateja wadogowadogo wa Benki ya KCB Tanzania,Teresia Soko akitoa mada kuhusiana na baadhi ya huduma za benki hiyo kwa Wafanyabiashara mbalimbali wa mipaka ya Tanzania,Ambao walikutana jijini Arusha kujadili mikakati ya kibiashara katika soko la jumuiya ya afrika mashariki. Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika mashariki Richard Sesibera(kushoto)akiteta jambo na Mwenyekiti wa chama cha wafanyabiashara wa Jumuiya ya Afrika mashariki,Felix Mosha,wakati wa mkutano wa...

 

11 years ago

GPL

WAFANYABIASHARA WAFANYA MKUTANO KUJADILI MASWALA YA KIBIASHARA YA AFRIKA MASHARIKI‏

Ofisa mikopo kwa wateja wadogowadogo wa Benki ya KCB Tanzania, Teresia Soko akitoa mada kuhusiana na baadhi ya huduma za benki hiyo kwa wafanyabiashara mbalimbali wa mipaka ya Tanzania, ambao walikutana jijini Arusha kujadili mikakati ya kibiashara katika soko la Jumuiya ya Afrika Mashariki. Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Richard Sesibera (kushoto) akiteta jambo na Mwenyekiti wa chama cha wafanyabiashara wa Jumuiya...

 

10 years ago

Ykileo

KONGAMANO LA C2C LAKAMILIKA — USALAMA MITANDAO WAJADILIWA SIKU ZOTE MBILI

Nchi ya Tanzania ya bahatika tena kwa mara ya tatu kua mwenyeji wa mkutano wa “Connect 2 Connect” ambapo kauli mbiu ya mwaka huu imekua ni Kuunganisha bara la afrika mwambao hadi mwambao. Katika hotuba iliyotolewa siku ya kwanza katika ufunguzi wa mkutano huo ili elezea changamoto kubwa za usalama mitandao na namna unavyoweza kuleta athiri kwa kiwango kikubwa endapo usalama huu mtandao hautaangaziwa macho. Hotuba hiyo pamoja na mjadala nilio ongoza kwa siku ya kwanza unaweza kusomeka na...

 

9 years ago

Vijimambo

MGAO WA UMEME HAUNA CHEMBE ZA KISIASA NI MASWALA YA KIUFUNDI

Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco, Mhandisi FelchesmiMkurugenzi Mkuu wa Tanesco, Mhandisi Felchesmi Mramba
Dar es Salaam. Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema mgawo wa umeme kwa sasa hauzuiliki nchini kutokana na mabwawa yanayotumika kuzalisha nishati hiyo nchini kukumbwa na ukame.

Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco, Mhandisi Felchesmi Mramba aliwaambia waandishi wa habari jana kuwa uzalishaji wa umeme wa maji kwenye mabwawa hayo umeshuka hadi kufikia megawati 105 kutoka 561 kutokana na ukame unaoendelea majira haya ya kiangazi.

Mramba alisema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani