Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MUENDELEZO: “HEARTBLEED”- YATIKISA USALAMA WA MITANDAO

UTANGULIZI:Taarifa ya awali inapatikana kwenye taarifa nililoandika kuhusiana na "HEARTBLEED" Mapema mwezi huu wa Nne 2014 . Kwenye taarifa hiyo ya awali, nilihusisha Video na maagizo mbalimbali katika picha yaliyo onekana katika baadhi ya mitandao ikiwa ni katika kutoa TAHADHARI kwa watumiaji mtandao.

Aidha, Swala la usalama mtandao nchini tanzania limekuwa likijadiliwa mara kwa mara kupitia vyombo vya habari na nilipata kuweka mmoja wa mjadala wa maswala ya ulinzi mtandao kupitia post...





Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Heartbleed bug: Tishio jipya la uhalifu kwa watumiaji mitandao

Hili ni tishio jipya linalohusu uwezo wa wahalifu kuiba maneno ya siri (passwords) na taarifa za watumiaji wa huduma za intaneti na hata wale wa mashine za kutolea fedha (ATM)

 

11 years ago

Ykileo

TAHADHARI: “HEARTBLEED" BUG TISHIO JIPYA KWA WATUMIAJI MITANDAO



Wana mitandao kote duniani  hivi sasa bado wako katika hali ya taharuki kufuatia wataalam wa ulinzi mtandao kuweka hadharani tishio jipya la mapungufu yaliyo bainika yanayo ruhusu wahalifu mtandao kuweza kuiba maneno ya siri “passwords” na hata taarifa za kadi za ma benki.



“SSL” ambayo nimeifafanua zaidi kwenye chapisho langu linalosomeka WEB SECURITY ni moja ya program/ kiunganishi cha programu inayo aminika kuweza kuficha taarifa mitandaoni ili  kutoonekana kirahisi, ila baada ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

maswala ya usalama mitandao

Nchi ya Tanzania imepata bahati ya kipekee kuwa mwenyeji wa warsha ya Kimataifa ya maswala ya usalama mitandao.

 

10 years ago

Ykileo

HOLLYWOOD WAZINDUA TAMTHILIA MPYA YA USALAMA MITANDAO

Nilipata kuzungumzia mchango mkubwa unaopatikana kupitia vyombo vya habari ikiwa ni pamoja na Tasnia ya filamu katika kutoa elimu ihusuyo maswala ya usalama mitandao. Hollywood wamekua wakiongoza katika kutengeneza vipengele mbali mbali vyenye kutoa ufafanuzi wa makosa mtandao yanavyo tendwa na namna ya kutambua na kujikinga.


Hatua yao hiyo imekua ikipongezwa sana na wataalam wa maswala ya mitandao duniani kote huku tukisistiza mataifa mengine yaweze kuiga juhudi hizo. Kuungana na wataalam...

 

10 years ago

Michuzi

ISACA TANZANIA YATOA SEMINA KUHUSU USALAMA WA MITANDAO

 Makamu wa Rais wa Isaca Tanzania Chapter ambaye pia ni Ofisa Mtendaji Mkuu Wakala wa Serikali Mtandao, Dk. Jabir Bakari akitoa hotuba yake wakati akifungu semina kuhusu usalama wa mifumo ya kompyuta pamoja na ukaguzi wa mifumo hiyo kwa kuwakutanisha wataalumu na kujadiliana kuhusu ukuaji wa teknolojia na usalama.
Aidha Dk. Jabir alisema kuwa semina hiyo inawakutanisha wataalamu wa mifumo ya kompyuta kutoka ndani na nje ya nchi watakaojifunza na kuongeza utaalamu wa kulinda mifumo ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Mitandao ya kijamii na changamoto kwa usalama wa Taifa letu-3

Leo nahitimisha mfululizo wa makala haya. Licha ya mitandao ya kijamii kuweza kutumika dhidi ya usalama wa Taifa, pia inaweza kulinda usalama wake na wananchi tena kwa ufasaha zaidi.

 

10 years ago

Mwananchi

Mitandao ya kijamii na changamoto kwa usalama wa taifa letu-1

Mitandao ya kijamii ni programu inayotumia Intaneti kuwezesha watu mbalimbali kuwasiliana,  kushiriki mijadala na kuweka taarifa au kubadilishana vitu mbalimbali .

 

10 years ago

Ykileo

MWEZI WA USALAMA MITANDAO UMEFIKIA TAMATI - YALIYOJIRI NA MAZINGATIO YAKE.

Mwezi huu wa Oktoba mataifa mbali mbali yamekua yakiadhimisha kwa kukuza ufuhahamu kwa watu wake juu yamatumizi salama ya mitandao. Ni wazi ya kuwa mitandao inapotumika vibaya inaweza kuleta athari kubwa sana kwa jamii, na tayari matukio mengi kutoka maeneo mbali mbali tayari tumeendelea kuya shududia.


KATIKA MWEZI HUU: kwa uchache kabisa nitaangazia matukio baadhi nikianzia na kutokea nchini "MAREKANI" Raisi wa Marekani Alipitisha agizo muhimu kwa taifa hilo kuhusiana na matumizi ya kadi ili...

 

10 years ago

Ykileo

USALAMA MITANDAO: TANZANIA INA CHA KUJIFUNZA KUTOKA KENYA.

Nimekamilisha vikao vya usalama mitandao vilivyofanyikia jijini Nairobi kufuatia mualiko maalum nilioupata. Katika vikao hivyo niliwasilisha mada mbili (ya kwanza ikiwa ni namna ya kukabiliana na uhalifu mtandao na mada ya pili ikiwa ni namna ya uchunguzi wa makosa ya digitali kitaalam) katika mada hizo mbili ambazo zilipokelewa vizuri na kupelekea mijadala ya kipekee kuna mengi  nikajifunza kutoka kwa washiriki. Aidha, nilishiriki mijadala duara iliyojikita katika changamototo mbali mbali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani