WARSHA YA MASWALA YA USALAMA MITANDAO NCHINI YA FUNZA MENGI NA KUIBUA FURSA ZA AINA YAKE
Nchi ya Tanzania imepata bahati ya kipekee kuwa mwenyeji wa warsha ya Kimataifa ya maswala ya usalama mitandao iliyo shirikisha mataifa mbali mbali kujadili na kuongezeana uwezo wa jinsi wa kukabiliana na changamoto kubwa katika maswala ya uhalifu mitandao.
Warsha hii imekuja muda muafaka baada ya taarifa niliyo iandikia "HAPA" niliyo himiza na kuonyesha umuhimu mkubwa wa kuunganisha nguvu za pamoja kwenye vita dhidi ya uhalifu mtandao ikizingatiwa uhalifu mtandao ni uhalifu usio mipaka na...
Habari Zinazoendana
10 years ago
YkileoKONGAMANO LA MASWALA YA TEHAMA AFRIKA LA TAZAMIA MASWALA YA USALAMA MITANDAO
Naibu Waziri wa Mawasiliano...
10 years ago
BBCSwahili22 Oct
maswala ya usalama mitandao
Nchi ya Tanzania imepata bahati ya kipekee kuwa mwenyeji wa warsha ya Kimataifa ya maswala ya usalama mitandao.
10 years ago
GPLTANZANIA YAWA MWENYEJI WA MKUTANO MKUU WA NNE WA MASWALA YA USALAMA MITANDAO
 KATIBU MKUU WIZARA YA SAYANSI MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA (PROF. PATRICK MAKUNGU) AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI JUU YA WARSHA YA USALAMA MITANDAO AMBAPO TANZANIA IMEKUA MWENYEJI WAKE.  MKURUGENZI MKUU WA COSTECH NCHINI (DR. HASSAN MSHINDA) AKITOA MANENO MACHACHE KATIKA UFUNGUZI WA WARHA HIYO.…
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-ODfOb1s4Ch0/VEdGJIPO4zI/AAAAAAAGsis/o5VosJhsye0/s72-c/unnamed%2B(14).jpg)
TANZANIA YAWA MWENYEJI WA MKUTANO MKUU WA NNE WA MASWALA YA USALAMA MITANDAO DUNIANI
Na Yusuph KileoKumekua na makongamano, Mikutano na warsha mbali mbali zihusuzo maswala ya usalama mitandao katika mataifa mbali mbali ambapo mijadala ya kina kuhusiana na maswala ya usalama mitandao hufanywa. Mijadala yenye nia na madhumuni ya kuangazia macho maswala ambayo hivi sasa yamekua yakiitikisa dunia. Tanzania kupitia Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia(COSTECH) kwa kushirikiana na Tume ya Sayansi na Teknolojia kwa Maendeleo ya nchi za Kusini(COMSAT) na taasisi nyingine wameweza...
10 years ago
Ykileo![](http://1.bp.blogspot.com/-xlwmtpaArtU/VFOSvE6T-5I/AAAAAAAABAU/lnJlIkxeIsE/s72-c/BLOG%2BKILEO.jpg)
MWEZI WA USALAMA MITANDAO UMEFIKIA TAMATI - YALIYOJIRI NA MAZINGATIO YAKE.
![](http://1.bp.blogspot.com/-xlwmtpaArtU/VFOSvE6T-5I/AAAAAAAABAU/lnJlIkxeIsE/s1600/BLOG%2BKILEO.jpg)
KATIKA MWEZI HUU: kwa uchache kabisa nitaangazia matukio baadhi nikianzia na kutokea nchini "MAREKANI" Raisi wa Marekani Alipitisha agizo muhimu kwa taifa hilo kuhusiana na matumizi ya kadi ili...
10 years ago
Ykileo![](http://1.bp.blogspot.com/-gsxy15ydQJc/VJsoGgMkCmI/AAAAAAAABGc/aZ37j5ZcEpY/s72-c/1.jpg)
DIT YAFANYA SEMINA ELEKEZI YA UFAHAMU WA MASWALA YA USALAMA MTANDAO
![](http://1.bp.blogspot.com/-gsxy15ydQJc/VJsoGgMkCmI/AAAAAAAABGc/aZ37j5ZcEpY/s1600/1.jpg)
Swala hili limekua liki imizwa sana na mataifa mbali mbali ili kuhakiki matumizi salama ya mitandao yanakuwepo na hatimae kupunguza wimbi kubwa la uhalifu mtandao unao endelea kukua hivi sasa. Katika kuonyesha umuhimu wa swala hili...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-QVFvxB3vifE/VW1Gbdk868I/AAAAAAAAu9g/Yxkr0FKnjy4/s72-c/007d2d.jpg)
Bifu la Emelda Mwamanga wa Bang magazine na Reginald Mengi Kwa Kuvujisha Picha za Mengi na Familia yake
![](http://2.bp.blogspot.com/-QVFvxB3vifE/VW1Gbdk868I/AAAAAAAAu9g/Yxkr0FKnjy4/s640/007d2d.jpg)
Mwanamama mjasiriamali, na managing director wa jarida maarufu nchini , Bang magazine , aitwaye Emelda Mwamanga amefunguka kuhusu bifu lake na mfanyabiashara maarufu nchini, Reginald Mengi, kupitia kwenye moja ya mahojiano ya kwenye kipindi maarufu cha Tv Hapa nchini .Mbali na kuelezea experience yake kwenye biashara yake, pia alizungumzia changamoto mbali mbali anazokabiliana nazo kwenye biashara zake, moja ya changamoto alizozielezea ni ile ya kushtakiwa na mfanyabiashara maarufu nchini,...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Wdk-9Zfi1k4v31oxe16lufuxenOID6SUCMIj9Y3OGAvTyvLZPpo80TeBLvlHmLN8Tw2K2jBegGIf1RB9v1TjZJW5bFxSoccf/picha1.jpg?width=650)
AIRTEL FURSA YAZINDULIWA NA WARSHA MKOANI MWANZA
Meya Stanslaus Mabula akiongea na vijana jijini Mwanza wakati wa uzinduzi wa warsha maalum kwa vijana ya 'Airtel Fursa' kutoka Airtel Tanzania yenye lengo la kuwawezesha Vijana wajasiliamali nchini iliyofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri ya Jiji Mwanza. Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania Jackson Mmbando akiongea na vijana wa Mwanza wakati wa uzinduzi wa warsha hiyo.… ...
11 years ago
Mwananchi09 May
Lozi: aina ya njugu yenye manufaa mengi mwilini
>Wengi tumekuwana tukizifahamu aina mbalimbali za njugu kama vile karanga,korosho na nazi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania