TAHADHARI: “HEARTBLEED" BUG TISHIO JIPYA KWA WATUMIAJI MITANDAO

Wana mitandao kote duniani hivi sasa bado wako katika hali ya taharuki kufuatia wataalam wa ulinzi mtandao kuweka hadharani tishio jipya la mapungufu yaliyo bainika yanayo ruhusu wahalifu mtandao kuweza kuiba maneno ya siri “passwords” na hata taarifa za kadi za ma benki.

“SSL” ambayo nimeifafanua zaidi kwenye chapisho langu linalosomeka WEB SECURITY ni moja ya program/ kiunganishi cha programu inayo aminika kuweza kuficha taarifa mitandaoni ili kutoonekana kirahisi, ila baada ya...
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi25 Apr
Heartbleed bug: Tishio jipya la uhalifu kwa watumiaji mitandao
Hili ni tishio jipya linalohusu uwezo wa wahalifu kuiba maneno ya siri (passwords) na taarifa za watumiaji wa huduma za intaneti na hata wale wa mashine za kutolea fedha (ATM)
11 years ago
Ykileo
MUENDELEZO: “HEARTBLEED”- YATIKISA USALAMA WA MITANDAO

Aidha, Swala la usalama mtandao nchini tanzania limekuwa likijadiliwa mara kwa mara kupitia vyombo vya habari na nilipata kuweka mmoja wa mjadala wa maswala ya ulinzi mtandao kupitia post...
10 years ago
Ykileo
UMAKINI ZAIDI UNAHITAJIKA KWA WATUMIAJI MITANDAO.

Palipo na mafanikio...
11 years ago
Michuzi
TAHADHARI KWA WATUMIAJI WA VIVINJARI VYA “INERNET EXPLORER”

Jumamosi tangazo hilo linalosomeka hapa "TANGAZO" limeweza kubainisha internet explorer toleo la 6 hadi la 11 yote yameweza kugundulika yanatoa mwanya kwa wahalifu mtandao kupenya kwa watumiaji na kuchukua taarifa zozote zitakazo patikana...
10 years ago
VijimamboTAHADHARI KWA WATUMIAJI WA BARABARA YA LUPA ENEO LA NJIA PANDA ISANGA JIJINI MBEYA
5 years ago
BBCSwahili29 May
Virusi vya corona: Dhana potofu mitandaoni zina athari gani kwa watumiaji wa mitandao
Nadharia za uongo zimekuwa zikistawi kupitia mitandao ya kijamii hasa zinazohusu virusi vya corona - nyingi zimekuwa mitandaoni na kuleta athari za kiafya.
10 years ago
Mwananchi23 Sep
Twaweza yawagonganisha watumiaji mitandao ya kijamii
Siku moja baada ya Taasisi ya Twaweza kutoa matokeo ya utafiti unaoonyesha kuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli anakubalika zaidi kuliko mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa, imeibua mjadala mzito kwenye mitandao ya kijamii kati ya wafuasi wa wagombea hao.
11 years ago
Ykileo
TAHADHARI: WATUMIAJI WA TELEVISHENI ZA PHILIPS WAKO HATARINI

Tishio jingene jipya la kiusalama...
10 years ago
GPL
ALIENS; BADO TISHIO JIPYA DUNIANI!
LIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Wiki iliyopita nilieleza jinsi ambavyo kwenye miaka ya hivi karibuni, neno UFO (Unidentified Flying Objects) limechukua kasi hasa nchi za Magharibi, Asia na nyinginezo. Taarifa zisizokuwa rasmi zinadai UFO ni vyombo vya angani kama ndege za ajabu vinavyotumiwa na Aliens ambavyo tabia zake ni tofauti sana na vyombo vyetu vya anga.
SASA ENDELEA… Kuna dhana nyingi mno katika ishu hii ya Aliens. Je, wewe...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania