MWEZI WA USALAMA MITANDAO UMEFIKIA TAMATI - YALIYOJIRI NA MAZINGATIO YAKE.
![](http://1.bp.blogspot.com/-xlwmtpaArtU/VFOSvE6T-5I/AAAAAAAABAU/lnJlIkxeIsE/s72-c/BLOG%2BKILEO.jpg)
Mwezi huu wa Oktoba mataifa mbali mbali yamekua yakiadhimisha kwa kukuza ufuhahamu kwa watu wake juu yamatumizi salama ya mitandao. Ni wazi ya kuwa mitandao inapotumika vibaya inaweza kuleta athari kubwa sana kwa jamii, na tayari matukio mengi kutoka maeneo mbali mbali tayari tumeendelea kuya shududia.
KATIKA MWEZI HUU: kwa uchache kabisa nitaangazia matukio baadhi nikianzia na kutokea nchini "MAREKANI" Raisi wa Marekani Alipitisha agizo muhimu kwa taifa hilo kuhusiana na matumizi ya kadi ili...
Habari Zinazoendana
10 years ago
YkileoWARSHA YA MASWALA YA USALAMA MITANDAO NCHINI YA FUNZA MENGI NA KUIBUA FURSA ZA AINA YAKE
Warsha hii imekuja muda muafaka baada ya taarifa niliyo iandikia "HAPA" niliyo himiza na kuonyesha umuhimu mkubwa wa kuunganisha nguvu za pamoja kwenye vita dhidi ya uhalifu mtandao ikizingatiwa uhalifu mtandao ni uhalifu usio mipaka na...
10 years ago
BBCSwahili22 Oct
maswala ya usalama mitandao
Nchi ya Tanzania imepata bahati ya kipekee kuwa mwenyeji wa warsha ya Kimataifa ya maswala ya usalama mitandao.
10 years ago
Ykileo![](http://1.bp.blogspot.com/-Y9VcYarR-2o/VBqqsPdxqFI/AAAAAAAAA5w/W-3G9ex5TTk/s72-c/abc.jpg)
OKTOBA NI MWEZI WA KUKUZA UELEWA WA MATUMIZI SALAMA YA MITANDAO
![](http://1.bp.blogspot.com/-Y9VcYarR-2o/VBqqsPdxqFI/AAAAAAAAA5w/W-3G9ex5TTk/s1600/abc.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-_9krU4fNHZQ/VBqrZHufn_I/AAAAAAAAA54/fBvgsI1NwPE/s1600/ncsam_googleplus_cover_photo_2014.jpg)
Kadri muda ulivyojongea Mataifa mengine yaliamua kutumia mwezi huo kuwa mwezi wa kukuza uelewa wa matumizi salama ya mitandao ambapo sasa mataifa mengi tayari yamesha kua yakiazimisha kampeni hizi. Mwaka huu...
11 years ago
Ykileo![](http://4.bp.blogspot.com/-XcJO5pX9Wsw/U1mkmWnGWAI/AAAAAAAAAbo/BFiPwX2plws/s72-c/2..jpg)
MUENDELEZO: “HEARTBLEED”- YATIKISA USALAMA WA MITANDAO
![](http://4.bp.blogspot.com/-XcJO5pX9Wsw/U1mkmWnGWAI/AAAAAAAAAbo/BFiPwX2plws/s1600/2..jpg)
Aidha, Swala la usalama mtandao nchini tanzania limekuwa likijadiliwa mara kwa mara kupitia vyombo vya habari na nilipata kuweka mmoja wa mjadala wa maswala ya ulinzi mtandao kupitia post...
10 years ago
Ykileo![](http://1.bp.blogspot.com/-cAxhFswQqMw/VQgu5s_MVeI/AAAAAAAABWA/YWEy4L7rz9M/s72-c/CYBER%2BKILEO.jpg)
HOLLYWOOD WAZINDUA TAMTHILIA MPYA YA USALAMA MITANDAO
![](http://1.bp.blogspot.com/-cAxhFswQqMw/VQgu5s_MVeI/AAAAAAAABWA/YWEy4L7rz9M/s1600/CYBER%2BKILEO.jpg)
Hatua yao hiyo imekua ikipongezwa sana na wataalam wa maswala ya mitandao duniani kote huku tukisistiza mataifa mengine yaweze kuiga juhudi hizo. Kuungana na wataalam...
10 years ago
Mwananchi30 Dec
Mitandao ya kijamii na changamoto kwa usalama wa Taifa letu-3
Leo nahitimisha mfululizo wa makala haya. Licha ya mitandao ya kijamii kuweza kutumika dhidi ya usalama wa Taifa, pia inaweza kulinda usalama wake na wananchi tena kwa ufasaha zaidi.
10 years ago
Mwananchi16 Dec
Mitandao ya kijamii na changamoto kwa usalama wa taifa letu-1
Mitandao ya kijamii ni programu inayotumia Intaneti kuwezesha watu mbalimbali kuwasiliana, kushiriki mijadala na kuweka taarifa au kubadilishana vitu mbalimbali .
10 years ago
MichuziISACA TANZANIA YATOA SEMINA KUHUSU USALAMA WA MITANDAO
Aidha Dk. Jabir alisema kuwa semina hiyo inawakutanisha wataalamu wa mifumo ya kompyuta kutoka ndani na nje ya nchi watakaojifunza na kuongeza utaalamu wa kulinda mifumo ya...
10 years ago
YkileoUSALAMA MITANDAO: TANZANIA INA CHA KUJIFUNZA KUTOKA KENYA.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania