Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HOLLYWOOD WAZINDUA TAMTHILIA MPYA YA USALAMA MITANDAO

Nilipata kuzungumzia mchango mkubwa unaopatikana kupitia vyombo vya habari ikiwa ni pamoja na Tasnia ya filamu katika kutoa elimu ihusuyo maswala ya usalama mitandao. Hollywood wamekua wakiongoza katika kutengeneza vipengele mbali mbali vyenye kutoa ufafanuzi wa makosa mtandao yanavyo tendwa na namna ya kutambua na kujikinga.


Hatua yao hiyo imekua ikipongezwa sana na wataalam wa maswala ya mitandao duniani kote huku tukisistiza mataifa mengine yaweze kuiga juhudi hizo. Kuungana na wataalam...





Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

maswala ya usalama mitandao

Nchi ya Tanzania imepata bahati ya kipekee kuwa mwenyeji wa warsha ya Kimataifa ya maswala ya usalama mitandao.

 

11 years ago

Ykileo

MUENDELEZO: “HEARTBLEED”- YATIKISA USALAMA WA MITANDAO

UTANGULIZI:Taarifa ya awali inapatikana kwenye taarifa nililoandika kuhusiana na "HEARTBLEED" Mapema mwezi huu wa Nne 2014 . Kwenye taarifa hiyo ya awali, nilihusisha Video na maagizo mbalimbali katika picha yaliyo onekana katika baadhi ya mitandao ikiwa ni katika kutoa TAHADHARI kwa watumiaji mtandao.

Aidha, Swala la usalama mtandao nchini tanzania limekuwa likijadiliwa mara kwa mara kupitia vyombo vya habari na nilipata kuweka mmoja wa mjadala wa maswala ya ulinzi mtandao kupitia post...

 

10 years ago

Michuzi

ISACA TANZANIA YATOA SEMINA KUHUSU USALAMA WA MITANDAO

 Makamu wa Rais wa Isaca Tanzania Chapter ambaye pia ni Ofisa Mtendaji Mkuu Wakala wa Serikali Mtandao, Dk. Jabir Bakari akitoa hotuba yake wakati akifungu semina kuhusu usalama wa mifumo ya kompyuta pamoja na ukaguzi wa mifumo hiyo kwa kuwakutanisha wataalumu na kujadiliana kuhusu ukuaji wa teknolojia na usalama.
Aidha Dk. Jabir alisema kuwa semina hiyo inawakutanisha wataalamu wa mifumo ya kompyuta kutoka ndani na nje ya nchi watakaojifunza na kuongeza utaalamu wa kulinda mifumo ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Mitandao ya kijamii na changamoto kwa usalama wa taifa letu-1

Mitandao ya kijamii ni programu inayotumia Intaneti kuwezesha watu mbalimbali kuwasiliana,  kushiriki mijadala na kuweka taarifa au kubadilishana vitu mbalimbali .

 

10 years ago

Mwananchi

Mitandao ya kijamii na changamoto kwa usalama wa Taifa letu-3

Leo nahitimisha mfululizo wa makala haya. Licha ya mitandao ya kijamii kuweza kutumika dhidi ya usalama wa Taifa, pia inaweza kulinda usalama wake na wananchi tena kwa ufasaha zaidi.

 

9 years ago

Dewji Blog

Mabalozi wa Usalama barabarani ‘RSA’ wazindua kampeni ya “Abiria paza sauti”

PAMOJAA

Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Kamanda Mohamed Mpinga (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wa Usalama Barabarani (RSA) katika moja ya harakati za kampeni yao hiyo mpya ya “Abiria paza sauti”.

Na Rabi Hume,Modewjiblog

Asasi ya kiraia ya Road Safety Ambassadors (RSA) imezindua kampeni ya Abiria paza sauti kipindi hiki ambacho tunaelekea kumaliza mwaka 2015 ikiwa na lengo la kutokomeza ajari ambazo zimekuwa zikijitokeza mwisho wa mwaka.

Akizungumzia kampeni hiyo,...

 

10 years ago

Ykileo

MWEZI WA USALAMA MITANDAO UMEFIKIA TAMATI - YALIYOJIRI NA MAZINGATIO YAKE.

Mwezi huu wa Oktoba mataifa mbali mbali yamekua yakiadhimisha kwa kukuza ufuhahamu kwa watu wake juu yamatumizi salama ya mitandao. Ni wazi ya kuwa mitandao inapotumika vibaya inaweza kuleta athari kubwa sana kwa jamii, na tayari matukio mengi kutoka maeneo mbali mbali tayari tumeendelea kuya shududia.


KATIKA MWEZI HUU: kwa uchache kabisa nitaangazia matukio baadhi nikianzia na kutokea nchini "MAREKANI" Raisi wa Marekani Alipitisha agizo muhimu kwa taifa hilo kuhusiana na matumizi ya kadi ili...

 

10 years ago

Ykileo

USALAMA MITANDAO: TANZANIA INA CHA KUJIFUNZA KUTOKA KENYA.

Nimekamilisha vikao vya usalama mitandao vilivyofanyikia jijini Nairobi kufuatia mualiko maalum nilioupata. Katika vikao hivyo niliwasilisha mada mbili (ya kwanza ikiwa ni namna ya kukabiliana na uhalifu mtandao na mada ya pili ikiwa ni namna ya uchunguzi wa makosa ya digitali kitaalam) katika mada hizo mbili ambazo zilipokelewa vizuri na kupelekea mijadala ya kipekee kuna mengi  nikajifunza kutoka kwa washiriki. Aidha, nilishiriki mijadala duara iliyojikita katika changamototo mbali mbali...

 

10 years ago

GPL

TANZANIA YAWA MWENYEJI WA MKUTANO MKUU WA NNE WA MASWALA YA USALAMA MITANDAO

 KATIBU MKUU WIZARA YA SAYANSI MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA (PROF. PATRICK MAKUNGU) AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI JUU YA WARSHA YA USALAMA MITANDAO AMBAPO TANZANIA IMEKUA MWENYEJI WAKE.  MKURUGENZI MKUU WA COSTECH NCHINI (DR. HASSAN MSHINDA) AKITOA MANENO MACHACHE KATIKA UFUNGUZI WA WARHA HIYO.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani